Je ni kweli mwanaume anatakiwa kumzidi mwanamke vitu hivi ili mahusiano yadumu?

Ni kujitambua tu, unaweza kumzidi mwanamke kila kitu, ila ukiwa bogus utaendeshwa, utagombanishwa na marafiki na ndugu zako wote, mi naona kit kikubwa zaidi ni kujitambua na kutokuwa mshamba wa mapenzi.

Kuna watu ni makini, na kuna mijitu ni bogus kwa wanawake.
Huwezi kujitambua wakati huo huo ukawa bogus haileti maana kabisa
 
mfano mzuri hivyo jibu ni kuwa kumzidi sio guarantee ya moja kwa moja lakini inasaidia maana hata Gates family ilidumu kwa miaka27 kabla ya kuvunjika!
Ndivyo ilivyo. Kudumu kwa muda mrefu (muda wote) kwenye mahusiano kunategemea mambo mengi tofauti tofauti kama vile ;

1. Hekma na busara. Yaweza kuwa kwa wote wawili mume & mke au kwa mmoja wapi

2. Kujishusha. Ni lazima wahusika waweze kuchukuliana mapungufu baina yao vile hakuna binadamu mkamilifu.

3. Usikivu ,heshima na utii. Mke anamheshimu na kumtii mume wake, na mume naye anamsikiliza mkewe.

4. Kuzimaliza tofauti baina ya wanandoa ndani badala ya kuzitoa nje (kujaziana nzi).

5. Kupeana tendo la ndoa pasipo kuwekeana mipaka (choyo) .Kipengele hiki kina nguvu kubwa sana maana hutengeneza bond "muunganiko" thabiti baina ya mke na mume. Mwanamke anayefanywa vyema akaridhika ipasavyo ni ngumu sana kumfanyia vitimbwi mumewe.

6. Malezi sahihi hasa katika kujitambua, uwezo wa kufanya kazi kwa kujituma na kutekeleza majukumu pasipo kisukumwa sukumwa

Na kadhalika
 
Naamini ili watu wawili wanaopendana wadumu muda mrefu inabidi viwepo vitu vya kuwaunganisha nje ya mapenzi pekee. Ujanja huwa haufui dafu mbele ya mahusiano mmoja akiwa mjanja lazima yavunjike, nazungumzia ujanja SIO hekima. Hekima ni kujishusha kutambua makosa, hekima ni kujua kuenenda sawa na hali au changamoto iliyopo.
 
Naomba kujuzwa nini mchango wa age gape; kwa mwanaume kumzidi mke wake umri inasaidiaje kulinda mahusiano? Wapo pia wanawake ambao waliolewa na wanaume wadogo kwao kiumuri na ndoa zao zimeenda vizuri kabisa. Hawa nina ushahidi, pengine wanayosababu ya kututafakarisha vinginevyo. Wapo pia wanaume kibao wameoa wanawake wadogo kwao kiumuri, na wengine walikuwa wababe ila hayo yote hayakusaidia?

Ni makuzi tu ya kijamii.
 
Wanakuja wanajukwaa kuleta majibu
 
Pengine hoja ya msingi ni kwamba ukimzidi umri atakuheshimu, atakusikiliza, atakutii. Heshima haiji kwa umri. Kama umeoa mwanamke mwenye kiburi au mjeuri na wewe ukawa ndiyo mzee; hata umzidi madegree mangapi, miaka mingapi, wala pesa kiasi gani atakusumbua tu.
 
Vitu ulivyotaja kwa njia moja au nyingine vinaweza kuchangia mahusiano kudumu ijapokuwa siyo guarantee, mahusiano ni kama kubet lolote laweza kutokea
Umekuwa fair mkuu mtu akiamua kukupenda kukuheshimu na kuwa nawewe ameamua VIVYO HIVYO akiamua kinyume chake pia ameamua huna cha kufanya kuzuia hata umzidi umri,elimu au pesa.
 
Pengine hoja ya msingi ni kwamba ukimzidi umri atakuheshimu, atakusikiliza, atakutii. Heshima haiji kwa umri. Kama umeoa mwanamke mwenye kiburi au mjeuri na wewe ukawa ndiyo mzee; hata umzidi madegree mangapi, miaka mingapi, wala pesa kiasi gani atakusumbua tu.
Kumzidi umri ni msingi kitamaduni na kuleta maadili kwa asilimia kubwa lakini mwanamke akikuzidi kimojawapo mfano umri au pesa chances za yeye kubadilika ni kubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom