Afanye mazoezi. Aruke kamba. Acheze rede na watoto. Ile kujaza mchanga katika chupa (inama inuka) itamsaidia.[emoji4] [emoji4] [emoji4] yani kwa uzuri ni mzuri ....kiuno kinaonekana tumbo... Shingo miguu..... Makalioo yaah sema anakitambiii
Je mabadiliko kwa wanaume? Alikupenda ukiwa portable. Anakumudu. Leo umekuwa Bonge nyanya. Jamaa akitafutwa haonekani anaishia juu ya makende.Kiukweli mimi binafsi sipendi mwanamke mwenye kitambi.Wanawake waelewe kua kukitokea mabadiliko kwenye miili yenu,hasa vitambi,mnatuweka kwenye hali ngumu kwani mnapunguza mvuto.
Kitambi hakifai kwa jinsi zote,ukiwa mwanaume halafu unalutambi ni shida katika suala la kufanya tendo la ndoa na baadhi ya sehemu,vilevile kwa mwanamke pia,akiwa na kitambi anapoteza mvuto,hali ambayo inafanya mwenye mke amuone mkewe hana mvuto na hivyo inaweza kupelekea shida katika ufanyaji wa tendo la ndoa kwani mwanaume anaweza kupiga bao moja tu halafu akakinai,hii matokeo yake inawezakupelekea mwanamke kuanza kuchepuka na hivyo kuleta magonjwa na dharau kwenye ndoa yake.Tusiendekeze vitambi,it is unhealthy.Je mabadiliko kwa wanaume? Alikupenda ukiwa portable. Anakumudu. Leo umekuwa Bonge nyanya. Jamaa akitafutwa haonekani anaishia juu ya makende.
Tuhakikishe tuna linda miili yetu. Mie sina kitambi. Very portable.Kitambi hakifai kwa jinsi zote,ukiwa mwanaume halafu unalutambi ni shida katika suala la kufanya tendo la ndoa na baadhi ya sehemu,vilevile kwa mwanamke pia,akiwa na kitambi anapoteza mvuto,hali ambayo inafanya mwenye mke amuone mkewe hana mvuto na hivyo inaweza kupelekea shida katika ufanyaji wa tendo la ndoa kwani mwanaume anaweza kupiga bao moja tu halafu akakinai,hii matokeo yake inawezakupelekea mwanamke kuanza kuchepuka na hivyo kuleta magonjwa na dharau kwenye ndoa yake.Tusiendekeze vitambi,it is unhealthy.
Cc:MichaelrayAsante kwa Testimony shukran sana Michael kwa kutuwakilisha kwenye mgegedo[emoji41] [emoji41]
Duuuuu asee jiranii we kibokooo yani umri huo alionao akaruke redeAfanye mazoezi. Aruke kamba. Acheze rede na watoto. Ile kujaza mchanga katika chupa (inama inuka) itamsaidia.
Kama dama IPO (kusukuma kizibo kwa mguu mmoja) .Ni michezo ya kitoto lakini ni mazoezi tosha.
Anywe maji mengi.
Akipata mshikaji asi apply"KIFO CHA MENDE" Either mbwa kagoma, wengine huita chuma mchicha, au atumie "a woman on top"
Ahsante kwa ushauri ila duuu kuikubali hiyo hali kirahisi rahisi ni ngumuKumbe wenye vitambii tuna shida,mie nakipenda tu kwann bwana, si cha kwangu
Maisha ni kuchagua na usitegemee furaha yako iletwe na mtu,mm ndo sihangaikagi cjui mazoezi cjui nn, weiiii atakayenipenda na tumbo langu hawezi akakosekana, kwanza limefanya kitovu changu kiwe kizuri, halaf tutako uchwara nnavyo,kwa hyo mwambie ajipende yy kama yy kwani lazima avae nguo ya kumbana hadi tumbo lionekane, avae nguo pana nzuri maisha yatasonga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] a see mi bado mdogo toeni ushaurii tuuKila mtu kuna anachopenda na asichopenda..
Binafsi mwanamke mwenye kitambi kilichopitiliza anapungukiwa sifa mvuto.. Kitambi chake na changu vikikutana Kibamia Kitaelea[emoji12][emoji23][emoji23]
Hahaaaaa ndio ujue Sasa..... Team Vibamia lazima tukwepe vitambi[emoji125] [emoji125] [emoji125] Kitaeleaaa mission itakuwa impossible[emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] a see mi bado mdogo toeni ushaurii tuu
Wewe wa kiume/kike?Tuhakikishe tuna linda miili yetu. Mie sina kitambi. Very portable.