figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mbona story haina nyama?Mchungaji aliebaki kanaswa kwenye camera akidokoa sadaka
Sijaona hiyo clip,unaweza kuiweka hapa.Lakini hata kama kaiba si jambo la ajabu sana.Yaani hata nikisikia mchungaji kabaka si shangai sana.Ni hiv mchungaji ni mtu kamili mwenye tabia zake.uchungaji ni koti tuu.Ila anabaki kuwa binadamu.Mchungaji aliebaki kanaswa kwenye camera akidokoa sadaka
Mbona unaleta habari robo robo mkuu?Mchungaji aliebaki kanaswa kwenye camera akidokoa sadaka
Pole sana MkuuMbona story haina nyama?
Kuna jambo yule mwanamke kafanya hapo kwenye mchakato wa kuchambua pesa au hajui kama kuna camera? So sad ni aibu sana tena mchaga huyu mdadaKuna Video nimeona sehemu, ambayo watu wanasema Mtumishi huyu wa Mungu kadokoa Sadaka Madhabahuni mwa Bwana.
Mimi naiangalia mara mbilimbili siamini macho yangu. Nimeamua kupost hapa ili wataalamu wa Video wasaidie kudadavua.
Je, huyu Kadokoa sadaka? Kama kadokoa sadaka, karma itamuacha salama?Camera za Kanisa ndizo zimemdaka au ni miujiza?
Karibuni.
View attachment 2500547
Pia soma Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu
wanakula ganji lao mapema kumbe😆😆😆Kuna Video nimeona sehemu, ambayo watu wanasema Mtumishi huyu wa Mungu kadokoa Sadaka Madhabahuni mwa Bwana.
Mimi naiangalia mara mbilimbili siamini macho yangu. Nimeamua kupost hapa ili wataalamu wa Video wasaidie kudadavua.
Je, huyu Kadokoa sadaka? Kama kadokoa sadaka, karma itamuacha salama?Camera za Kanisa ndizo zimemdaka au ni miujiza?
Karibuni.
View attachment 2500547
Pia soma Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu
Ni box la maombi ndiyo!Mnachofanya ni kuchafua tu watu. Siyo chombo cha sadaka ni sanduku la Maombi na limeandikwa kabisa hapo na watu wameweka maombi yao kwenye bahasha. Kueni jamani msiwachafue tu watu..
Liwe sanduku la maombi au sadaka zote nipesa zimetolewa kwa kanisa. Zote ni mali ya kanisa haijalishi zimetolewa kwa sababu gani, mwisho wake ni kipato cha kanisa kwa ajili ya kuendeleza neno au kazi ya Mungu.Mnachofanya ni kuchafua tu watu. Siyo chombo cha sadaka ni sanduku la Maombi na limeandikwa kabisa hapo na watu wameweka maombi yao kwenye bahasha. Kueni jamani msiwachafue tu watu..
Acha uzushi kama hujui ni afadhali ukanyamaza.....hilo ni sanduku la Maombi na limeandikwa kabisa SANDUKU LA MAOMBI...sasa hayo ni mambo na siri za watu zimeandikwa humo kwenye hizo bahasha na yakimaliza kuombewa huwa yanachomwa moto chini ya uangalizi wa Mtu anayeweza kutunza siri..Kuna Video nimeona sehemu, ambayo watu wanasema Mtumishi huyu wa Mungu kadokoa Sadaka Madhabahuni mwa Bwana.