Je, ni kweli Mtumishi wa KKKT Kijitonyama kadokoa sadaka madhabahuni?

Sawa sawa, umeeleza vizuri...ila sasa sie tutajuaje kama mtumishi wa bwana aliipeleka hiyo sadaka huko kwenye chombo kingine kama unavyosema, kumbuka haonekani akifanya hivyo kwenye kamera!.
 
Kama Facebook tu kwenye ma group yetu ya kiduanzi ***** hujui lolote
 
Aseee ....
 
Mnachofanya ni kuchafua tu watu. Siyo chombo cha sadaka ni sanduku la Maombi na limeandikwa kabisa hapo na watu wameweka maombi yao kwenye bahasha. Kueni jamani msiwachafue tu watu..
Sasa Kwa Nini achungulie maombi ya watu na kuyachukua na KUONDOKA nayo kama ni maombi!!??... Mind you na Mimi ni mkristo pia.
 
Imenitisha [emoji848]
 
Moderators tafadhalini futeni huu uzushi wa kulichafua Kanisa na watumishi wake. Video iliyoambatishwa kwenye uzi huu inaonyesha wazi kuwa lile ni sanduku la maombi na siyo sadaka,na pia inaonyesha wazi mchungaji amefungua bahasha na kutoa ile karatasi ndani ya bahasha na kuirudisha ndani ya sanduku. JF inaanza kupoteza mwelekeo kwa kuonekana inatumika kuchafua watu na taasisi.
 
Matapeli hao wanaona kondoo ni wajinga ngoja yapigwe.
 
Kwani hizo sadaka zinatolewa kwa ajili ya nini? Si ziwasaidie wachungaji? Wakale wapi kama hawajala kutoka kwa mikondoo yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…