Je, ni kweli Mtumishi wa KKKT Kijitonyama kadokoa sadaka madhabahuni?

Swali la kujiuliza,ni je huyo mama amejuaje kwamba hiyo bahasha pekee ndiyo ina sadaka?
Mbona kulikuwemo bahasha nyingi,akachagua moja.
Na nijuavyo mimi kanisa lina wazee wanaojihusisha na sadaka. Iweje mtumishi aliyetakiwa kujihusisha na maombi
kwa wakati ule ajihusishe na sadaka ilihali kuna wahudumu wanaohusika na sadaka?

Sadaka zinazochanganywa na maombi kwenye bahasha,ikibidi zinatolewa
mara ya maombi kuombewa,na wahudumu wale wanaohusika kuchoma hayo maombi
na si pale madhabahuni. Hata kama huyo mtumishi hana nia mbaya lakini kuna la kujifunza
ajirekebishe. Kazi ya sadaka awaachie wazee wa kanisa
 
Ulikuwepo? Una uhakika gani kama alihamishia kwenye sanduku la sadaka au alihamishia mfukoni kwake?
 
Mwizi ni mwizi tu
Kukubali tatizo ni mwanzo wa kulitatua huyo kama unathibitisha kweli hapo alipo ni Kanisani basi huyo hiyo hela aliichukua unless utuambie hiyo video ilichunguzwa na wataalamu wa video wakasema ni ya kutengeneza.

Mkuu huyo ni binadamu kama wengine kujisahau kupo na shetani kama tunavyoamini humuangusha mtu pale asipopategemea hilo tukubali ni tatizo acha awajibishwe iwe fundisho kwa wengine
 
Kumbe nawe ni taahira?

Hujaona kwamba ametoa karatasi ya maombi ila akaondoka na hela iliyokuwa imewekwa pamoja na karatasi ya maombi?
Sasa angeweza kuiba mbele ya watu waliomzunguka huku akijua kuwa yapo macho ya camera kila pembe ndani na nje ya Kabisa? Wewe ndiye mpumbavu kabisaaa hata hujui unashabikia nini. Bado mna akili za yule mwovu baba yenu ya kumuona kila mtu mwizi ilhali ndiye alikuwa mpigaji mkubwa
 
Kwanza hicho sio chombo cha sadaka, hicho ni chombo cha karatasi za maombi, na hapo watumishi walikuwa wanaombea hayo maombi. Potelea mbali kama alifungua bahasha kutoa karatasi ya maombi maana maombi hayawekwi kwenye bahasha. Kama umeona mtumishi kafungua bahasha na ukaona kadokoa sadaka wakati unaona kabisa box limeandikwa MAOMBI kimbia haraka ukatubu na kuungama maana karma inakunyemelea
 
Duuh noma sanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…