FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Electromagnetic waves in general
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imetuachia maswali mengi yasiyo Na majibuPhysics kiuhalisia ni science branch yenye uhalisia sana, inaelezea ulimwengu katika uhalisia mkubwa sana yaani mambo yanaeleweka kwa 3D bila chenga
Mwanga una spidi ya takribani km 300,000 kwa sekunde mojaNakutakieni Heri na Neema za Mungu wakuu.
Kama kichwa cha habari kivyouliza je mwanga ndio wenye mwendo kasi kuliko vyote?
Vipi kuhusu umeme?
Vipi kuhusu sauti?
Vipi kuhusu roho?
Vipi kuhisu macho?
Vipi kuhusu fikra?
Nihayo tu wakuu ningemba kuondolewa ujinga.
Huu utafiti wa karne gani, kwamba mwanga hausafiri? Kumbe sasa huwa tunakosea kuweka Betri kwenye Tochi, inabdi tuachemwanga hausafiri wala hauna speed yeyote, hii aidia ya kuwa mwangaza unasafiri umeletwa kujaza mapengo na kujibu maswali ya waliosema jua liko mbali sana 93mil miles,kama jua na nyota vipo mbali sana inakuwaje tunaviona? wanaotudanganya wakaja na hii aidia ya kuwa mwangaza unasafiri na wakafanya mahesabu wakaja na speed of light kutokana na masafa ya jua,
lakini uhalisia nguvu za mwanga ni kama nguvu za smaku(magnet) penye mwanga panakuwa na duara la mwanga mkali na kila uki-move away from the light mwangaza unapungua nguvu yake.kama mwangaza unasafiri maana yake nguvu yake pia inatakiwa isafiri na isipungue
smaku(magnet) vile vile nguvu zake zinapungua kila uki-move away from it, na hatujawahipo kuambiwa kuwa kuna speed of magnetic energy, kwa sababu nguvu za smaku hazionekani kwa macho yetu
View attachment 845167View attachment 845168
Uongo wa kiwango cha uchumi wa kati wa viwandakuna mwanafunzi wa sayansi aliniambia eti tembo akirushwa kwa spidi ya mwanga anaweza kupita kwenye kioo na kioo kisipasuke kabisa.....tangu siku hiyo nimeanza kusoma engineering ya udaktari hapa SUA ya dodoma nategemea kupata GPA ya 32.
Mwanga una spidi ya takribani km 300,000 kwa sekunde moja
Umeme? spidi yake ni kati ya asilimia 50 mpaka 99 ya ile ya mwanga
Sauti? mita 300 kwa sekunde, sawa na km 0.3 kwa sekunde moja. Kwa hiyo sauti inatembea taratibu mara million (1,000,000) zadidi kuliko mwanga, na hivyo mwanga una kasi mara million zaidi kuzidi sauti
Roho? Kama fikra vile, soma hapo chini
Macho? Yanatumia mwanga. Ukiangalia juu usiku wakati wa mbalamwezi, utauona mwezi ambao uko umbali wa takribani km laki tatu, na huwa inakuchukua sekunde moja tu kuuona. Tuseme kwa mfano, mwezi ungekuwa uko umbali wa km laki 6, ingekuwa inakuchukua sekunde mbili kuuona, usingekuwa unauona papo kwa papo pindi unapokuwa umetupa jicho lako angani. Hali kadhalika kama ungekuwa umbali wa km laki 9, ingekuwa inakuchukua sekunde 3 (you would be spending a total of 3 seconds gazing in the sky, before actually seeing the moon).
Unajua kwa nini unaweza ukaangalia angani kwa muda wa hata dakika moja nzima usione kitu halafu baadaye ukaja ukagundua kuwa sehemu unayotizama kuna nyota imeanza kuonekana? Unadhani ni kuwa hiyo nyota imetokea hapo ghafla au ilikuwepo ila ulikuwa hujaiona kwa sababu pengine hukuwa umeangalia vizuri? Hapana, issue iko kama vile nilivyeeleza hapo juu. Ni kwamba ulikuwa unaangalia vizuri tu, wala hukuwa umeangalia vibaya, na hiyo nyota ilikuwepo pale pale ambapo baadaye umekuja kuona kuwa ipo, haikutokea ghafla isipokuwa IKO UMBALI AMBAO MWANGA HAUWEZI KUWA UMEIFIKIA NDANI YA MUDA HUO WA DAKIKA MOJA, na hivyo ili uweze kuiona inabidi muda halisi utimie, halafu ndiyo uione, ukizingatia spidi ya Mwanga.
Fikiria pia hata scenerio kwamba mko wawili mwenzako akakwambia FULANI EBU ONA NYOTA ILE PALE, halafu wewe ukianza kuangalia huioni, ila baada ya muda na wewe ukaweza kuiona kuwa ile pale. Ni kwamba aliyekuonyesha alianza kabla kuangalia halafu ukafikia wakati wa kuiona, na wewe ukishaanza kuangalia juu, inabidi muda unaohitajika ili kuweza kuiona utimie, kulingana na umbali ule iliopo
Fikra? Hazina real speed, zina abstract speed kama zilivyo zenyewe. Huko mbele kama kutakuja kutokea TEKNOLOJI ya kumuwezesha binadamu kupotea ghafla hapa duniani kwa kupoteza umbile alilonalo (disintegration of a phsical body and dissappearance) na kwa muda huo huo pia akawa na uwezo wa kusafiri mpaka sehemu nyingine aliyokuwa anaifikiria, akaenda akajiunganisha upya tena huko mwili wake ukarudi EXACTLY katika namna kama alivyokuwa kabla, na ukiwa mahali pengine, let's say kwenye Galaxy nyingine ya jirani kama vile Andromeda, then kwa mtindo huu teknolojia itakuwa imeziwezesha fikra kuwa na real speed na obvious ziakuwa zimezidi ile spidi ya mwanga. Ubarikiwe
Shetani anakimbia zaidi
Exact angalia hata kioo kikipigwa risasi...Inawezekana kabisa, refer E=MC^2 , where E is energy, M mass C speed of light. Sasa ukichukua mfano jiwe ukarusha kwenye kioo kwa spee ndogo zaidi utakuta kioo kinapasuka sehemu kubwa, tofauti na ukichukua jiwe ukarusha kwa speed kubwa mno kioo kitapasuka kwa kifuata shape ya jiwe, sasa ukiongeza speed zaidi kama ya light, jiwe litabadilika in terms of waves na linaweza pita kwa kupasua kioo kidogo sana au lisipasua..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kwa sauti
usizungumzie ishu ya mass... zungumzia speed... ametoa mfano kwamba jiwe ukirusha kwa speed ndogo kinaweza kuvunja kioo chote... pia ukilirusha kwa kasi basi kioo kitavunjika kufuatana na speed ya jiwe... Maana yake speed inaposzidi kuongezeka zile effect za kuvinjika zinakuwa ndogo zaidi... So tunaconclude kwamba at very high speed kama hiyo ya light, tembo anapita kwenye kioo bila hata kukivunja...Mkuu tuifanye hiyo hesabu basi kiloza tembo si zinajulikana tena tuchukue tembo wa africa wanasema ye ni mkubwa kuliko tembo wengine tuanzie hapo bosi wangu
Yeah this is possible kabisaAah nmekumbuka kuna mtu alinambia kitu lets say train ikiwa kwenye speed kubwa sana unaweza ukaigusa ikahama relini ndo mana wanaokimbizaga magari wanawekaga vitu vizito
Kabla hujawasha mwanga umefika... Basi ntakuwa siwashi tochi...Check mwanga wa jua unatumia mda gani kufika duniani ! Chukua tochi yenye mwanga mkali ukilenga mahali kabla hujawasha mwanga umeshafika . Ni kipi chenye speed kuliko mwanga ?
Kama yapi?Imetuachia maswali mengi yasiyo Na majibu
Huu utafiti wa karne gani, kwamba mwanga hausafiri? Kumbe sasa huwa tunakosea kuweka Betri kwenye Tochi, inabdi tuache
Hayo mengine na yafuate baadaeLakini hizi nyota nyingine angani tunaziona usiku kwa ukaribu ni kwamba mwanga wake ndio uliosafiri kwa ma mibilion ya mail kutufikia sisi
Kwa mfano mwonekano wa Nyota kama Aldebaran Kama lingekuwa jitu lisililo na mwanga lakini lilipo kuna mwanga ingemchukua mtu muda dakika 60 sekunde 3600 kuangalia angani ili aione.
View attachment 938272View attachment 938274
Hayo mengine na yafuate baadae
Kwanza Ni usahihi wa mwendokasi wa nuru
Kwanini uwe na kiwango kimoja cha usafiri wa mawimbi yake.!?
Wakati tuna uhakika wa kwamba nyota hazifanani muwako wake huko juu angani.!