jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Kuna jambo nimeliobserve toka Lissu arejee kutoka Ubelgiji kuhusu mahusiano kati yake na muasisi wa Chama Cha Chadema mzee Edwin Mtei
Baada ya kupitishwa na kuwa mgombea wa CHADEMA niliamini kungekuwa na matukio kadhaa yakionesha na kuashiria kukubalika kwa Lissu na mzee mtei hii ingeondoa ile dhana kuwa Chama hiki ni cha Kaskazini na cha kifamilia .Nilitarajia afike tengeru kusabahi familia ya mtei na kupokea baraka za muasisi wa chama.
Lissu alianza ziara za kujitambulisha kuwa amerudi na pia kupita kusaka wadhamini na moja ya mji aliotembelea ni Arusha na alifanya mkutano Arusha Mjini ambapo mzee mtei hakuhudhuria na baada ya hapo Lissu alienda Moshi na kutembelea kwa ndesamburo.
Ikumbukwe kuwa Mwaka 2015 Mzee Mtei alijitokeza kumlaki na kumuombea kura Lowassa.