Je, ni kweli mwanga ndio kitu chenye mwendo kasi kuliko vyote?

Je, ni kweli mwanga ndio kitu chenye mwendo kasi kuliko vyote?

kuna mwanafunzi wa sayansi aliniambia eti tembo akirushwa kwa spidi ya mwanga anaweza kupita kwenye kioo na kioo kisipasuke kabisa.....tangu siku hiyo nimeanza kusoma engineering ya udaktari hapa SUA ya dodoma nategemea kupata GPA ya 32.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mwanafunzi wa sayansi aliniambia eti tembo akirushwa kwa spidi ya mwanga anaweza kupita kwenye kioo na kioo kisipasuke kabisa.....tangu siku hiyo nimeanza kusoma engineering ya udaktari hapa SUA ya dodoma nategemea kupata GPA ya 32.
Dah nimecheka sana[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisikia mwanga wa jua unasafiri kutumia dakika 8 kutoka kwenye jua. Huwa najiuliza jua linazimika au? kila siku linazimika alafu linatumia hizo dakika kufikia dunia?? Sayansi mara nyingine[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Jua halizimiki, ila unachotakiwa kujua ni kuwa dunia inazunguka jua, wakati huo huo inajizungushusha katika mhimili wake...kujizungusha katija muhimili wake ndio sababu kuu ya kuwepo kwa usiku na mchana. Ina maana ya kwamba upande utakapokuwa unalitazama jua kwa wakati huo utakuwa ni mchana na ule haulitizami jua itakuwa ni usiku

Ndio maana unaona alfajiri mwanga unaanza kutoka ikifika saa sita jua ni kali sana na ikifika jioni mwanga unaanza kupungua na mwishoe usiku mwanga hamna kabisa zaidi ya ule wa mwezi ambao umeakisi mwanga wa jua

Hivyo itachukua mda huo kwa mwanga kutoka kwenye jua mpaka kufika duniani pale ambapo sehemu ya dunia imejifunua kwenye jua...hope umenielewa kwa kiasi fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hio kati ya hapo umeme na mwanga nini kinakimbia. Mbona kama I meme ukizimwa iringa matokeo take haya chukui sekunde name pia kuwashwa hivyo hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
umeme una speed ndogo sana huwa tunaita drift velocity yani zile electrons ni kama zinagongana kusafirisha current so effect yake inasambaa haraka sana
Ila mwanga upo kwenye kundi moja la waves zinaitwa electromagnetic radiations na zote zina sifa moja ya kuwa na speed moja ya 300000000m/s ila zinatofautiana frequency na wave lengths kundi hilo pia kuna mawimbi ya radio we hujiulizi unapigiwa simu from dar to mbeya at the same time mnasikilizana hapo bado processes za kuibadili hyo sauti iwe radio waves na simu yako. How fast are these waves?
 
I'm against
 
Back
Top Bottom