Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Mataga mmekosa hoja,mnabwabwaja!Kila mnalohisi linawafaa mnabeba na kuleta JF!Ndio maana uzi umedorora!Hauna mashiko😁😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti muasisi/ wa kwanza wa chadema.Najiuliza mtei yupi anaezungumziwa hapa....
Mataahira ya Lumumba yanachangia na kujibizana yenyewe!!Naona MATAGA mmeanzisha Uzi, alafu mnachangia wenyewe. Ukinga mtupu.
Mataahira ya Lumumba yanachangia na kujibizana yenyewe!!
Wengi wanaomuunga mkono Lissu huwa wanalifumbia macho tukio lake la kumkejeli RIP Nyerere ndani ya bunge maalum la katiba.Mzee Mtei is a descent person ,state man hawezi kushabikia mtu mwenye mdomo kama Lissu . Anaehubiri kuwa miundombinu inayojengwa watanzania hatuihitaji. Anaepotosha kuwa watu hawajengewi uwezo kuendelea wakati wanasomeshewa watoto, wanapunguziwa mizigo ya kodi .Lissu ni mlaghai mchuuzi wa nchi .kamwe Mzee mtei aliefanya kazi na Nyerere hawezi kuwa Nan huyu mhuni .
Wiring kwenye ubongo wa Lissu kuna short circuit kati ya ubongo wa busara na ubongo wa kutafuta sifa; kwa hiyo hawezi kutofautisha busara na debe la sifaJibu hilo hapo
Edwin Mtei
Senior Member
Dec 13, 2008
Apr 16, 2014
Apr 16, 2014
Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na dhidi ya Mwalimu Julius Nyerere, Baba na Muasisi wa Taifa letu.
Nimekuwa na mawasiliano na maelewano mazuri sana na Mwalimu hata baada ya kuasisi CHADEMA, Julai 1992 na tulipokamilisha Katiba na Sera za Chadema, nilimtembelea Nyumbani kwake Butiama nikampa azisome ajionee jinsi tulivyonuia kuwahudumia Wananchi wetu. Hata siku moja siwezi kumtusi Muasisi wa Taifa letu. Iwe ni mwiko pia kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kumtusi Baba wa Taifa.
With all due respect to Hon. Tindu Lissu, this smacks BAD TASTE.
Edwin Mtei,
Founder Chairman of CHADEMA.
Mpuuzi kweli, kiongozi shurti ujue uongee kitu gani na wakati gani. Mwalimu alikuwa na mapungufu yake kweli sawa na binadamu wengine, lakini huwezi kubwatuka tu eti alizoea vya kunyonga.Wengi wanaomuunga mkono Lissu huwa wanalifumbia macho tukio lake la kumkejeli RIP Nyerere ndani ya bunge maalum la katiba.
Tukio lililomkera mzee Mtei na wastaarabu wengine ndani ya CDM.
Kwa hiyo Lissu akaona busara kuzuru kaburi la Ndesamburo kuliko kumjulia hali huyu mzee mgonjwa ambaye hata ndani hatoki?! Au alichomwa na lile karipio la mzee Mtei?Mtei ni mgonjwa hata ndani hatoki. Nyie CCM endeleeni kujipa faraja.
Lini hiyo mkuu!Aliekufa akanyimwa sehemu yabkuagwa pale moshi alikua nani?
Utawashwa sana, Lissu anasababisha hadi mgombea wenu augue upele na ukurutu shingo nzima...sujui ni mkanda wa Jeshi ule🤷♂️😀Kuna jambo nimeliobserve toka Lissu arejee kutoka Ubelgiji kuhusu mahusiano kati yake na muasisi wa Chama Cha Chadema mzee Edwin Mtei
Baada ya kupitishwa na kuwa mgombea wa CHADEMA niliamini kungekuwa na matukio kadhaa yakionesha na kuashiria kukubalika kwa Lissu na mzee mtei hii ingeondoa ile dhana kuwa Chama hiki ni cha Kaskazini na cha kifamilia .Nilitarajia afike tengeru kusabahi familia ya mtei na kupokea baraka za muasisi wa chama.
Lissu alianza ziara za kujitambulisha kuwa amerudi na pia kupita kusaka wadhamini na moja ya mji aliotembelea ni Arusha na alifanya mkutano Arusha Mjini ambapo mzee mtei hakuhudhuria na baada ya hapo Lissu alienda Moshi na kutembelea kwa ndesamburo.
Ikumbukwe kuwa Mwaka 2015 Mzee Mtei alijitokeza kumlaki na kumuombea kura Lowassa.
Lissu hana uwezo wa kutawala majivuno na dharau zake. Huo ni udhaifu wake wa kuzaliwa.Mpuuzi kweli, kiongozi shurti ujue uongee kitu gani na wakati gani. Mwalimu alikuwa na mapungufu yake kweli sawa na binadamu wengine, lakini huwezi kubwatuka tu eti alizoea vya kunyonga.
Nyie watoto bhana angaikeni na CCM yenu vipi wakina makamba Kikwete na Kinana wapo wapi?.hata mbowe hana ule mzuka kama aliokua nao kipindi cha lowassa, infact kuna diwani leo kahama chadema! watu wanavumilia mengi kwenye icho chama na nliwaambia kabisa kuna watu 6 lazima waondoke icho chama kabla uchaguzi haujafika kutoka kwenye taarifa zangu za ndan wakapiga kelele sasa ndo ivo mbowe hana raha, mwanzilishi wa chama nae ndo ivo
Lissu ni kichaaJamaa ana mdomo mchafu sana
Nyie watoto bhana angaikeni na CCM yenu vipi wakina makamba Kikwete na Kinana wapo wapi?.
Kwani mdahalo ndio utaleta maendeleo?Sisi Chadema tunatuma Maombi Maalum kwa Mgombea Urais wa CCM Mzee Daktari bingwa wa kemia duniani Bwana Magufuli Kukubali Kuwa na MDAHALO na Mgombea Urais Wa Chadema Kamanda Tundu Lissu ili Kushindanisha SERA na Mitazamo Yao kwa Nchi Yetu Live kwenye TV na Redio Zote za Duniani na Wananchi Wote Watasikiliza!: