Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
WalewaleNdiyo huyu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WalewaleNdiyo huyu!
Magufuri hachafuriki kwa essay au maneno mengi yuko kwenye mioyo ya wengi wanaoibiwa na ila wezi na mafisadi hawezzi kumpenda kamweHaupo mbali na ukweli, katika ulimwengu wa roho , kiti cha Urais wa Tanzania kilipaswa kukaliwa na mwanamke ndio maana Amina Salum Ally akashinda kura za maoni.
Baada ya jina la Lowassa kukatwa watu wa Lowassa wakapiga kura za hasira Kwa Amina Ally (this was spiritually programmed from the heavens Kwa sababu Mungu alitaka Mwanamke ndio awe Rais wa nchi hii/ sauti ya wengi = sauti ya Mungu)
Lakini Mzee Mkapa na wenzake walishindwa Ku pick hii message from the heaven wakaamua kushindana na sauti ya Mungu( chaguo la Mungu), wakakata jina la Amina Salum Ally wakaweka jina la mtu ambae hakuwa na sifa Kabisa za kuwa Rais .
Mtu ambae labda angestahili kuwa Mkurugenzi wa Takukuru tu.
Hata hivyo Kwa kuwa Mungu Alisha taka lake kwamba kiti cha Urais wa Tanzania lazima kikaliwe na mwanamke, akawapiga upofu akina Nzee Nkapa Kwa aibu wakamuweka Mama Samia Suluhu Hassan awe mgombea mwenza wa Magufuli.
Mungu akaanza Kwa kuprove Kwa akina Nzee Nkapa kwamba chaguo Lake halikuwa Magufuli Bali mwanamke ndio alitakiwa kuwa Rais wa nchi hii.
Magufuli alifanya vituko vya ajabu kiasi kwamba hata ile tu kusema huyu mtu aliwahi kuwa Rais wa Tanzania mbingu zinatetemeka ( Tanzania ni taifa takatifu. Wakristu na waislamu wakijua what does Tanzania represent in the realm of the spirits wataacha kwenda kuhiji Maka na Jerusalem na badala yake watakuwa wana hiji hapa hapa Tanzania)
Back to the point: Kwenye uchaguzi alishinda Lowassa Kwa tofauti ya kura nyingi Sana ndio maana Magufuli alikuwa kila saa anawaambia watu " Mimi ndio Rais" Kwa sababu alikuwa anajua ukweli kwamba hakuwahi kuchaguliwa kuwa Rais na sauti yake ya ndani ilikuwa inamshuhudia kwamba yeye Sio Rais.
Kwa kusema " Mimi ndio Rais" Magufuli alikuwa ana zungumza na sauti ya ndani kutoka Kwa Mungu iliyo kuwa ina mwambia kwamba " wewe Sio Rais"
Na kiuhalisia kabisa Samia alikuwa ndio kama Rais na Magufuli alikuwa kama Waziri mkuu.
Nani Alie kuwa anaenda safari za nje za Tanzania? = Samia. Kwanini? Kwa sababu katika ulimwengu WA roho yeye ndio alikuwa Rais wa Tanzania.
( Hapa Mbingu zilikuwa zinamuandaa Samia na mamlaka kamili ya Urais)
Magufuli alikuwa ana act kama Waziri mkuu wa Tanzania mwenye mamlaka ya kikatiba yanayo karibiana na mamlaka ya Rais lakini hakuwahi kuwa Rais wa nchi hii.
Hata kauli zake hazikuwa kauli za Rais.
" Nataka matajiri wote wa nchi hii waanze kuishi kama mashetani"
" Marais wastaafu wana washwa washwa "
" Mimi sijaleta mafuriko ( Bukoba)"
Bila kusahau matendo Yake maovu Kwa wananchi kama vile kuwadhulumu wakulilma wa korosho Mtwara etc.
Fast forward 2021 Mungu kaamua kuonyesha ukuu wake na mapenzi Yake juu ya taifa la Tanzania.
Samia chaguo la Mungu. Samia Hadi 2035.
Na baada ya Samia Rais atakae fuata atakuwa mwanamke.
Wanaume nchi mkipewa mnapiga wananchi wenu Risasi ikulu Shahidi Kabendera
Hongera mkuu umefafanua kiroho zaidi aiseh!!Haupo mbali na ukweli, katika ulimwengu wa roho , kiti cha Urais wa Tanzania kilipaswa kukaliwa na mwanamke ndio maana Amina Salum Ally akashinda kura za maoni.

According to KingwenduMagufuri hachafuriki kwa essay au maneno mengi yuko kwenye mioyo ya wengi wanaoibiwa na ila wezi na mafisadi hawezzi kumpenda kamwe
Na baba ChauAccording to Kingwendu
Nipo hapa Dodoma mzee mmoja wa Makamo ndani ya chama kateta nami jambo hili.
Mzee anadai Balozi Amina Ally aliteleza wakati wa kuomba kura huku akijua wazi jina la Lowassa limekatwa na kudai atamteua kuwa mgombea mwenza.
Kauli yake hiyo kilimkera mwenye Chama chake kipindi hicho na bahati ikahamia kwa Magufuli.
Comment yako imejaa taarabu kuliko point uliyotakiwa kuisema, anyway mbona ht Samia nae alishawahi kusema kuwa yeye n rais tena mwanamke, kwahy nae pia alikuwa anashindana na sauti inayomwambia yeye sio rais?Haupo mbali na ukweli, katika ulimwengu wa roho , kiti cha Urais wa Tanzania kilipaswa kukaliwa na mwanamke ndio maana Amina Salum Ally akashinda kura za maoni.
Baada ya jina la Lowassa kukatwa watu wa Lowassa wakapiga kura za hasira Kwa Amina Ally (this was spiritually programmed from the heavens Kwa sababu Mungu alitaka Mwanamke ndio awe Rais wa nchi hii/ sauti ya wengi = sauti ya Mungu)
Lakini Mzee Mkapa na wenzake walishindwa Ku pick hii message from the heaven wakaamua kushindana na sauti ya Mungu( chaguo la Mungu), wakakata jina la Amina Salum Ally wakaweka jina la mtu ambae hakuwa na sifa Kabisa za kuwa Rais .
Mtu ambae labda angestahili kuwa Mkurugenzi wa Takukuru tu.
Hata hivyo Kwa kuwa Mungu Alisha taka lake kwamba kiti cha Urais wa Tanzania lazima kikaliwe na mwanamke, akawapiga upofu akina Nzee Nkapa Kwa aibu wakamuweka Mama Samia Suluhu Hassan awe mgombea mwenza wa Magufuli.
Mungu akaanza Kwa kuprove Kwa akina Nzee Nkapa kwamba chaguo Lake halikuwa Magufuli Bali mwanamke ndio alitakiwa kuwa Rais wa nchi hii.
Magufuli alifanya vituko vya ajabu kiasi kwamba hata ile tu kusema huyu mtu aliwahi kuwa Rais wa Tanzania mbingu zinatetemeka ( Tanzania ni taifa takatifu. Wakristu na waislamu wakijua what does Tanzania represent in the realm of the spirits wataacha kwenda kuhiji Maka na Jerusalem na badala yake watakuwa wana hiji hapa hapa Tanzania)
Back to the point: Kwenye uchaguzi alishinda Lowassa Kwa tofauti ya kura nyingi Sana ndio maana Magufuli alikuwa kila saa anawaambia watu " Mimi ndio Rais" Kwa sababu alikuwa anajua ukweli kwamba hakuwahi kuchaguliwa kuwa Rais na sauti yake ya ndani ilikuwa inamshuhudia kwamba yeye Sio Rais.
Kwa kusema " Mimi ndio Rais" Magufuli alikuwa ana zungumza na sauti ya ndani kutoka Kwa Mungu iliyo kuwa ina mwambia kwamba " wewe Sio Rais"
Na kiuhalisia kabisa Samia alikuwa ndio kama Rais na Magufuli alikuwa kama Waziri mkuu.
Nani Alie kuwa anaenda safari za nje za Tanzania? = Samia. Kwanini? Kwa sababu katika ulimwengu WA roho yeye ndio alikuwa Rais wa Tanzania.
( Hapa Mbingu zilikuwa zinamuandaa Samia na mamlaka kamili ya Urais)
Magufuli alikuwa ana act kama Waziri mkuu wa Tanzania mwenye mamlaka ya kikatiba yanayo karibiana na mamlaka ya Rais lakini hakuwahi kuwa Rais wa nchi hii.
Hata kauli zake hazikuwa kauli za Rais.
" Nataka matajiri wote wa nchi hii waanze kuishi kama mashetani"
" Marais wastaafu wana washwa washwa "
" Mimi sijaleta mafuriko ( Bukoba)"
Bila kusahau matendo Yake maovu Kwa wananchi kama vile kuwadhulumu wakulilma wa korosho Mtwara etc.
Fast forward 2021 Mungu kaamua kuonyesha ukuu wake na mapenzi Yake juu ya taifa la Tanzania.
Samia chaguo la Mungu. Samia Hadi 2035.
Na baada ya Samia Rais atakae fuata atakuwa mwanamke.
Wanaume nchi mkipewa mnapiga wananchi wenu Risasi ikulu Shahidi Kabendera
Nchi yetu kutoka kwenye umasikini bado tuna kazi kubwa sana yaani, nadhani ccm ifike hatua sasa iache dharau, ifikirie zaidi future ya nchi kuliko kuendekeza uchama, sasa mtu hajawahi kufanya jambo lolote remarkable eti awe rais, awe kiongozi, huaga mnategemea nini? Kwamba tu, Yes tumefanya uchaguzi wa rais? Kama ni kweli Mkapa alimpendekeza Magufuli kua rais and wale waliomtaka Lowassa kua mgombea na akakatwa then (kwa mtazamo wangu ) hao ndio walikua wazalendo halisi wa nchi hi, both Magufuli na Lowassa kuna vitu wamewahi kuvifanya na vikaoneka wakiwa mawaziri; huyu Amina kawahi kufanya nini? Rose Migiro or Bernard Membe same, nini wamewahi kufanya ambacho kimeweka historia kwa Tanzania? Binafsi sina kumbukumbu. Nadhani tumchague mtu kwasababu ya SIFA, kwamba huyu anaweza kututoa hapa na kutufikisha pale, sio kwasababu ni mzuri wa sura au mpole au mkali or hana makundi; havitusaidii hivo, ndio sasa unakua na rais ambaye hata yeye hajui kwanini Tanzania ni masikini.
🤝Ingetokea hiyo ingekuwa ni kiburi cha hsli ya juu. Yaani CCM walitska kutuwekea mtu ambaye Watanzania hawamjui....!?
Kaaazi kweli kweli.Haupo mbali na ukweli, katika ulimwengu wa roho , kiti cha Urais wa Tanzania kilipaswa kukaliwa na mwanamke ndio maana Amina Salum Ally akashinda kura za maoni.
Baada ya jina la Lowassa kukatwa watu wa Lowassa wakapiga kura za hasira Kwa Amina Ally (this was spiritually programmed from the heavens Kwa sababu Mungu alitaka Mwanamke ndio awe Rais wa nchi hii/ sauti ya wengi = sauti ya Mungu)
Lakini Mzee Mkapa na wenzake walishindwa Ku pick hii message from the heaven wakaamua kushindana na sauti ya Mungu( chaguo la Mungu), wakakata jina la Amina Salum Ally wakaweka jina la mtu ambae hakuwa na sifa Kabisa za kuwa Rais .
Mtu ambae labda angestahili kuwa Mkurugenzi wa Takukuru tu.
Hata hivyo Kwa kuwa Mungu Alisha taka lake kwamba kiti cha Urais wa Tanzania lazima kikaliwe na mwanamke, akawapiga upofu akina Nzee Nkapa Kwa aibu wakamuweka Mama Samia Suluhu Hassan awe mgombea mwenza wa Magufuli.
Mungu akaanza Kwa kuprove Kwa akina Nzee Nkapa kwamba chaguo Lake halikuwa Magufuli Bali mwanamke ndio alitakiwa kuwa Rais wa nchi hii.
Magufuli alifanya vituko vya ajabu kiasi kwamba hata ile tu kusema huyu mtu aliwahi kuwa Rais wa Tanzania mbingu zinatetemeka ( Tanzania ni taifa takatifu. Wakristu na waislamu wakijua what does Tanzania represent in the realm of the spirits wataacha kwenda kuhiji Maka na Jerusalem na badala yake watakuwa wana hiji hapa hapa Tanzania)
Back to the point: Kwenye uchaguzi alishinda Lowassa Kwa tofauti ya kura nyingi Sana ndio maana Magufuli alikuwa kila saa anawaambia watu " Mimi ndio Rais" Kwa sababu alikuwa anajua ukweli kwamba hakuwahi kuchaguliwa kuwa Rais na sauti yake ya ndani ilikuwa inamshuhudia kwamba yeye Sio Rais.
Kwa kusema " Mimi ndio Rais" Magufuli alikuwa ana zungumza na sauti ya ndani kutoka Kwa Mungu iliyo kuwa ina mwambia kwamba " wewe Sio Rais"
Na kiuhalisia kabisa Samia alikuwa ndio kama Rais na Magufuli alikuwa kama Waziri mkuu.
Nani Alie kuwa anaenda safari za nje za Tanzania? = Samia. Kwanini? Kwa sababu katika ulimwengu WA roho yeye ndio alikuwa Rais wa Tanzania.
( Hapa Mbingu zilikuwa zinamuandaa Samia na mamlaka kamili ya Urais)
Magufuli alikuwa ana act kama Waziri mkuu wa Tanzania mwenye mamlaka ya kikatiba yanayo karibiana na mamlaka ya Rais lakini hakuwahi kuwa Rais wa nchi hii.
Hata kauli zake hazikuwa kauli za Rais.
" Nataka matajiri wote wa nchi hii waanze kuishi kama mashetani"
" Marais wastaafu wana washwa washwa "
" Mimi sijaleta mafuriko ( Bukoba)"
Bila kusahau matendo Yake maovu Kwa wananchi kama vile kuwadhulumu wakulilma wa korosho Mtwara etc.
Fast forward 2021 Mungu kaamua kuonyesha ukuu wake na mapenzi Yake juu ya taifa la Tanzania.
Samia chaguo la Mungu. Samia Hadi 2035.
Na baada ya Samia Rais atakae fuata atakuwa mwanamke.
Wanaume nchi mkipewa mnapiga wananchi wenu Risasi ikulu Shahidi Kabendera
Umeandika upu. uzi mtupu.Haupo mbali na ukweli, katika ulimwengu wa roho , kiti cha Urais wa Tanzania kilipaswa kukaliwa na mwanamke ndio maana Amina Salum Ally akashinda kura za maoni.

Comment ya jamaa unaweza kuingia nayo studio na ukatoka na taarabu ya mipasho baina ya mwanamke dhidi ya mwanamke mwenzake.Magufuri hachafuriki kwa essay au maneno mengi yuko kwenye mioyo ya wengi wanaoibiwa na ila wezi na mafisadi hawezzi kumpenda kamwe
Watu walisema JPM anateka na kuua watu 😂 n mwaka wa tatu huu jamaa amefariki ila dozi ya utekaji na uuwaji ipo pale paleUmeandika upu. uzi mtupu.
JPM ni Rais aliyeigusa mioyo ya Watanzania wengi katika historia ya nchi hii.
Hata kama mmetengewa mabilioni ya fedha ili kumchafua, mtachafuka nyinyi
Picha inaombwa kitaalam kweliPicha yake kuipata ndo kazi sana.
Ni misitari ya taarabu sanaComment ya jamaa unaweza kuingia nayo studio na ukatoka na taarabu ya mipasho baina ya mwanamke dhidi ya mwanamke mwenzake.
Haupo mbali na ukweli, katika ulimwengu wa roho , kiti cha Urais wa Tanzania kilipaswa kukaliwa na mwanamke ndio maana Amina Salum Ally akashinda kura za maoni.
Baada ya jina la Lowassa kukatwa watu wa Lowassa wakapiga kura za hasira Kwa Amina Ally (this was spiritually programmed from the heavens Kwa sababu Mungu alitaka Mwanamke ndio awe Rais wa nchi hii/ sauti ya wengi = sauti ya Mungu)
Lakini Mzee Mkapa na wenzake walishindwa Ku pick hii message from the heaven wakaamua kushindana na sauti ya Mungu( chaguo la Mungu), wakakata jina la Amina Salum Ally wakaweka jina la mtu ambae hakuwa na sifa Kabisa za kuwa Rais .
Mtu ambae labda angestahili kuwa Mkurugenzi wa Takukuru tu.
Hata hivyo Kwa kuwa Mungu Alisha taka lake kwamba kiti cha Urais wa Tanzania lazima kikaliwe na mwanamke, akawapiga upofu akina Nzee Nkapa Kwa aibu wakamuweka Mama Samia Suluhu Hassan awe mgombea mwenza wa Magufuli.
Mungu akaanza Kwa kuprove Kwa akina Nzee Nkapa kwamba chaguo Lake halikuwa Magufuli Bali mwanamke ndio alitakiwa kuwa Rais wa nchi hii.
Magufuli alifanya vituko vya ajabu kiasi kwamba hata ile tu kusema huyu mtu aliwahi kuwa Rais wa Tanzania mbingu zinatetemeka ( Tanzania ni taifa takatifu. Wakristu na waislamu wakijua what does Tanzania represent in the realm of the spirits wataacha kwenda kuhiji Maka na Jerusalem na badala yake watakuwa wana hiji hapa hapa Tanzania)
Back to the point: Kwenye uchaguzi alishinda Lowassa Kwa tofauti ya kura nyingi Sana ndio maana Magufuli alikuwa kila saa anawaambia watu " Mimi ndio Rais" Kwa sababu alikuwa anajua ukweli kwamba hakuwahi kuchaguliwa kuwa Rais na sauti yake ya ndani ilikuwa inamshuhudia kwamba yeye Sio Rais.
Kwa kusema " Mimi ndio Rais" Magufuli alikuwa ana zungumza na sauti ya ndani kutoka Kwa Mungu iliyo kuwa ina mwambia kwamba " wewe Sio Rais"
Na kiuhalisia kabisa Samia alikuwa ndio kama Rais na Magufuli alikuwa kama Waziri mkuu.
Nani Alie kuwa anaenda safari za nje za Tanzania? = Samia. Kwanini? Kwa sababu katika ulimwengu WA roho yeye ndio alikuwa Rais wa Tanzania.
( Hapa Mbingu zilikuwa zinamuandaa Samia na mamlaka kamili ya Urais)
Magufuli alikuwa ana act kama Waziri mkuu wa Tanzania mwenye mamlaka ya kikatiba yanayo karibiana na mamlaka ya Rais lakini hakuwahi kuwa Rais wa nchi hii.
Hata kauli zake hazikuwa kauli za Rais.
" Nataka matajiri wote wa nchi hii waanze kuishi kama mashetani"
" Marais wastaafu wana washwa washwa "
" Mimi sijaleta mafuriko ( Bukoba)"
Bila kusahau matendo Yake maovu Kwa wananchi kama vile kuwadhulumu wakulilma wa korosho Mtwara etc.
Fast forward 2021 Mungu kaamua kuonyesha ukuu wake na mapenzi Yake juu ya taifa la Tanzania.
Samia chaguo la Mungu. Samia Hadi 2035.
Na baada ya Samia Rais atakae fuata atakuwa mwanamke.
Wanaume nchi mkipewa mnapiga wananchi wenu Risasi ikulu Shahidi Kabendera
Mwamba alisingiziwa mengi sanaWatu walisema JPM anateka na kuua watu 😂 n mwaka wa tatu huu jamaa amefariki ila dozi ya utekaji na uuwaji ipo pale pale
Nae ni bi ushungi!Ndiyo huyu!
Me Sio mlokole.Hivi walokole ni lazima mtufanye kila mtu kama Hana akili eeh
Andiko lako ni zuri but Lina mambo mengi ya kufikilika ambayo hayana ushahidi
Mambo ya mungu kuyaingiza kwenye maamuzi ya binadamu sioni kama ni Sawa
Mnaconnect dotes sana