Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
๐จ ๐๐๐๐๐๐๐๐!
Mario Balotelli kuinunua Simba S.C. ๐น๐ฟ๐ดโช๏ธ
โKulingana na Balotelli, wanasoka wa Kiafrika wanaocheza Ulaya wana pesa ambazo wanaweza kujenga angalau viwanja vitano vya hadhi ya kimataifa katika kila nchi.
โ"Kwangu mimi, Simba na Tanzania ndizo zinazofaa zaidi katika mradi wangu. Nataka kuona Tanzania ikishinda ligi ya Mabingwa, Kombe la Afrika na kufanya vyema katika Kombe la Dunia la 2026". -alieleza Balotelli
Jamii Check Please Assist