Elections 2015 Je ni kweli mgombea Urais CCM 2015 alikuwa Amina Ally ila kwa kutamka Lowassa atakuwa Makamu wake akagauza upepo?

Magufuri hachafuriki kwa essay au maneno mengi yuko kwenye mioyo ya wengi wanaoibiwa na ila wezi na mafisadi hawezzi kumpenda kamwe
 
Hongera mkuu umefafanua kiroho zaidi aiseh!!
 
Ingetokea hiyo ingekuwa ni kiburi cha hsli ya juu. Yaani CCM walitska kutuwekea mtu ambaye Watanzania hawamjui....!?
 
Comment yako imejaa taarabu kuliko point uliyotakiwa kuisema, anyway mbona ht Samia nae alishawahi kusema kuwa yeye n rais tena mwanamke, kwahy nae pia alikuwa anashindana na sauti inayomwambia yeye sio rais?
 
Ingetokea hiyo ingekuwa ni kiburi cha hsli ya juu. Yaani CCM walitska kutuwekea mtu ambaye Watanzania hawamjui....!?
🤝
Nakubaliana nanyi 100%
 
Kaaazi kweli kweli.
 
Umeandika upu. uzi mtupu.
JPM ni Rais aliyeigusa mioyo ya Watanzania wengi katika historia ya nchi hii.
Hata kama mmetengewa mabilioni ya fedha ili kumchafua, mtachafuka nyinyi
 
Hivi walokole ni lazima mtufanye kila mtu kama Hana akili eeh

Andiko lako ni zuri but Lina mambo mengi ya kufikilika ambayo hayana ushahidi

Mambo ya mungu kuyaingiza kwenye maamuzi ya binadamu sioni kama ni Sawa

Mnaconnect dotes sana
 
Me Sio mlokole.

Am a Muslim. Nitake radhi tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…