Je, ni kweli mwanga ndio kitu chenye mwendo kasi kuliko vyote?

Pendaelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
11,050
Reaction score
31,412
Nakutakieni Heri na Neema za Mungu wakuu.
Kama kichwa cha habari kivyouliza je mwanga ndio wenye mwendo kasi kuliko vyote?
Vipi kuhusu umeme?
Vipi kuhusu sauti?
Vipi kuhusu roho?
Vipi kuhisu macho?
Vipi kuhusu fikra?

Nihayo tu wakuu ningemba kuondolewa ujinga.
 
Mwanga unasafiri kwa spidi ya mita milioni ishirini kwa sekunde,

Yaani ni sawa na kusema utamke mmooja hapo tayari mwanga unakuwa umesafiri kwa spidi ya mita milioni ishirini kwa sekunde,
Zikifika sekunde mbili ongeza tena umbali huo huo.......

Roho haionekani na haithibitiki kisayansi so kwenye sayansi hatuna kitu kinachoitwa roho,

Macho hsyasafiri bali hu sense mwanga

Fikra haijongei labda ungesema nerve impulse ningekuelewa ambayo spidi yake ni kidogo mno,

Sauti husafiri kwa spidi ya mita 340 ndani ya sekunde mmoja,

Mkuu unaelimu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu yangu ni darasa la saba mkuu.
Sauti sio kwamba ina mwendo mdogo la bali ina mezwa ndio maana haifiki mbali.ingekua haipotelei njiani ingekua sambamba na mwanga. Ni mtazamo wangu lakini.

Fikra niliokua na maanisha unaweza kuwa mwanza ukawazia dar na muda huo huo ukawa dar hapo mwanga haufikii.
Macho yasingekua na kizuizi labda milima miti nk mwanga usinge yafikia yote ni mtazamo wangu tuu
 
Kutoka dar mpaka mwanza ni km 1145.58 wakati huo huo mwanga husafiri umbali wa km 20000 kwa sekunde,

Hivyo basi hoja yako ni mfu,
Alafu usinichoshe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu yangu ni darasa la saba mkuu.
Sauti sio kwamba ina mwendo mdogo la bali ina mezwa ndio maana haifiki mbali.ingekua haipotelei njiani ingekua sambamba na mwanga. Ni mtazamo wangu lakini.

Fikra niliokua na maanisha unaweza kuwa mwanza ukawazia dar na muda huo huo ukawa dar hapo mwanga haufikii.
Macho yasingekua na kizuizi labda milima miti nk mwanga usinge yafikia yote ni mtazamo wangu tuu
Mkuu unapokuwa mwanza ukawaza dar, hakuna safari yeyote hapo ilotokea. Kilichotokea ni mawasiliano ya pande tofaut za ubongo kupitia neva. Na spidi ya taarifa zinazopita kwenye neva ni karibu sawa na spidi ya umeme kwasababu inasemekana hizo taarifa zinazopita kwenye neva nazo zipo katika mfumo wa umeme mdogo. Spidi ya umeme kusafiri ni ndogo sana ukilinganisha na mwanga. Mwanga ndio kitu pekee chenye spidi kali kupita vitu vyote ndani na nje ya dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mwanafunzi wa sayansi aliniambia eti tembo akirushwa kwa spidi ya mwanga anaweza kupita kwenye kioo na kioo kisipasuke kabisa.....tangu siku hiyo nimeanza kusoma engineering ya udaktari hapa SUA ya dodoma nategemea kupata GPA ya 32.
 
Nakutakieni Heri na Neema za Mungu wakuu.
Kama kichwa cha habari kivyouliza je mwanga ndio wenye mwendo kasi kuliko vyote?
Vipi kuhusu umeme?
Vipi kuhusu sauti?
Vipi kuhusu roho?
Vipi kuhisu macho?
Vipi kuhusu fikra?

Nihayo tu wakuu ningemba kuondolewa ujinga.

mwanga hausafiri wala hauna speed yeyote, hii aidia ya kuwa mwangaza unasafiri umeletwa kujaza mapengo na kujibu maswali ya waliosema jua liko mbali sana 93mil miles,kama jua na nyota vipo mbali sana inakuwaje tunaviona? wanaotudanganya wakaja na hii aidia ya kuwa mwangaza unasafiri na wakafanya mahesabu wakaja na speed of light kutokana na masafa ya jua,

lakini uhalisia nguvu za mwanga ni kama nguvu za smaku(magnet) penye mwanga panakuwa na duara la mwanga mkali na kila uki-move away from the light mwangaza unapungua nguvu yake.kama mwangaza unasafiri maana yake nguvu yake pia inatakiwa isafiri na isipungue
smaku(magnet) vile vile nguvu zake zinapungua kila uki-move away from it, na hatujawahipo kuambiwa kuwa kuna speed of magnetic energy, kwa sababu nguvu za smaku hazionekani kwa macho yetu

p01l482z.jpg
PW-2012-12-12-Wogan.jpg
 
View attachment 845167View attachment 845168
Asante sana we ni moja wa maginius humu[emoji3]

Nimeuliza mara nyingi ili swali kwa kudodosa

Lakini kuna mijitu ilikua inajibu kwa kukariri tu [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana we ni moja wa maginius humu[emoji3]

Nimeuliza mara nyingi ili swali kwa kudodosa

Lakini kuna mijitu ilikua inajibu kwa kukariri tu [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app

asante mkuu,mimi nimeacha muda mrefu kuendelea na ufahamu wa kukaririshwa na wenye malengo ya kutupotosha kwa makusudi, ukiwafuata wao utazaliwa na kuishi kwenye ulimwengu wa kusadikika wanaoujenga kwenye akili zetu kwa vitu vya uongo
 
Sababu pekee tunaona mwanga ni kwakua giza linakuepo.

Means kokote ambapo mwanga utaenda giza linakua la kwanza kua hapo.
 
Mwanga unasafiri kwa spidi ya mita milioni ishirini kwa sekunde,

Yaani ni sawa na kusema utamke mmooja hapo tayari mwanga unakuwa umesafiri kwa spidi ya mita milioni ishirini kwa sekunde,
Zikifika sekunde mbili ongeza tena umbali huo huo.......

Roho haionekani na haithibitiki kisayansi so kwenye sayansi hatuna kitu kinachoitwa roho,

Macho hsyasafiri bali hu sense mwanga

Fikra haijongei labda ungesema nerve impulse ningekuelewa ambayo spidi yake ni kidogo mno,

Sauti husafiri kwa spidi ya mita 340 ndani ya sekunde mmoja,

Mkuu unaelimu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Electromagnetic ndo yenye Kasi zaidi duniani according to the world great genius#NIKOLA TESLA.
 
Mkuu unapokuwa mwanza ukawaza dar, hakuna safari yeyote hapo ilotokea. Kilichotokea ni mawasiliano ya pande tofaut za ubongo kupitia neva. Na spidi ya taarifa zinazopita kwenye neva ni karibu sawa na spidi ya umeme kwasababu inasemekana hizo taarifa zinazopita kwenye neva nazo zipo katika mfumo wa umeme mdogo. Spidi ya umeme kusafiri ni ndogo sana ukilinganisha na mwanga. Mwanga ndio kitu pekee chenye spidi kali kupita vitu vyote ndani na nje ya dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nabisha
 
Back
Top Bottom