mwanga hausafiri wala hauna speed yeyote, hii aidia ya kuwa mwangaza unasafiri umeletwa kujaza mapengo na kujibu maswali ya waliosema jua liko mbali sana 93mil miles,kama jua na nyota vipo mbali sana inakuwaje tunaviona? wanaotudanganya wakaja na hii aidia ya kuwa mwangaza unasafiri na wakafanya mahesabu wakaja na speed of light kutokana na masafa ya jua,
lakini uhalisia nguvu za mwanga ni kama nguvu za smaku(magnet) penye mwanga panakuwa na duara la mwanga mkali na kila uki-move away from the light mwangaza unapungua nguvu yake.kama mwangaza unasafiri maana yake nguvu yake pia inatakiwa isafiri na isipungue
smaku(magnet) vile vile nguvu zake zinapungua kila uki-move away from it, na hatujawahipo kuambiwa kuwa kuna speed of magnetic energy, kwa sababu nguvu za smaku hazionekani kwa macho yetu
View attachment 845167View attachment 845168