Tetesi: Je ni kweli Mario Baloteli anataka kuinunua Simba?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†!
Mario Balotelli kuinunua Simba S.C. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ”ดโšช๏ธ

โ—‰Kulingana na Balotelli, wanasoka wa Kiafrika wanaocheza Ulaya wana pesa ambazo wanaweza kujenga angalau viwanja vitano vya hadhi ya kimataifa katika kila nchi.

โ—‰"Kwangu mimi, Simba na Tanzania ndizo zinazofaa zaidi katika mradi wangu. Nataka kuona Tanzania ikishinda ligi ya Mabingwa, Kombe la Afrika na kufanya vyema katika Kombe la Dunia la 2026". -alieleza Balotelli

Jamii Check Please Assist
 
05dc296d6a81905b3b2f92ad01a14bd0.jpg
 
haya ni matunda ya kuifungua nchi tanzania inaunguruma kimataifa si mchozo
 
๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†!
Mario Balotelli kuinunua Simba S.C. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ”ดโšช๏ธ

โ—‰Kulingana na Balotelli, wanasoka wa Kiafrika wanaocheza Ulaya wana pesa ambazo wanaweza kujenga angalau viwanja vitano vya hadhi ya kimataifa katika kila nchi.

โ—‰"Kwangu mimi, Simba na Tanzania ndizo zinazofaa zaidi katika mradi wangu. Nataka kuona Tanzania ikishinda ligi ya Mabingwa, Kombe la Afrika na kufanya vyema katika Kombe la Dunia la 2026". -alieleza Balotelli

Jamii Check Please Assist
That's it? Is it all that you have?
 
Back
Top Bottom