Je, Ni kweli Msanii Marlaw alipotezwa na Siasa?

Je, Ni kweli Msanii Marlaw alipotezwa na Siasa?

Uchambuzi mujarab kabisa mkuu,dogo alikuwa kichwa sana,sijui siku hizi anajishughulisha na nini
 
Kwa sie tunaopenda burudani ya muziki wa nyumbani...uchambuzji wako umegusa karibu maswali yote niliyokua najiulizda.

Kuna tetesi nilizisikia japo sina ukweli kwamba alimuoa mdada mmoja nae alikua msanii (bethy??..sina uhakika) ila anakijungu na viuno vya kutosha. Baada ya ndoa ni kama alitangaza kuachana na muziki...sina uhakika pia.

Kuhusu kutumika ktk kampeni...kwa kiasi kikubwa nakubaliana na mtazamo wako.
Tofauti ya yeye na wasanii wengine ni kwamba wimbo wake uliovuma sana hadi Mzee Sita akasema ana cd yake (wimbo wa pi..pi..pi..pi) ulikua uko juu sana nadhani kuliko wasanii wote, alipotumia wimbo huo kuweka vionjo vya politik na kuonekana kama remix....hapo ndipo alipotuondoa wengi kwy anga zake maana remix mara nyingi inavuma kuliko ule wa mwanzo....
sasa ukiangalia maudhui ya kutoka mapenzi kuja ccm...ni kama kuongezea mafuta badala ya maji ili ugali uive...akatupoteza wengi.....namuimbiaje switiii vesi za ccm??

Wenzie japo waligeuza mashairi lkn remix zao hazikuvuna na kuwakera mashabiki....sikusikia Dangote kubadirisha vesi za mbagala kuweka ccm au Dar mpaka Moro kuwa nambari wani.

Kiujumla nyimbo zake dogo zilikua kali sana...mpaka leo hazipiti siku 3 bila kusikiliza nyimbo zake chache kama...Si mimi, Bado Umenuna etc.

Pole zake sie sasahivi tuko busy na Dangote - Ntampata wapi, bado ananijia ndotoni, haki ya Mungu sio masiharaa.....

Labda alishindwa kutofautisha kati ya eksi(mkasi-kuanguka) na kuzidisha (kuzidi kupaa). Wala tatizo sio nyota ila kujumlisha na Msalaba yeye kamiksiiii...

Umemaliza kila kitu,ova ova.
 
CCM oyeeee? SHIDAAAAAAAAAAAAAAAAA Siyo siri tena kama unataka Mungu akubariki ungana na sauti ya Wanyonge.Achana na mafisadi.MUNGU HUBARIKI KILA KAZI YENYE HERI.Msubilini na anayejiita MJOMBA nilimuona kwenye katiba mpya ameungana na mafisadi ategemee SHIDAAAAAAAAAAAAA
 
Binafsi Marlow aliniboa kwenye makampeni.......alienda kwenye campaign kwa misifa mno, akina temba walienda ka wasanii tu kawaida wakapiga shoo wakaendelea na yao.
Namhusisha na.kura za wanawake ambazo ziliipa ccm ushindi. Marlow ni Adui, tunamcheki tu.
 
Alienda kwa misifa kivipi mkuu? Mbona alichokifanya yeye ndicho wasanii wote walifanya? Nyimbo zote za wasanii zilibadilishwa mashairi yake yakawa ni ya kupigia kampeni. Ulipata nafasi ya kuzisikia nyimbo za temba na chege (mambo bado / mkono mmoja), mwasiti (hao), Diamond (Mbagala) na kadhalika.

Au ulitaka kumaanisha nini ndugu? Kipi alifanya extra hadi akakuboa?

!
!
na ndio ataisoma namba...................we muangalie tu kwanza kwenye hiyo picha. Yaani inatoka moyoni kabisa na hata bure angeimba.
 
malo yuko sawa vijana wengi tumemtema kutokana na kuwasaidia ccm kupata kura hata wale wavutabangi wengine ulio wataja akina juma wa temeke wako hoi sasa ngoja kikwete atoke madarakani aingie rowasa au ukawa uone kama huyo almasi hafi ki muziki
 
huyu ni kijana aliye na kipaji cha hali ya juu na alitumika kisiasa na chàma cha mapinduzi wakati wa kampeni za mwaka 2010. Tangu wakati huo hajatoa hata wimbo mmoja,kulikoni jamani?kapewa nini kilichofanya ubongo wake ukaganda?
 
Mi nilikuwa Sehemu moja Laela~Sumbawanga vijijini, nikasika mkulu anakuja leo(by then 2010) nikasema ngoja nikamsikie kaja na uongo gani, ghafla uwanjani nakuta Marlow anatumbuiza.
Niliondoka kabla mkutano haujaisha nikafika nyumbani nikapasua tape ya marlow tangu hapo ilikuwa mwisho wangu kusikia nyimbo zake huyo bwana.
RIP musically Marlow.
 
huyu ni kijana aliye na kipaji cha hali ya juu na alitumika kisiasa na chàma cha mapinduzi wakati wa kampeni za mwaka 2010. Tangu wakati huo hajatoa hata wimbo mmoja,kulikoni jamani?kapewa nini kilichofanya ubongo wake ukaganda?
Hivi kwani kondom ikishatumika inaweza kujirudisha kwenye paketi yake?Huyo kijana alifanya kosa kubwa sana kwenye maisha yake kujiingiza kwenye siasa za ccm. Bila shaka alikuwa na matumaini makubwa kwamba ccm ingemsaidia kutoka zaidi.
 
Amepewa pesa nyingi Sana hajamaliza kuzitumia, zikiisha atarudi tena kupiga mziki wa kuuza. Kwa sasa anakula alizonazo.
 
sio kwamba hatoi nyimbo anatoa ila hazipati airplay hata kwa ccm wenzie clouds and co wamemtema wamemsusa hata kutafutwa hatafutwi kipindi kile nilikua na kanda yake moja nyumbani albam ya bembeleza
 
iparamasa Marlow hajapewa chochote bali kaugandisha ubongo wake yeye mwenyewe.. wenzake wana slogan ya kuwa safari moja huanzisha nyingine yeye kwake ilikuwa safari moja inatosha. Marlow alilewa umaarufu na vyupi kwa sana ndio kilichomrudisha chini..kumbuka ya kwamba "kuwa nambari moja ni rahisi kuliko kubakia nambari moja ileile"
huyu ni kijana aliye na kipaji cha hali ya juu na alitumika kisiasa na chàma cha mapinduzi wakati wa kampeni za mwaka 2010. Tangu wakati huo hajatoa hata wimbo mmoja,kulikoni jamani?kapewa nini kilichofanya ubongo wake ukaganda?
 
sio kwamba hatoi nyimbo anatoa ila hazipati airplay hata kwa ccm wenzie clouds and co wamemtema wamemsusa hata kutafutwa hatafutwi kipindi kile nilikua na kanda yake moja nyumbani albam ya bembeleza

Kuna vijimbo vyake kavitoa ila havija pata airtime, hiii ndo silaha kubwa ya kumuua mtu kimuziki.
 
Back
Top Bottom