Inasikitisha sanaKweli kabisa na laana yake kila kukicha inakuwa kali zaidi ikichangiwa na ulaji wa UGALI
AaaahUkiamini uongo, unakuwa muongo. Karamu za uongo zilibadilisha neno la Bwana kuwa uongo.
Bring back our UGALIKweli kabisa na laana yake kila kukicha inakuwa kali zaidi ikichangiwa na ulaji wa UGALI
Watoto wanochungulia tupu za wazazi wao wafatilie utaona hawapo sawaHakuna cha laana mbona siku hizi watoto
wanachungulia nyuchi za wazazi wao hadi wanaona viungo vya ndani ya mwili hasa mzazi anayechunguliwa kama ni shoga na hawalaaniwi?
Mwafrika anachapika kutokana na upumbavu wake.
Kwani wanamakosa gani mkuu, mzazi anajiweka hovyo mtoto atafanyejeWatoto wanochungulia tupu za wazazi wao wafatilie utaona hawapo sawa
AhaaaKwani wanamakosa gani mkuu, mzazi anajiweka hovyo mtoto atafanyeje
Haya maswali mwisho wa siku tutaulizwa funza kaingiaje kwenye kokwa la embeJe ni kweli mtu mweusi alipata laana baada ya kuchungulia utupu wa Baba yake ?
Ukweli ni upi maana duniani kote mtu mweusi anachapika hatari.
😁😁😁😁Haya maswali mwisho wa siku tutaulizwa funza kaingiaje kwenye kokwa la embe
Mama wa kipwani anainama anatikisa makalio halafu mtoto aache kuangalia?Ahaaa
Kaini alivyomuua ndugu yake kaini Mungu alimuwekea alama, sasa tuliosoma Cuba hatuhitaji maelezo mengi, caption tu inatutosha kuelezea mpaka hitimisho😅Je ni kweli mtu mweusi alipata laana baada ya kuchungulia utupu wa Baba yake ?
Ukweli ni upi maana duniani kote mtu mweusi anachapika hatari.