Je, ni kweli Makonda aliacha vita ya ushoga kwa sababu hii anayoisema maalim

Je, ni kweli Makonda aliacha vita ya ushoga kwa sababu hii anayoisema maalim

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191

Maalim anasema Makonda aliacha harakati za kupinga ushoga kwa sababu ya mashoga kuanza kuwataja mabasha wao ambao hali ilikuwa mbaya. Je ni kweli?
 
View attachment 3037342
Maalim anasema Makonda aliacha harakati za kupinga ushoga kwa sababu ya mashoga kuanza kuwataja mabasha wao ambao hali ilikuwa mbaya. Je ni kweli?
Wewe ulikuwa wapi? Serikali ya Magufuli ilimkana Makonda kwamba hiyo ni vita yake binafsi na siyo sera ya Tanzania.

Ndio maana viza ban ya kuingia Marekani na ulaya amepewa Makonda peke yake.
 
Mfano mzuri ni huyu mkuu wa mkoa mzee wa kisamvu alie umbuliwa juzi Kati tuu hapo, wako watu wenye nafasi nzito ukitaka kuwataja wanaweza kuua ukoo wako wote ilimradi watunze Siri zao
 
Back
Top Bottom