Mwanga unasafiri kwa spidi ya mita milioni ishirini kwa sekunde,
Yaani ni sawa na kusema utamke mmooja hapo tayari mwanga unakuwa umesafiri kwa spidi ya mita milioni ishirini kwa sekunde,
Zikifika sekunde mbili ongeza tena umbali huo huo.......
Roho haionekani na haithibitiki kisayansi so kwenye sayansi hatuna kitu kinachoitwa roho,
Macho hsyasafiri bali hu sense mwanga
Fikra haijongei labda ungesema nerve impulse ningekuelewa ambayo spidi yake ni kidogo mno,
Sauti husafiri kwa spidi ya mita 340 ndani ya sekunde mmoja,
Mkuu unaelimu gani?
Sent using
Jamii Forums mobile app