Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Nakumbuka alikuwa mrembo haswaa! alikuwa na sura nzuri yenye mahadhi ya kipwaniKuna mahali nilisikia watu wakisema alikuwa na Sura ya Urais
Picha yake kuipata ndo kazi sana.Nakumbuka alikuwa mrembo haswaa! alikuwa na sura nzuri yenye mahadhi ya kipwani
Nadhani umeelewa vibaya au aliyekuambia amechanganya maelezo.. Ngoja nikupe uhalisia ulivyokuwa. Ni kisa kirefu lakini chakusisimua.Nipo hapa Dodoma mzee mmoja wa Makamo ndani ya chama kateta nami jambo hili.
Mzee anadai Balozi Amina Ally aliteleza wakati wa kuomba kura huku akijua wazi jina la Lowassa limekatwa na kudai atamteua kuwa mgombea mwenza.
Kauli yake hiyo kilimkera mwenye Chama chake kipindi hicho na bahati ikahamia kwa Magufuli.
Mbona umekirudia kilekile alichoeleza mleta uzi?Nadhani umeelewa vibaya au aliyekuambia amechanganya maelezo.. Ngoja nikupe uhalisia ulivyokuwa. Ni kisa kirefu lakini chakusisimua.
Tetesi zinasema yule mama (na wenzake wote yaani Asharose Migiro na Magufuli) hadi kufikia hatua ile ya fainali ya kinyang'anyiro alibebwa na upepo wa misuguano ya kisiasa, kukatana, kususiana na kukomoana baina ya kambi ya Lowassa na Membe (JK). Na kwakuwa mkutano mkuu ule huenda kwa zaidi ya 90% ulikuwa una wajumbe ambao wagombea wao tayari walikuwa wameshakatwa, ni wazi yoyote kati yao angeweza kubebwa na chochote kile kutoka kwa wale wajumbe.
Hakukuwa na chochote cha kupoteza (sio kwa wagombea wala wajumbe), hakuna haja ya sera, suala ni kuongea chochote kile ili kwenda na upepo wa kisiasa uliopandikizwa vichwani mwa wajumbe. Unaweza kuwa upepo wa kidini, kikabila, kikanda au kikundi. Kijinsia, Mama akaona upepo wa kikundi (team Lowassa) ulikuwa na nguvu zaidi na umebeba mwelekeo wa ushindi, hapo hapo akaswitch na kutambaa nao, na kwa ile kauli yake ya kusema anamuunga mkono Lowassa ilipokelewa kwa shangwe, nderemo na vifijo ukumbi mzima hii inatoa picha huenda kura zilitosha lakini wahuni ndani ya mfumo wakageuza matokeo kwa sababu walijua wazi mama hataweza kutoshea kuongoza hii nchi.
Mleta mada anasema kauli yake ya kusema anamuunga mkono Lowassa ndio ilimponza, mimi nimesema hapana. Hiyo kauli huenda ndio ilimbeba na kupata kura za ushindi (ikiwa alishinda) lakini kilichomponza ni kule kukosa sifa bora zaidi za kufaa kuwa rais machoni pa wazee wa mfumo.Mbona umekirudia kilekile alichoeleza mleta uzi?
Alikuwa anajiamimi halafu "anaropoka" flani atakuwa Makamu Wangu wakati utaratibu wa CCM Makamu unachaguliwa na chama?Yule Mama sasa ndiyo alikuwa na sifa. Kwanza alikuwa anajiamini ukimlinganisha na yule mama nani sijui anayetumia nguvu kubwa ili tu akubalike.
IpiWeka picha hapa
Ndo nini hiki umeandika!? Umempinga mleta uzi kisha umerudia kilekile alichoandika yeye!Nadhani umeelewa vibaya au aliyekuambia amechanganya maelezo.. Ngoja nikupe uhalisia ulivyokuwa. Ni kisa kirefu lakini chakusisimua.
Tetesi zinasema yule mama (na wenzake wote yaani Asharose Migiro na Magufuli) hadi kufikia hatua ile ya fainali ya kinyang'anyiro alibebwa na upepo wa misuguano ya kisiasa, kukatana, kususiana na kukomoana baina ya kambi ya Lowassa na Membe (JK). Na kwakuwa mkutano mkuu ule huenda kwa zaidi ya 90% ulikuwa una wajumbe ambao wagombea wao tayari walikuwa wameshakatwa, ni wazi yoyote kati yao angeweza kubebwa na chochote kile kutoka kwa wale wajumbe.
Hakukuwa na chochote cha kupoteza (sio kwa wagombea wala wajumbe), hakuna haja ya sera, suala ni kuongea chochote kile ili kwenda na upepo wa kisiasa uliopandikizwa vichwani mwa wajumbe. Unaweza kuwa upepo wa kidini, kikabila, kikanda au kikundi. Kijinsia, Mama akaona upepo wa kikundi (team Lowassa) ulikuwa na nguvu zaidi na umebeba mwelekeo wa ushindi, hapo hapo akaswitch na kutambaa nao, na kwa ile kauli yake ya kusema anamuunga mkono Lowassa ilipokelewa kwa shangwe, nderemo na vifijo ukumbi mzima hii inatoa picha huenda kura zilitosha lakini wahuni ndani ya mfumo wakageuza matokeo kwa sababu walijua wazi mama hataweza kutoshea kuongoza hii nchi.
DuuuuhhHaupo mbali na ukweli, katika ulimwengunwa roho kiti cha Urais wa Tanzania kilipaswa kukaliwa na mwanamke ndio maana Amina Salum Ally akashinda kura za maoni. Baada ya jina la Lowassa kukatwa watu wa Lowassa wakapita kura za hasira Kwa Amina Ally (this was spiritually programmed from the heavens Kwa sababu Mungu alitaka Mwanamke ndio awe Rais wa nchi hii/ sauti ya wengi = sauti ya Mungu)
Lakini Mzee Mkapa ba wenzake walishindwa Ku pick hii message from the heaven wakaamua kushindana na sauti ya Mungu chaguo la Mungu wakakata jina la Amina Salum Ally wakaweka jina la mtu ambae hakuwa na sifa Kabisa za kuwa Rais . Mtu ambae labda angestahili kuwa Mkurugenzi WA Takukuru tu.
Hata hivyo Kwa kuwa Mungu Alisha taka lake kwamba kiti cha Urais wa Tanzania lazima kikaliwe na mwanamke, akawapiga upofu Akina Mzee Mkapa Kwa aibu wakamuweka Mama Samia Suluhu Hassan awe mgombea mwenza WA Magufuli.
Mungu akaanza Kwa kuprove Kwa Akina Mkapa kwamba chaguo Lake halikuwa Magufuli Bali mwanamke ndio alitakiwa kuwa Rais wa nchi hii.
Magufuli alifanya vituko vya ajabu kiasi kwamba hata ile tu kusema huyu mtu aliwahi kuwa Rais wa Tanzania mbingu zinatetemeka ( Tanzania ni taifa takatifu. Wakristu na waislamu wakijua what does Tanzania represent in the realm of the spirits wataacha kwenda kuhiji Maka na Jerusalem na badala yake watakuwa wana hiji hapa hapa Tanzania)
Back to the point: Kwenye uchaguzi alishinda Lowassa Kwa tofauti ya kura nyingi Sana ndio maana Magufuli alikuwa kila saa anawaambia watu " Mimi ndio Rais" Kwa sababu alikuwa anajua ukweli kwamba hakuwahi kuchaguliwa kuwa Rais na sauti yake ya ndani ilikuwa inamshuhudia kwamba yeye Sio Rais.
Kwa kusema " Mimi ndio Rais" Magufuli alikuwa ana zungumza na sauti ya ndani kutoka Kwa Mungu iliyo kuwa ina mwambia kwamba " wewe Sio Rais"
Na kiuhalisia kabisa Samia alikuwa ndio kama Rais na Magufuli alikuwa kama Waziri mkuu.
Nani Alie kuwa anaenda safari za nje za Tanzania? = Samia. Kwanini? Kwa sababu katika ulimwengu WA roho yeye ndio alikuwa Rais wa Tanzania.
( Hapa Mbingu zilikuwa zinamuandaa Samia na mamlaka kamili ya Urais)
Magufuli alikuwa ana act kama Waziri mkuu wa Tanzania mwenye mamlaka ya kikatiba yanayo karibiana na mamlaka ya Rais lakini hakuwahi kuww Rais wa nchi hii.
Hata kauli zake hazikuwa kauli za Rais.
" Nataka matajiri wote wa nchi hii waanze kuishi kama mashetani"
" Marais wastaafu wana washwa washwa "
" Mimi sijaleta mafuriko ( Bukoba)"
Bila kusahau matendo Yake maovu Kwa wananchi.
Fast forward 2021 Mungu kaamua kuonyesha ukuu wake na mapenzi Yake juu ya taifa la Tanzania.
Samia chaguo la Mungu. Samia Hadi 2035.
Na baada ya Samia Rais atakae fuata atakuwa mwanamke.
Wanaume nchi mkipewa mnapiga wananchi wenu Risasi ikulu Shahidi Kabendera
Nisaidie hiyo clip ya " Marais wastaafu wana washwa washwa " please.Haupo mbali na ukweli, katika ulimwengunwa roho kiti cha Urais wa Tanzania kilipaswa kukaliwa na mwanamke ndio maana Amina Salum Ally akashinda kura za maoni. Baada ya jina la Lowassa kukatwa watu wa Lowassa wakapita kura za hasira Kwa Amina Ally (this was spiritually programmed from the heavens Kwa sababu Mungu alitaka Mwanamke ndio awe Rais wa nchi hii/ sauti ya wengi = sauti ya Mungu)
Lakini Mzee Mkapa ba wenzake walishindwa Ku pick hii message from the heaven wakaamua kushindana na sauti ya Mungu chaguo la Mungu wakakata jina la Amina Salum Ally wakaweka jina la mtu ambae hakuwa na sifa Kabisa za kuwa Rais . Mtu ambae labda angestahili kuwa Mkurugenzi WA Takukuru tu.
Hata hivyo Kwa kuwa Mungu Alisha taka lake kwamba kiti cha Urais wa Tanzania lazima kikaliwe na mwanamke, akawapiga upofu Akina Mzee Mkapa Kwa aibu wakamuweka Mama Samia Suluhu Hassan awe mgombea mwenza WA Magufuli.
Mungu akaanza Kwa kuprove Kwa Akina Mkapa kwamba chaguo Lake halikuwa Magufuli Bali mwanamke ndio alitakiwa kuwa Rais wa nchi hii.
Magufuli alifanya vituko vya ajabu kiasi kwamba hata ile tu kusema huyu mtu aliwahi kuwa Rais wa Tanzania mbingu zinatetemeka ( Tanzania ni taifa takatifu. Wakristu na waislamu wakijua what does Tanzania represent in the realm of the spirits wataacha kwenda kuhiji Maka na Jerusalem na badala yake watakuwa wana hiji hapa hapa Tanzania)
Back to the point: Kwenye uchaguzi alishinda Lowassa Kwa tofauti ya kura nyingi Sana ndio maana Magufuli alikuwa kila saa anawaambia watu " Mimi ndio Rais" Kwa sababu alikuwa anajua ukweli kwamba hakuwahi kuchaguliwa kuwa Rais na sauti yake ya ndani ilikuwa inamshuhudia kwamba yeye Sio Rais.
Kwa kusema " Mimi ndio Rais" Magufuli alikuwa ana zungumza na sauti ya ndani kutoka Kwa Mungu iliyo kuwa ina mwambia kwamba " wewe Sio Rais"
Na kiuhalisia kabisa Samia alikuwa ndio kama Rais na Magufuli alikuwa kama Waziri mkuu.
Nani Alie kuwa anaenda safari za nje za Tanzania? = Samia. Kwanini? Kwa sababu katika ulimwengu WA roho yeye ndio alikuwa Rais wa Tanzania.
( Hapa Mbingu zilikuwa zinamuandaa Samia na mamlaka kamili ya Urais)
Magufuli alikuwa ana act kama Waziri mkuu wa Tanzania mwenye mamlaka ya kikatiba yanayo karibiana na mamlaka ya Rais lakini hakuwahi kuww Rais wa nchi hii.
Hata kauli zake hazikuwa kauli za Rais.
" Nataka matajiri wote wa nchi hii waanze kuishi kama mashetani"
" Marais wastaafu wana washwa washwa "
" Mimi sijaleta mafuriko ( Bukoba)"
Bila kusahau matendo Yake maovu Kwa wananchi.
Fast forward 2021 Mungu kaamua kuonyesha ukuu wake na mapenzi Yake juu ya taifa la Tanzania.
Samia chaguo la Mungu. Samia Hadi 2035.
Na baada ya Samia Rais atakae fuata atakuwa mwanamke.
Wanaume nchi mkipewa mnapiga wananchi wenu Risasi ikulu Shahidi Kabendera
Nilimaanisha hivyohivyoNadhani umeelewa vibaya au aliyekuambia amechanganya maelezo.. Ngoja nikupe uhalisia ulivyokuwa. Ni kisa kirefu lakini chakusisimua.
Tetesi zinasema yule mama (na wenzake wote yaani Asharose Migiro na Magufuli) hadi kufikia hatua ile ya fainali ya kinyang'anyiro alibebwa na upepo wa misuguano ya kisiasa, kukatana, kususiana na kukomoana baina ya kambi ya Lowassa na Membe (JK). Na kwakuwa mkutano mkuu ule huenda kwa zaidi ya 90% ulikuwa una wajumbe ambao wagombea wao tayari walikuwa wameshakatwa, ni wazi yoyote kati yao angeweza kubebwa na chochote kile kutoka kwa wale wajumbe.
Hakukuwa na chochote cha kupoteza (sio kwa wagombea wala wajumbe), hakuna haja ya sera, suala ni kuongea chochote kile ili kwenda na upepo wa kisiasa uliopandikizwa vichwani mwa wajumbe. Unaweza kuwa upepo wa kidini, kikabila, kikanda au kikundi. Kijinsia, Mama akaona upepo wa kikundi (team Lowassa) ulikuwa na nguvu zaidi na umebeba mwelekeo wa ushindi, hapo hapo akaswitch na kutambaa nao, na kwa ile kauli yake ya kusema anamuunga mkono Lowassa ilipokelewa kwa shangwe, nderemo na vifijo ukumbi mzima hii inatoa picha huenda kura zilitosha lakini wahuni ndani ya mfumo wakageuza matokeo kwa sababu walijua wazi mama hataweza kutoshea kuongoza hii nchi.
Nisaidie hiyo clip ya " Marais wastaafu wana washwa washwa " please.