Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

Habari za mida hii wapedwaaa???

Msaada:::: Nina rafiki yangu ana kitambii si kikubwa sanaa ila kinaonekanaa mfano akivaa blauzi ya kumbanaa..... Mara nyingi huwa analalamika analichukia tumboo lake na amejaribu kufanya mazoezi kashidwaaa...... Na anaogopa kuingia kwenye relationship coz hapo awali aliwahi kutoka na wanaume wawili kwa nyakati tofauti wakawa wanamsema vibaya kuhusu tumbo lake(kitambi)

Kwahiyo anaogopa kuingia tena kwenye mahusiano ......anahisi atatedwaa tena kutokana na tumbo lakeee...

......swali::je nikweli wanaume wengi hawapendi mwanamke awe na kitambii!!!?? Na km umetokea kumpenda msichana alafu ana kitambi nawewe hukipendi utafanyajeee????
USHAURI: Je, kuna njia nyingine anayoweza kuitumia ili kitambi kipungue km si kuisha kabisaaa????
dah mademu michepuko mna mambo mnatamani mjitengeneze wenyewe.hivi unajua uzuri wa mke sio sura bali ni tabia.wanawake mama zetu ila mna laana ya kumkosoa muumba na hii hamtopona siku ya hesabu.mnapenda kukosoa maaumbile ya wenzenu kuliko kukosoa tabia
 
Mhhh hawakumpenda tu. Mie ninacho na nimeolewa, na mume wangu ananipendaaaaaaaaa, na mtoto nimezaaa, na naongeza mwingine sooon! Na mume wangu hastuki na habari hana. Mwambie kama kitambi hakitoko basi yy akae tu atatokea wa kumpenda tu na atamwoa na kitambi chake. Mwanaume akikupenda haangalii hayo.... Anaengalia hayo ujue wewe sio flavor yake! Mapenzi ni kama kuchagua kinywaji sio wote wanakunywa fanta.... Wengine wanakunywa clubsoda na wanaenjoooooooy
 
Kiukweli mimi binafsi sipendi mwanamke mwenye kitambi.Wanawake waelewe kua kukitokea mabadiliko kwenye miili yenu,hasa vitambi,mnatuweka kwenye hali ngumu kwani mnapunguza mvuto.
Na huo ndo mwanzo wa kutafuta mpango wa pembeni.
 
M napenda wanawake wenye matumbo nkiangalia vitovu vyao uwa naweza kupiga magoli hata kumi
 
Si kweli,tumbo linatoka ukiamua,afanye mazoez ya tumbo aache uvivu kabisa.naamin ukifanya mazoez linatoka,pia akiamka asbuh kitu cha kwanza anywe maji ya vuguvugu glass kama mbili.
Apendelee kunywa sana maji kuliko kula.

Happy with my english figure[emoji28][emoji1][emoji106]mm nakunywa mpk three to four litres per day
Masimango jman Queen
 
Mwambie ajiamini na kujipenda mwili wake kama atafanya mazoezi afanye kwa afya ila sio kwa kujistress kwamba ili kitambi kipotee. Asijisumbue kwenye mapenzi kwa maana hata wakaka wenye vitambi wapo
 
Back
Top Bottom