KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Hapo lazima upigwe na kitu kizito cha low sperms countDah! Lahaullah! Alafu kwao ndio wanalima zaidi ya huku kwetu! Ila inatisha unapokutana na chungwa, pera au embe ndani halina mbegu au kokwa! Ukalila ukitegemea na ww ukatoe Mbegu thubutu!
Na ni matamu haya makitu shenzi kabisa.Mimi nilipoona kuwa sasahv kuna parachichi ambazo hazina kabisa mbegu na zinalimwa Tanzania nikaogopa sana. Kama sio kumjaribu Mungu ni nini
View attachment 2396342
Sasa unatupa shida ya kukuelekeza. Kama haujui bidhaa za asili zinamuonekano upi utakuwa na wakati mgumu sana kujua hizi za kisasa yaani GMO zinamuonekano gani.Nikiwa sokoni ntatambuaje kwamba hii bidhaa ni organic na sio GMO?
Muda mwingine muwe mnakaa kimya ili kujiepusha na aibu ndogo ndogo kama hizi.Umasikini wa akili ni mbaya sana...
Mleta mada ana tatizo...
Ulivyokuwa kilaza unashare links katika vyanzo vya habari vya watu hao hao. Soma vema kilichoandikwa mleta mada amelisema hili la kutumika kwa vyombo vya habari vya magharibi kupamba na kusugarcoat madhara ya hizi mbegu za kisasa.Chakula cha GMO ni nini? - BBC News Swahili
Ni kiumbe chochote kilicho hai ambacho vinasaba vyake (DNA) vimebadilishwa kwa kutumia uhandisi jeni.www.bbc.com
View attachment 2396383
View attachment 2396387
View attachment 2396386
Hivi ndio namna umeamua kubalance equation kwa kuhoji swala la kizembe kuliko lolote.Vipi viodonge mkuu vilivuo jazana Hospitalini? Usha wahi lalamika? Hizo GMO mbona mbona kwao wanakula?
Kaka tafiti ina pingwa na tafiti, hakuna wanasayansi walio fnya tafiti na kuona tatizo lilipoChillah,
Ndg.kuna wanasayansi wachache wanaolipwa kwenye miradi inayofadhiliwa na hayo makampuni ndo wanaopigia upatu GMO kwa Tanzania mf. Dr. Kulaya amestaafu ARI Mikocheni na Dr. Roshani Abdallah atakuwa amestaafu TPRI Arusha. Kifupi Mh. RAIS Jakaya Kikwete alikataa kuridhia mpango wa kubadilisha kinachoitwa strictly liability ambacho ni kipengele kilichokuwa kinataka kuwanusuru pro GMO kama madhara yatajitokeza kutokana na GMO. Kifupi GMO kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla haifai
.
Maana black ndo race yenye watu wachache zaidi na dhaifu duniani
Wewe mwelevu leta chanzo chako sahihi...Ulivyokuwa kilaza unashare links katika vyanzo vya habari vya watu hao hao. Soma vema kilichoandikwa mleta mada amelisema hili la kutumika kwa vyombo vya habari vya magharibi kupamba na kusugarcoat madhara ya hizi mbegu za kisasa.
BBC ni chombo cha taifa gani?! Au hayo maneno Swahili ndio yamekuchanganya?!
Kimsingi hakuna ulichosaidia umepuyanga tu. Ndio yale yale yamesemwa kuwa ni kukosekana kwa uelewa wa mambo ndio maana haya mataifa ya magharibi yanafanikiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazani majibu hayo yapo ktk hansad pale bungeni kwanini walizuiaMuda mwingine muwe mnakaa kimya ili kujiepusha na aibu ndogo ndogo kama hizi.
Hivi umeshawahi kujiuliza kwann Western countries especially USA wanasumbuliwa sana na kansa tena kwa kiwango kikali sana, na kwann Africa, Asia na Middle Eastern countries wana experience kiwango kidogo sana cha kansa?!
Umeshawahi kuhoji kwann mbegu za kisasa ikishazaa matunda mbegu hazioteshi tena, kwann hazina maisha ndani ya mbegu changa?!
Haujawahi jiuliza hatima ya taifa lako imetokea tunatumia 100% ya GMO kesho na keshokutwa mataifa ya magharibi wakagoma kusaidia tena na pembejeo za kilimo ikiwamo mbolea, dawa za wadudu na hata mbegu, hali ya chakula itakuwaje?!
Nadhani unalazimisha kujiona ni mwerevu ila kiukweli hauna ufahamu wa mambo (lack of exposure) na uko hapa kuprove hilo kwa hoja hafifu kama kumwambia mleta mada anasumbuliwa na umasikini wa akili ile hali ni wewe ndie mwenye uhaba wa akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waulize waindonesia wana kula manyama ganisi kwel, hamna research ilio prove hilo, nabila gmos dunia kwa sasa ingekuwa kwenye shida kubwa, na sasa kuna technology ya kuzalusha nyama maabala amba iko safi kwa mlaji.
Safi... na huu ndio ukweli ambao serikali nyingi zina pinga, na kutumia kusema zina athiri mifumo ya mwiliHizo mbegu za GMO zinalengo la kuleta utumwa wa chakula, mbegu za asili zikitoweka, tutalazimika kuagiza mbegu kwa kila msimu, maana GMO huzaa mazao tasa.
Ili swali jibu lake analo mwelevu mmoja hapo juu mwenye expozyaLakn hizi GMO hata super markets nchini marekani zipo za kutosha,swali ni je inakuwaje wao waue raia wake?
Acha kupotosha mkuu,kwa Tz,mbegu za GMO,bado hazijaruhusiwa kutumika.hizo unazo zungumzia ni mbegu zilizoboraeshwa tu na sio Gmo.Ndizo zilizojaaa.
Anza nyanya kubwa kuliko zamani,
Njoo pia matango, tikiti, karoti, vitunguu maji, vitunguu saumu vyote vimerekebishwa. Ni vikubwa kuliko vya asili na vya asili vimepotea... Havipo.
Mahindi pia kwa sasa si kama zamani mkivuna mnachagua mbegu za kuja kuotesha tena. Siku hizi ni kununua mbegu na ukirudia kupanda msimu unaofuata hupati matokea mazuri.
Una jua kwann? Zikioza hawana muda nazo?Swali ninkwanini wao wazungu wanataka product og? Kwani wao wajinga? Wazungu hawanunui izo product za gmo kwanza gmo hazina ladha jaribu kutumia nyanya hizi za gmo mbaya kishenzi pia ata zikioza wadudu hawana time nazo
Na zipo zinazo boreshwa na Tari na sua...Acha kupotosha mkuu,kwa Tz,mbegu za GMO,bado hazijaruhusiwa kutumika.hizo unazo zungumzia ni mbegu zilizoboraeshwa tu na sio Gmo.