Je, ni kweli mwanga ndio kitu chenye mwendo kasi kuliko vyote?

So far ndio chenye speed labda in future wanasayansi wanaweza gundua kingine
 
kuna mwanafunzi wa sayansi aliniambia eti tembo akirushwa kwa spidi ya mwanga anaweza kupita kwenye kioo na kioo kisipasuke kabisa.....tangu siku hiyo nimeanza kusoma engineering ya udaktari hapa SUA ya dodoma nategemea kupata GPA ya 32.
Sasa ukiwa kwa speed of light unakuwa wave .. Yani unakuwa light tiyari na huna uzito
 
ManchoG.
GALAKSI
Galaksi (Galaxy) ni kundi la nyota nyingi zinazoshikamana pamoja katika anga la ulimwengu zikishikwa na graviti yao. Nyota hupatikana angani katika makundi kama mawingu makubwa sana. Kuna galaksi nyingi sana ulimwenguni. Kwa wastani kila galaksi imekadiriwa kuwa na nyota kama bilioni 100, lakini kuna galaksi kubwa na ndogo.
Galaksi yetu ikiwemo mfumo wa jua letu imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Sehemu ya nyota hizi zinaonekana kama kanda la kung’aa kwenye anga la usiku linalojulikana kama njia nyeupe (milky way). Umbo lake unafanana na kisahani ikiwa kipenyo chake ni miaka ya nuru (light years ) 100,000 ikiwa na unene wa miaka ya nuru 3,000. Galaksi ya jirani iliyo karibu angani inaitwa Andromeda ina umbali wa miaka ya nuru milioni 2.5 .
Idadi kamili ya galaksi zote angani haijulikani. Kuna makadirio ya kwamba idadi ya galaksi bilioni inaweza kuangaliwa kwa vyombo vinavyopatikana. Hadi sasa sehemu ndogo tu imehesabiwa lakini mara kwa mara galaksi mpya zinatambuliwa kwa njia ya darubini au vyombo vya angani.
Picha Uinayo hapo ndio galaksi yetu (Milky Way)!
View attachment 938327

Mimi sitaki kufahamu zipo ngapi huko angani wala ukubwa wake

Ninachotaka usahihi wa mwendo wa nuru huu mliotengeneza nyie na wataakamu wenu _hilo Tu

Sasa ikiwa mwendo unasafiri kwa kilometer hizo takriban 300'000/sekunde 1

Swali langu_utatumia muda gani kwa kusafiri

Km 200'000=?

Km 100'000=?

Km 100=?

Nipe maujuzi mkuu
 
kasi ya mwanga ni hasa sawa na 299,792,458 m / s, hii thamani na ufafanuzi mita = 300,000 km

Km 200,000 = 0.67777 s
Km 100,000 = 0.33333 s
Km 100. = 0.00333 s
Mimi sitaki kufahamu zipo ngapi huko angani wala ukubwa wake

Ninachotaka usahihi wa mwendo wa nuru huu mliotengeneza nyie na wataakamu wenu _hilo Tu

Sasa ikiwa mwendo unasafiri kwa kilometer hizo takriban 300'000/sekunde 1

Swali langu_utatumia muda gani kwa kusafiri

Km 200'000=?

Km 100'000=?

Km 100=?

Nipe maujuzi mkuu
 
Kwenye hesabu za fizikia hakuna kisichowezana

Kumbe kuna sekunde 0.00333.!

Naamini lazima pia kutakuwa na 0.00000000000000001 ya sekunde_Namba hazidanganyi[emoji1][emoji1]

Sawa mkuu
 
mwanga hausafiri wala hauna speed yeyote, hii aidia ya kuwa mwangaza unasafiri umeletwa kujaza mapengo na kujibu maswali ya waliosema jua liko mbali sana 93mil miles,kama jua na nyota vipo mbali sana inakuwaje tunaviona? wanaotudanganya wakaja na hii aidia ya kuwa mwangaza unasafiri na wakafanya mahesabu wakaja na speed of light kutokana na masafa ya jua,

lakini uhalisia nguvu za mwanga ni kama nguvu za smaku(magnet) penye mwanga panakuwa na duara la mwanga mkali na kila uki-move away from the light mwangaza unapungua nguvu yake.kama mwangaza unasafiri maana yake nguvu yake pia inatakiwa isafiri na isipungue
smaku(magnet) vile vile nguvu zake zinapungua kila uki-move away from it, na hatujawahipo kuambiwa kuwa kuna speed of magnetic energy, kwa sababu nguvu za smaku hazionekani kwa macho yetu

View attachment 845167View attachment 845168
Kama mwanga hausafiri mana yake taa ikiwashwa isiwake, au kuwasha tochi gizani ukamulika chochote maana yake mwanga umetoka kwenye tochi(chanzo) ukaenda ulipo mulika kufikia hapo mwanga kutoka kwenye chanzo na kwenda point nyingine tayari unasafiri.
 
Zenjibar ni mbishi sana usipoteze muda kubishana hamtaelewana

mkuu ukitaka kujua kama mwangaza unasafiri au la usitumie mfano wa taa,taa inapowaka kuna speed ya ile taa yenyewe kuwaka inaanza dim mpaka kufikia kiwango cha uwezo wake in watts,kwa mfano bulb ina watts 100 kwa hio ikianza kuwaka inaanza na watts 10,20,40,60,80,kisha ndio inafikia kilele cha watts 100. hii speed ya kutoka watts 10 mpaka watts 100 ndio tafsiri ya mwangaza kusafiri na ndio unayoweza ku-observe na ndio unayoweza kuipima,na ndio inayokufanya uhisi kuwa mwangaza unasafiri kutoka kwenye bulb mpaka mwisho wa uwezo wake. sasa taa ikishawaka full kama mwangaza unasafiri kweli basi mwangaza ingebidi uendelee na safari tu,lakini hivyo sivyo inavokuwa kwa sababu mwangaza hauna sifa ya kuweza kusafiri outside of its medium.

na mafano mwengine kama bulb ina watts 40 mwangaza wake hautaweza kufika ambapo watts 100 inafika,hii inaonesha wazi kuwa hio safari ya mwangaza unayoidhania wewe, ni nguvu ya taa tu na sio mwangaza kusafiri,kama mwangaza wenyewe unasafiri haijalishi bulb ni watts 40 au watts 100, ungefikia kiwango kimoja,kama mwangaza unasafiri kweli basi ungehitaji chanzo tu bila ya kujali chanzo cha mwangaza kina nguvu kiasi gani,mwangaza wenyewe ungefikia kila pahala kwa safari yake.

mwangaza kama mwangaza peke yake hauwezi kusafiri,na hauna sifa za kuweza kusafiri kwa sababu ni energy tu kama energy ya smaku,nguvu zake zinamalizikia ndani ya uwezo wake tu na haiwezi kusafiri nje ya uwezo wake,nimetoa mfani kwenye post yangu ilopita
asante, tujaribu kufungua akili zetu kuna mambo mengi sana ndani yake, dhamira ya hivi vitabu ni kuzifunga akili
 
hahaha asante mkuu mimi sio mbishi,ila nimejiridhisha kuwa science inatupotosha kwa makusudi,na sijui kwanini,ndio mana natoa maoni kutokana na uhalisi wa mambo na sio kukariri vitabu vya science au kufata watu wengine wanavyosema
 
Hivi mwanga kusafiri hii nayo kuifahamu inataka uwe na Elimu mimi nimesema wewe ni mbishi na huenda wewe una ulimu ya unajimu ndiyo maana unapotosha ukweli
Nijibu swali hili?

Unadhani mwanga wa zile air station(satellite) zilizopo angani kilometa maelfu mwanga wa taa zake unatufikia kwa namna gani?

mkuu ungekuwa unafikiria kwanza vitu kisha ndio ujenge hoja,hivi wewe kweli unadhani sisi kwa macho yetu tunaweza kuziona taa za setelites kutoka 30,000 km away,taa mbayo inaweza kuwa na ukubwa wa 2ft radius
kisha tatizo jengine ni kuwa unachanganya vitu viwili,uwezo wetu wa kuona na uwezo wa mwangaza kusafiri,sisi tunaweza kuziona nyoya angani hii haimaanishi kuwa ni mwangaza wa nyota ndio unaosafiri kuyafika macho yetu,ila ni sisi tunao uwezo wa kukiona kitu hata kama kitu hicho hakiwezi kusafiri
 
Tunawezaje kuona kama mwanga haujasafiri fikiri kidogo mfano jua liwekwe kwenye kitu lifunikwe tutauona mwanga?

Jua litolewe kitu kilichofunika mwanga usambae kwenda umbali kitendo hiki kusambaa mwanga tukiiteje?

mkuu kwa wewe kuweza kufahamu au kuona uhalisi ni shida sana kwa sababu tayari akili yako imejaa propaganda za science kwa hio ni lazima mawazo yako yote yatokane na mfumo tuliofundishwa wa science. wazungu wanaposema information is power wanakusudia info ikijaa kwenye akili ina uwezo wa kum-control mtu yeyote,thats the power of infomation,youre not free and you can not think freely,youre under science spell tangu una miaka 7 mpaka sasa,ni shida.

huo mfano wa jua lililofunikwa kisha likafunuliwa,tuko pale kuwa mwangaza hautosafiri kitachoonesha kuwa mwangaza unasafiri ni ile speed ya ufuniko ulolifunika jua,itategemea ni kwa kasi gani ufuniko ule utaondolewa,speed itakayokuwepo ni ya kuondoa ufuniko tu na hio ndio ita-determine mwangaza utatawanyika kwa kiwango kipi,kama utaondolewa slowly mwangaza utasambaa slowly na kama utaondolewa kwa kasi ya ajabu sana na mwangaza utatawanjika mara moja. na hii haina haja ya kufanya mfano wa jua hata taa ilowaka tu itakuonesha result hio hio.
sisi binadamu hatutegemei speed ya mwangaza ili macho yetu yaone,tunategemea nguvu ya mwangaza,light energy,ambayo light energy yenyewe haisafiri
 
Aah we Noma..![emoji122][emoji122][emoji122]
 
nimekuelewa sana mkuu tena sana, lakini kidogo hapo mwishoni umesema kama ikijatokea binadamu kutoweka gafla kimwili ndipo fikra zitakua na speed halisi, kwa maana kwa sasa fikra hazihesabiki katika vitu vinavyosafiri.

kama ndio hivyo mkuu hio real speed ya fikra ya wakati huo itakuwaje real wakati sasa sio real au kitu kama hicho tuseme hakitakujakutokea kamwe katika maisha ya mwanadam?

Nilichosema ni kuwa kwa mfano wewe muda huu tuseme upo Dar, halafu ukawa unafikiria kuwa unahitaji kuwa Mwanza. Kile kitendo chako cha fikra zako kukufanya ufikirie kuwa unataka kuwa uko Mwanza, ndiyo kikapelekea hayo yote niliyoyasema halafu ghafla ukajikuta kweli uko Mwanza, haupo Dar tena, yaani fikra zako ndiyo zikawa zimesababisha yote hayo. Hivyo ikitokea mambo yakafanyika kwa namna hii, then fikra zitakuwa zina kasi kuliko mwanga. Kwa kifupi ni hivyo
 
mkuu ukitaka kujua kama mwangaza unasafiri au la usitumie mfano wa taa,taa inapowaka kuna speed ya ile taa yenyewe kuwaka inaanza dim mpaka kufikia kiwango cha uwezo wake in watts,kwa mfano bulb ina watts 100 kwa hio ikianza kuwaka inaanza na watts 10,20,40,60,80,kisha ndio inafikia kilele cha watts 100. hii speed ya kutoka watts 10 mpaka watts 100 ndio tafsiri ya mwangaza kusafiri na ndio unayoweza ku-observe na ndio unayoweza kuipima,na ndio inayokufanya uhisi kuwa mwangaza unasafiri kutoka kwenye bulb mpaka mwisho wa uwezo wake. sasa taa ikishawaka full kama mwangaza unasafiri kweli basi mwangaza ingebidi uendelee na safari tu,lakini hivyo sivyo inavokuwa kwa sababu mwangaza hauna sifa ya kuweza kusafiri outside of its medium.

na mafano mwengine kama bulb ina watts 40 mwangaza wake hautaweza kufika ambapo watts 100 inafika,hii inaonesha wazi kuwa hio safari ya mwangaza unayoidhania wewe, ni nguvu ya taa tu na sio mwangaza kusafiri,kama mwangaza wenyewe unasafiri haijalishi bulb ni watts 40 au watts 100, ungefikia kiwango kimoja,kama mwangaza unasafiri kweli basi ungehitaji chanzo tu bila ya kujali chanzo cha mwangaza kina nguvu kiasi gani,mwangaza wenyewe ungefikia kila pahala kwa safari yake.

mwangaza kama mwangaza peke yake hauwezi kusafiri,na hauna sifa za kuweza kusafiri kwa sababu ni energy tu kama energy ya smaku,nguvu zake zinamalizikia ndani ya uwezo wake tu na haiwezi kusafiri nje ya uwezo wake,nimetoa mfani kwenye post yangu ilopita
asante, tujaribu kufungua akili zetu kuna mambo mengi sana ndani yake, dhamira ya hivi vitabu ni kuzifunga akili
Naona umeongelea intensity of light, inatakiwa tu ujue kuwa bulb yenye 60Watts na ile ya 100Watts tofauti zao ni intensity lakini speed ni ileile mwanga kusafiri.
 
Back
Top Bottom