Je, ni kweli meditation inaamsha nguvu ya kiroho isiyoonekana?

Je, ni kweli meditation inaamsha nguvu ya kiroho isiyoonekana?

LoneJr

Senior Member
Joined
May 18, 2024
Posts
169
Reaction score
247
Wakuu,

Kuna hili suala la meditation kuhusishwa na mambo ya kuamsha nguvu ya kiroho isiyoonekana, nimejikuta nikivutiwa na suala hili.

1727634525944.jpeg

Je, ni kweli inaamsha nguvu ya kiroho isiyoonekana?

Pia soma: The Path of Meditation: Controlling the Mind and Senses
 
Meditation ni zoezi ambalo lina delete trash kwenye kichwa chako ili kukuongezea uzingativu na uwezo wa kujidhibiti kimwili na kihisia..

Labda pengine hao watu wa dini inawasaidia kuwapa focus kwenye msingi yao ya Imani like [kujizuia kula, uzinzi, ulevi, kuongea sana nk]....
 
Wakuu,

Kuna hili suala la meditation kuhusishwa na mambo ya kuamsha nguvu ya kiroho isiyoonekana, nimejikuta nikivutiwa na suala hili.

Je, ni kweli inaamsha nguvu ya kiroho isiyoonekana?

Pia soma: The Path of Meditation: Controlling the Mind and Senses
Jibu sahihi la hili swali hutolipata kwa kuambiwa mtu bali kwa kulitafuta ww mwenyewe.

Fanya meditation kilasiku kwa siku 21 kwa angalau dakk 10 hadi 15 kwa siku. Siku ya 21 utakuwa na jibu
 
Step to step guide nikiwa nahitaji kufanya unaweza nielekeza since sijui invofanyika japo Nina shauku ya kupata kujua
 
Mataifa ya mashariki ya mbali yanafahamu vizuri hili zoezi. Mojawapo ya taifa hilo ni China ambapo wafanyabiashara mbalimbali hufanya ziara za mara kwa mara katika nchi hiyo. Wachina wanalijua vizuri sana hili zoezi la kiroho pamoja na faida zake kwa ujumla.
 
Attachments

  • xiii.jpg
    xiii.jpg
    4.1 KB · Views: 10
Watu wanajua mno kutafuta pesa. Usishangae Akatokea mtu anasema anafundisha hili na utatoka nje ya mwili uende popote duniani kisha urudi huku akimalizia na njoo pm.
 
Watu wanajua mno kutafuta pesa. Usishangae Akatokea mtu anasema anafundisha hili na utatoka nje ya mwili uende popote duniani kisha urudi huku akimalizia na njoo pm.
Watu wanatafuta hela sio kwa meditation, wanafanya biashara sana ya vitu vingine. Usicheze kabisa na mbongo aliyekaa India na anaenda China kama vile anaenda baa na amejifunza namna ya kufanya hili zoezi katika nchi zote hizo mbili. Huyo mtu ni mtaalamu sana katika mambo haya ya kiroho.
 
Mkuu, waTanganyika waangalie kama walivyo. MTanganyika haitaji kubobea kitu sana ili atengeneze pesa. Ajue tu ABC mchezo umekwisha. Atazitumia kukupiga uchakae.
 
Nilipokuwa mdogo nilikuwa nafanya tahajudi bila kujua. Nilikuwa naona maajabu sana.

Nimekuja kujua kuwa ni tahajudi baada ya kukua na kusoma humu. Nakumbuka kwa mara ya kwanza nilisoma uzi wa Mshana Jr
 
Back
Top Bottom