Je, ni kweli mtu anaweza kupata kazi kupitia hizi recruitment agencies?

vee15

Senior Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
118
Reaction score
55
Habari wanaJF

Nilikuwa nauliza je kweli unaweza kuipata kazi unayoomba kupitia hizi recruitment agency kama empower, brighter monday, top talented recruit na zingine? Maana utapeli siku hizi umekuwa mwingi nyingine utasikia utoe hela kwanza.

Kwa waliowahi kupata kupitia hizi naomba ushauri wenu tafadhali.
 
Nafikiri inawezekana.

Hakikisha tuu CV yako na motivation letter inakupa interviews.Kama CV au/na motivation leter(cover letter) havina mvuto, havimfanyi mwajiri atamani kukuona basi itakua vingumu.

Hivyo usikate tamaa, apply kazi nyingi kwa kadri uwezavyo ila pia jaribu kuwaonesha CV na cover letter watu unaodhani watakusaidia kukwambia kama zipo sawa.

Pia, ukiona nafasi imetangazwa na recruting agent na kwa bahati nzuri ukakuta wameweka jina la mwajiri, basi jaribu kutafuta mawasiliano/tovuti ya mwajiri utume maombi mengine moja kwa moja kwa mwajiri.

Kila la kheri.
 
Mimi ni mmoja wapo mkuu nimepata kazi na sasa hivi ni meneja kwenye kampuni fulani hapa Tanzania.

Niliomba kupitia Brightermonday, kwa ushauri wangu tu usidharau hizo agencies bali tumia mbinu zote kupambana usichague upande mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbinu gani hasa unamanisha mana naitumia brighter monday sana ila sijawahi kupata kazi zao na CV yang pamoja na barua iko vzr
 
Nafikiri inawezekana.

Hakikisha tuu CV yako na motivation letter inakupa interviews.Kama CV au/na motivation leter(cover letter) havina mvuto, havimfanyi mwajiri atamani kukuona basi itakua vingumu.

Hivyo usikate tamaa, apply kazi nyingi kwa kadri uwezavyo ila pia jaribu kuwaonesha CV na cover letter watu unaodhani watakusaidia kukwambia kama zipo sawa.

Pia, ukiona nafasi imetangazwa na recruting agent na kwa bahati nzuri ukakuta wameweka jina la mwajiri, basi jaribu kutafuta mawasiliano/tovuti ya mwajiri utume maombi mengine moja kwa moja kwa mwajiri.

Kila la kheri.
Asante mkuu kwa ushauri wako mzur nadhani nafanya yte uliyoyasema ila shukrani
 
Inategemea CV yako umeiset vipi?kuiset CV namaanisha ulivyomaliza chuo ulijipangaje kuhakikisha career yako imeenda kwenye mtiririko sahihi,lazima uoneshe kwamba wewe ni proffessional/specialist katika eneo fulani hicho tu ndicho wanachotaka na kumbuka waombaji wa kazi ni wengi sana yaani maelfu ya watu wanaomba kazi kila siku.
Shida ya Watanzania huwa tunapuyanga puyanga kuanzia kwenye elimu yetu hadi makazini yaani mtu haeleweki anataka kuwa nani in future na hapo ndipo watu wa mataifa kama kenya na mengine hutupiga bao.
Na kama umetoka chuo tafuta kampuni yeyote hata kwa kujitolea na ustick kwenye hicho unachokifanyia kazi hadi uwe mtaalamu hapo ndipo CV yako itapanda.
Mimi nilishawahi kuitwa kama mara 5 hivi na Hao Brightermonday na kufanyishwa interview kwenye makampuni mbalimbali.
Mbinu gani hasa unamanisha mana naitumia brighter monday sana ila sijawahi kupata kazi zao na CV yang pamoja na barua iko vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea CV yako umeiset vipi?kuiset CV namaanisha ulivyomaliza chuo ulijipangaje kuhakikisha career yako imeenda kwenye mtiririko sahihi,lazima uoneshe kwamba wewe ni proffessional/specialist katika eneo fulani hicho tu ndicho wanachotaka na kumbuka waombaji wa kazi ni wengi sana yaani maelfu ya watu wanaomba kazi kila siku.
Shida ya Watanzania huwa tunapuyanga puyanga kuanzia kwenye elimu yetu hadi makazini yaani mtu haeleweki anataka kuwa nani in future na hapo ndipo watu wa mataifa kama kenya na mengine hutupiga bao.
Na kama umetoka chuo tafuta kampuni yeyote hata kwa kujitolea na ustick kwenye hicho unachokifanyia kazi hadi uwe mtaalamu hapo ndipo CV yako itapanda.
Mimi nilishawahi kuitwa kama mara 5 hivi na Hao Brightermonday na kufanyishwa interview kwenye makampuni mbalimbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
sikuizi kupata tu sehem ya kujitolea nayo ni km kazi mtihani mkubwa ila asante kwa ushauri nimekuelewa
 
Back
Top Bottom