Vurugu sio suluhisho lazima ujue kutumia hekima vizuri na kumjaza kwenye mfumo kwa kutumia vitendo na maneno yakeHawa wanawake ishini nao kwa akili. Lazima huwe makini kwelikweli, lasivyo ndoa inakuwa mahakama au ulingo wa mabondia. Ndoa iliyosheheni migogoro na ugomvi sio kitu cha kufurahia. Mwanamke kumzidi umri, pesa, au elimu haimuondolei hali ya kiburi, jeuri, usaliti, au umalaya.
Na usipokuwa makini unakuta mwanamke la saba au form four leaver anamzima mume wake na mavyeti yake, na pesa zake anazichuma, na bado umri wake haumsaidii chochote.
Na hapo wanaume wanafikiri kumpiga mwanamke ndio italeta unyenyekevu 😂👋
Ni kweli kabisaaa....umri tunaweza vumilia kidogo,ila akili na pesa havivumilikiWasalaam wakuu
Kuna hili jambo nimelisikia kwa muda sasa kuwa ili mwanamke amtii mwanaume kwenye mahusiano; iwe ni urafiki wa mwanzo,uchumba ama ndoa inabidi mwanaume amzidi mwanamke hivi vitu;-
- UMRI
- PESA
- ELIMU/AKILI
Hapo nimekuelewa mkuuNi swali mkuu sio statement ya moja kwa moja hivyo naona conclusion yako inakosoa as if nimetoa jibu la mwisho