Je ni kweli madini ya TANZANITE yamemalizika?

DAKA MTUMBA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,288
Reaction score
801
Wakuu napenda kuingia kwenye biashara hii ya uchimaji wa Tanzanite, yani ninunue kitalu changu kisha nianze kupiga kazi.
But nataka kujiridhisha japo kwa uchache.
Jee hii zawadi(Tanzanite) tuliyopewa na Mungu wetu bado tunayo au imeshajiishia?maana naogopa kupoteza pesa!
Nawasilisha:
 
Tanzanite bado ipo ya kutosha, ila watafute wataalam wa miamba (Geologist) ndo watakupa majibu ya uhakika
 
Hiyo hela ukawekeze sehemu nyingine tu.

Tanzanite ipo ila inahitaji gharama kubwa sana kuipata,wanaofaidika Na Tanzanite ni wale wenye mitaji mikubwa na mitambo ya kuchatanga miamba kwa mda mfupi.
Kwa ushauri zaidi nenda Arusha kwa wauza mawe watakupa ushauri.
 
Mkuu huo mtaji mkubwa ndio sh ngapi?
 
Mkuu huo mtaji mkubwa ndio sh ngapi?

Zaidi ya bilioni 2 kwa wewe unaeanza na ukiwa na uhitaji wa madini kwa mda kidogo.
Gharama zinakua kwenye kughamia shimo.
Unaweza kuwa na camp yako utakayo gharamia kila kitu kama malazi na chakula au uka gharamia chakula tu malazi wakajitafutia wenyewe. Hii inavutia vijana wengi kuja kwenye shimo lako.
 
Mhhh mimi huwa na wasiwasi sana na maeneo karibu na Uwanja wa ndege kuna sehemu kutakuwa na reserve ya kutosha imefanywa siri na serikali

Unaweza pia ukawa na mtaji mzuri je kuloga pia upo vizuri ? Vipi kuchinja watoto wachanga kwenye mdomo wa shimo ?

Kule ni the strongest ndio wanao survive sio uje na imani zako oh mimi ni mkristo safi au muislamu safi ....

Kwa kifupi ile ni kazi chafu kuliko unavyofikiria hivyo yakupasa na wewe uwe mchafu kweli kweli
 
Nenda kwenye ofisi za Mengi maana yeye ndie Mwenyekiti wa Wachimbaji... na ujue lazima umuuzie Shea hapo maana ni muwezeshaji wa Ndani
 
  • Thanks
Reactions: ase
[QUOTmtamina ngalo, post: 18542207, member: 150007"]Bilioni mbili ni ya kununua eneo na vifaa vya kisasa vya uchimbaji ukiweka B.5 chini unatoa mawe[/QUOTE]
kuna mtu anatoa B 2 kirahisi hivyo saivi??
 
Mhhh mimi huwa na wasiwasi sana na maeneo karibu na Uwanja wa ndege kuna sehemu kutakuwa na reserve ya kutosha imefanywa siri na serikali

Unaweza pia ukawa na mtaji mzuri je kuloga pia upo vizuri ? Vipi kuchinja watoto wachanga kwenye mdomo wa shimo ?

Kule ni the strongest ndio wanao survive sio uje na imani zako oh mimi ni mkristo safi au muislamu safi ....

Kwa kifupi ile ni kazi chafu kuliko unavyofikiria hivyo yakupasa na wewe uwe mchafu kweli kweli
yaani mtaji wangu halafu bado niwange/niroge??...duh hii kali
 
Tanzanite inapatikana katika kaeneo kadogo sana, kuna posibility kubwa ikafika kipindi tutakosa tanzanite
 
mtafute jamaa anaitwa ruta!huyo ndio anajua kila kitu hapo vinginevyo itakula kwako
 
Mhhh mimi huwa na wasiwasi sana na maeneo karibu na Uwanja wa ndege kuna sehemu kutakuwa na reserve ya kutosha imefanywa siri na serikali

Unaweza pia ukawa na mtaji m zuri je kuloga pia upo vizuri ? Vipi kuchinja watoto wachanga kwenye mdomo wa shimo ?

Kule ni the strongest ndio wanao survive sio uje na imani zako oh mimi ni mkristo safi au muislamu safi ....

Kwa kifupi ile ni kazi chafu kuliko unavyofikiria hivyo yakupasa na wewe uwe mchafu kweli kweli
mtafute jamaa anaitwa ruta!huyo ndio anajua kila kitu hapo vinginevyo itakula kwako
Funguka kwa msaada zaidi please!
Ndiye nani huyo?
 
Mhhh mimi huwa na wasiwasi sana na maeneo karibu na Uwanja wa ndege kuna sehemu kutakuwa na reserve ya kutosha imefanywa siri na serikali

Unaweza pia ukawa na mtaji mzuri je kuloga pia upo vizuri ? Vipi kuchinja watoto wachanga kwenye mdomo wa shimo ?

Kule ni the strongest ndio wanao survive sio uje na imani zako oh mimi ni mkristo safi au muislamu safi ....

Kwa kifupi ile ni kazi chafu kuliko unavyofikiria hivyo yakupasa na wewe uwe mchafu kweli kweli
Hapana mkuu achana na imani hizo.
Mungu pekee ndiye mpaji!
 
Back
Top Bottom