Kwa maoni yangu ni kwamba mwl Nyerere hakuwa nabii na hata yeye mwenyewe alilitamka hilo.
"sisi sio malaika, katika uongozi wetu kuna yaliyokuwa mazuri, na mabaya pia yalikuwemo".
Sasa ikitokea mtu akimzungumzia mwl kwa yale ambayo hayakuwa mazuri katika uongozi wake nikumtukana, basi atakuwa anapingana hata na kauli ya yeye mwenyewe kwa hakuwa malaika.
Lakini kama mitazamo ya ukosoaji inatafsirika kama matusi, basi hata mwl mwenyewe alitukana watu.
Kwa mfano: "hatuwezi kuwa na rahisi ambao anaongoza kwa kufuata ushahuri wa mkewe, maana hatujui kesho mkewe atamshahuri nini".
Kama tukiitafsiri kauli hii kwa uasi kama inavyo fanyika kwa wengine. Je haikuwa tusi kwa mama Maria ambae watanzania tunamuheshimu kama mama wa taifa? Katika uongozi wa mwl mama Maria hakuwahi kumshahuri mwl? Ama alimshahuri lakini mwl alipuuza kwa kuwa ni ushahuri wa mwanamke?
Kuna mambo mwl aliyafanya kwa maneno na vitendo.
Kwa mfano: Mwl alikubali na kusaini mfumo wa vyama vingi, leo hii anakuja mtu anatamka kwamba "nita hakikisha ifikapo 2020 hakutokua na vyama vya upinzani".
"Ama nichagulieni wabunge na madiwani wa ccm hata kama hawafai".
Je tukitafsiri kwa uasi kauli hizi si itakuwa ni matusi na dharau kwa mwl Nyerere?
Kwa kuwa huu ni wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu, basi ni vyema tukaangalia mambo kwa mtazamo chanya bila kuingiza mihemko ya kisiasa.