Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
Nipo mkuu, nasikiliza na kuangalia matokeO.Upo? Vipi matokeo ya Hai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo mkuu, nasikiliza na kuangalia matokeO.Upo? Vipi matokeo ya Hai
Hata kama wewe ndiyo ungekuwa muasisi wa hiko chama ungeruhusu shoga kuja kugombea urais kupitia tiketi ya chama chako? hii nchi ina maadili yake jamani.Kuna jambo nimeliobserve toka Lissu arejee kutoka Ubelgiji kuhusu mahusiano kati yake na muasisi wa Chama Cha Chadema mzee Edwin Mtei
Baada ya kupitishwa na kuwa mgombea wa CHADEMA niliamini kungekuwa na matukio kadhaa yakionesha na kuashiria kukubalika kwa Lissu na mzee mtei hii ingeondoa ile dhana kuwa Chama hiki ni cha Kaskazini na cha kifamilia .Nilitarajia afike tengeru kusabahi familia ya mtei na kupokea baraka za muasisi wa chama.
Lissu alianza ziara za kujitambulisha kuwa amerudi na pia kupita kusaka wadhamini na moja ya mji aliotembelea ni Arusha na alifanya mkutano Arusha Mjini ambapo mzee mtei hakuhudhuria na baada ya hapo Lissu alienda Moshi na kutembelea kwa ndesamburo.
Ikumbukwe kuwa Mwaka 2015 Mzee Mtei alijitokeza kumlaki na kumuombea kura Lowassa.
Mbona moja tu ile aliyoandika balozi wa marekani uliisahau?Jibu hilo hapo
Edwin Mtei
Senior Member
Dec 13, 2008
Apr 16, 2014
Apr 16, 2014
Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na dhidi ya Mwalimu Julius Nyerere, Baba na Muasisi wa Taifa letu.
Nimekuwa na mawasiliano na maelewano mazuri sana na Mwalimu hata baada ya kuasisi CHADEMA, Julai 1992 na tulipokamilisha Katiba na Sera za Chadema, nilimtembelea Nyumbani kwake Butiama nikampa azisome ajionee jinsi tulivyonuia kuwahudumia Wananchi wetu. Hata siku moja siwezi kumtusi Muasisi wa Taifa letu. Iwe ni mwiko pia kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kumtusi Baba wa Taifa.
With all due respect to Hon. Tindu Lissu, this smacks BAD TASTE.
Edwin Mtei,
Founder Chairman of CHADEMA.
Uliisahau hii baruwa wakati wa kampeni ?Kuna jambo nimeliobserve toka Lissu arejee kutoka Ubelgiji kuhusu mahusiano kati yake na muasisi wa Chama Cha Chadema mzee Edwin Mtei
Baada ya kupitishwa na kuwa mgombea wa CHADEMA niliamini kungekuwa na matukio kadhaa yakionesha na kuashiria kukubalika kwa Lissu na mzee mtei hii ingeondoa ile dhana kuwa Chama hiki ni cha Kaskazini na cha kifamilia .Nilitarajia afike tengeru kusabahi familia ya mtei na kupokea baraka za muasisi wa chama.
Lissu alianza ziara za kujitambulisha kuwa amerudi na pia kupita kusaka wadhamini na moja ya mji aliotembelea ni Arusha na alifanya mkutano Arusha Mjini ambapo mzee mtei hakuhudhuria na baada ya hapo Lissu alienda Moshi na kutembelea kwa ndesamburo.
Ikumbukwe kuwa Mwaka 2015 Mzee Mtei alijitokeza kumlaki na kumuombea kura Lowassa.
Uliisahau hii baruwa wakati mlipompiga risasi?Kuna jambo nimeliobserve toka Lissu arejee kutoka Ubelgiji kuhusu mahusiano kati yake na muasisi wa Chama Cha Chadema mzee Edwin Mtei