Nimeweka sawa kitambi na unene wa mwili mzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bonge nani sasa
sawaNimeweka sawa kitambi na unene wa mwili mzima
dah mademu michepuko mna mambo mnatamani mjitengeneze wenyewe.hivi unajua uzuri wa mke sio sura bali ni tabia.wanawake mama zetu ila mna laana ya kumkosoa muumba na hii hamtopona siku ya hesabu.mnapenda kukosoa maaumbile ya wenzenu kuliko kukosoa tabiaHabari za mida hii wapedwaaa???
Msaada:::: Nina rafiki yangu ana kitambii si kikubwa sanaa ila kinaonekanaa mfano akivaa blauzi ya kumbanaa..... Mara nyingi huwa analalamika analichukia tumboo lake na amejaribu kufanya mazoezi kashidwaaa...... Na anaogopa kuingia kwenye relationship coz hapo awali aliwahi kutoka na wanaume wawili kwa nyakati tofauti wakawa wanamsema vibaya kuhusu tumbo lake(kitambi)
Kwahiyo anaogopa kuingia tena kwenye mahusiano ......anahisi atatedwaa tena kutokana na tumbo lakeee...
......swali::je nikweli wanaume wengi hawapendi mwanamke awe na kitambii!!!?? Na km umetokea kumpenda msichana alafu ana kitambi nawewe hukipendi utafanyajeee????
USHAURI: Je, kuna njia nyingine anayoweza kuitumia ili kitambi kipungue km si kuisha kabisaaa????
Nataka ujiongezee ajiraMoyo umefanyajee unataka uache kazi yakeee ......au unataka ujiongezeee ajira nyingine????[emoji4]
Sawa dada..Oky ahsante kwa ushauri wakoo[emoji124] [emoji124]
[emoji6][emoji6]sipendi kuwa na mwanamke mwenye kitambi,tena ukute ana takodogo[emoji23]anakua na mwonekano wa lodilofa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ni kweli vinakera mno basi tu wengine wanavumilia tu kwa maana tayari wapo kwa ndoa!
Ila nanyi mpunguze kula kula hovyo kama mchwaa.
Wewe unadhani kitambi husababishwa na nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani ukila hovyo ndiyo unakuwa na kiitambii
Na huo ndo mwanzo wa kutafuta mpango wa pembeni.Kiukweli mimi binafsi sipendi mwanamke mwenye kitambi.Wanawake waelewe kua kukitokea mabadiliko kwenye miili yenu,hasa vitambi,mnatuweka kwenye hali ngumu kwani mnapunguza mvuto.
Masimango jman QueenSi kweli,tumbo linatoka ukiamua,afanye mazoez ya tumbo aache uvivu kabisa.naamin ukifanya mazoez linatoka,pia akiamka asbuh kitu cha kwanza anywe maji ya vuguvugu glass kama mbili.
Apendelee kunywa sana maji kuliko kula.
Happy with my english figure[emoji28][emoji1][emoji106]mm nakunywa mpk three to four litres per day
Ukishakua na kitambi hamna shepu tena hapo.Yah but si wote wenye vitambi ni shapeless
[emoji1][emoji28]Nmetoa ushauri jamani,masimango yapo wapiMasimango jman Queen