DAKA MTUMBA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,288
- 801
Mkuu huo mtaji mkubwa ndio sh ngapi?Hiyo hela ukawekeze sehemu nyingine tu.
Tanzanite ipo ila inahitaji gharama kubwa sana kuipata,wanaofaidika Na Tanzanite ni wale wenye mitaji mikubwa na mitambo ya kuchatanga miamba kwa mda mfupi.
Kwa ushauri zaidi nenda Arusha kwa wauza mawe watakupa ushauri.
Mkuu huo mtaji mkubwa ndio sh ngapi?
Bilioni mbili ni ya kununua eneo na vifaa vya kisasa vya uchimbaji ukiweka B.5 chini unatoa maweMkuu huo mtaji mkubwa ndio sh ngapi?
yaani mtaji wangu halafu bado niwange/niroge??...duh hii kaliMhhh mimi huwa na wasiwasi sana na maeneo karibu na Uwanja wa ndege kuna sehemu kutakuwa na reserve ya kutosha imefanywa siri na serikali
Unaweza pia ukawa na mtaji mzuri je kuloga pia upo vizuri ? Vipi kuchinja watoto wachanga kwenye mdomo wa shimo ?
Kule ni the strongest ndio wanao survive sio uje na imani zako oh mimi ni mkristo safi au muislamu safi ....
Kwa kifupi ile ni kazi chafu kuliko unavyofikiria hivyo yakupasa na wewe uwe mchafu kweli kweli
Ndio ushapewa uhalisia mzee wewe tu na roho yakoyaani mtaji wangu halafu bado niwange/niroge??...duh hii kali
Mhhh mimi huwa na wasiwasi sana na maeneo karibu na Uwanja wa ndege kuna sehemu kutakuwa na reserve ya kutosha imefanywa siri na serikali
Unaweza pia ukawa na mtaji m zuri je kuloga pia upo vizuri ? Vipi kuchinja watoto wachanga kwenye mdomo wa shimo ?
Kule ni the strongest ndio wanao survive sio uje na imani zako oh mimi ni mkristo safi au muislamu safi ....
Kwa kifupi ile ni kazi chafu kuliko unavyofikiria hivyo yakupasa na wewe uwe mchafu kweli kweli
Funguka kwa msaada zaidi please!mtafute jamaa anaitwa ruta!huyo ndio anajua kila kitu hapo vinginevyo itakula kwako
Hapana mkuu achana na imani hizo.Mhhh mimi huwa na wasiwasi sana na maeneo karibu na Uwanja wa ndege kuna sehemu kutakuwa na reserve ya kutosha imefanywa siri na serikali
Unaweza pia ukawa na mtaji mzuri je kuloga pia upo vizuri ? Vipi kuchinja watoto wachanga kwenye mdomo wa shimo ?
Kule ni the strongest ndio wanao survive sio uje na imani zako oh mimi ni mkristo safi au muislamu safi ....
Kwa kifupi ile ni kazi chafu kuliko unavyofikiria hivyo yakupasa na wewe uwe mchafu kweli kweli
huyu ni jolo mtaalam wa miamba na ni mkongweFunguka kwa msaada zaidi please!
Ndiye nani huyo?
Na ili mgodi uteme lazima ufanye matambiko ya hatari bila hivo unajipotezea mdaNdio ushapewa uhalisia mzee wewe tu na roho yako
Pale watu hawapigi ishara ya msalaba au kumswalia Mtume ...uamuzi ni wako
Sina tatizo na imani yako Mkuu ,ila kule hawamjui Mungu unayemjua wewe ,watu wana miungu yaoHapana mkuu achana na imani hizo.
Mungu pekee ndiye mpaji!