Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
We hii story ya uongo umeitoa wapi?Wadau hamjamboni nyote?
Nimeleta mada ambayo ni swali kwa wasomi wakubwa, wanazuoni na wanatheolojia...
Kwani huwa unadukua mpaka mambo ya Mungu?Ziraili ni story za kutunga tu hatowaye uzima na umauti ni Mungu
Kabisaa,niliwahi kufa nusu so i speak from experienceKwani huwa unadukua mpaka mambo ya Mungu?
Siku ukifa mazima nistue mkuuKabisaa,niliwahi kufa nusu so i speak from experience
Sio kukustua tu ntakuomba unisindikizeSiku ukifa mazima nistue mkuu
We umesikia wapi?Wadau hamjamboni nyote?
Nimeleta mada ambayo ni swali kwa wasomi wakubwa, wanazuoni na wanatheolojia...
Andiko linaloelezea huyo malaika mtoa roho please nahitaji sasaiviWadau hamjamboni nyote?
Nimeleta mada ambayo ni swali kwa wasomi wakubwa, wanazuoni na wanatheolojia...
ChaiZiraili ni story za kutunga tu hatowaye uzima na umauti ni Mungu