Je, ni kweli Mpoki hakuhudhuria harusi ya Masanja?

Je, ni kweli Mpoki hakuhudhuria harusi ya Masanja?

Jamani hebu msituchoshe na mambo yenu.Kwani kutokuhudhuria kwake kumepunguza nini?Sasa watu wazima tuanze kuchunguza mambo ya watu jamani like serious????
dada asali ndo maana zikawepo forum mbalimbali,we nakushauri fungua the great thinker mkaongelee man evolution na moon landing consipiracy ,huku ni umbea na kufatilia maisha ya cerebrity
 
swali ni kwanini hakuudhuria?

kwani nao huu ni umbey?
Na kwa nn unahisi ilikua lazima ahudhurie....??? Amepunguza nn kwa kutokuwepo kwake ambacho angekiongeza angekuwepo.....??? Tafuta mashamba mlime mazao ya malighafi za viwanda, vitajengwa na kufungwa kwa kukosa malighafi kwa sabb ya kushupalia nonsense kama hz
 
Jamani hebu msituchoshe na mambo yenu.Kwani kutokuhudhuria kwake kumepunguza nini?Sasa watu wazima tuanze kuchunguza mambo ya watu jamani like serious????
Povu la nini shangazi?
 
#wanaume wa dodoma
kipilipili sisi huku Dodoma hatuma mambo ya akina comedy sasa wapi na wapi tuwashobokee, kwanza ndio tunashangaa mtu kaoa basi hata jukwaa halitoshi wakati hao kina joti tunajua wana nyumba na familia
 
Back
Top Bottom