Mwanga unasafiri kwa spidi ya mita milioni ishirini kwa sekunde,
Mkuu unaelimu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanga una speed ya light
Hakuna kingine chenye speed ya light zaidi ya mwanga
Mmmhhh....!
Elimu yangu ni darasa la saba mkuu.Mwanga unasafiri kwa spidi ya mita milioni ishirini kwa sekunde,
Yaani ni sawa na kusema utamke mmooja hapo tayari mwanga unakuwa umesafiri kwa spidi ya mita milioni ishirini kwa sekunde,
Zikifika sekunde mbili ongeza tena umbali huo huo.......
Roho haionekani na haithibitiki kisayansi so kwenye sayansi hatuna kitu kinachoitwa roho,
Macho hsyasafiri bali hu sense mwanga
Fikra haijongei labda ungesema nerve impulse ningekuelewa ambayo spidi yake ni kidogo mno,
Sauti husafiri kwa spidi ya mita 340 ndani ya sekunde mmoja,
Mkuu unaelimu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka dar mpaka mwanza ni km 1145.58 wakati huo huo mwanga husafiri umbali wa km 20000 kwa sekunde,Elimu yangu ni darasa la saba mkuu.
Sauti sio kwamba ina mwendo mdogo la bali ina mezwa ndio maana haifiki mbali.ingekua haipotelei njiani ingekua sambamba na mwanga. Ni mtazamo wangu lakini.
Fikra niliokua na maanisha unaweza kuwa mwanza ukawazia dar na muda huo huo ukawa dar hapo mwanga haufikii.
Macho yasingekua na kizuizi labda milima miti nk mwanga usinge yafikia yote ni mtazamo wangu tuu
Mwanga una spidi ya light? Mwanga ndio light.Mwanga una speed ya light
Hakuna kingine chenye speed ya light zaidi ya mwanga
Mmmhhh....!
Mkuu unapokuwa mwanza ukawaza dar, hakuna safari yeyote hapo ilotokea. Kilichotokea ni mawasiliano ya pande tofaut za ubongo kupitia neva. Na spidi ya taarifa zinazopita kwenye neva ni karibu sawa na spidi ya umeme kwasababu inasemekana hizo taarifa zinazopita kwenye neva nazo zipo katika mfumo wa umeme mdogo. Spidi ya umeme kusafiri ni ndogo sana ukilinganisha na mwanga. Mwanga ndio kitu pekee chenye spidi kali kupita vitu vyote ndani na nje ya dunia.Elimu yangu ni darasa la saba mkuu.
Sauti sio kwamba ina mwendo mdogo la bali ina mezwa ndio maana haifiki mbali.ingekua haipotelei njiani ingekua sambamba na mwanga. Ni mtazamo wangu lakini.
Fikra niliokua na maanisha unaweza kuwa mwanza ukawazia dar na muda huo huo ukawa dar hapo mwanga haufikii.
Macho yasingekua na kizuizi labda milima miti nk mwanga usinge yafikia yote ni mtazamo wangu tuu
Mtu anayeomba kufahamishwa hajibiwi hivi.Kutoka dar mpaka mwanza ni km 1145.58 wakati huo huo mwanga husafiri umbali wa km 20000 kwa sekunde,
Hivyo basi hoja yako ni mfu,
Alafu usinichoshe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nkaishia kuguna hapo mkuu sijui nmeandika nnMwanga una spidi ya light? Mwanga ndio light.
Nakutakieni Heri na Neema za Mungu wakuu.
Kama kichwa cha habari kivyouliza je mwanga ndio wenye mwendo kasi kuliko vyote?
Vipi kuhusu umeme?
Vipi kuhusu sauti?
Vipi kuhusu roho?
Vipi kuhisu macho?
Vipi kuhusu fikra?
Nihayo tu wakuu ningemba kuondolewa ujinga.
Asante sana we ni moja wa maginius humu[emoji3]mwanga hausafiri wala hauna speed yeyote, hii aidia ya kuwa mwangaza unasafiri umeletwa kujaza mapengo na kujibu maswali ya waliosema jua liko mbali sana 93mil miles,kama jua na nyota vipo mbali sana inakuwaje tunaviona? wanaotudanganya wakaja na hii aidia ya kuwa mwangaza unasafiri na wakafanya mahesabu wakaja na speed of light kutokana na masafa ya jua,
lakini uhalisia nguvu za mwanga ni kama nguvu za smaku(magnet) penye mwanga panakuwa na duara la mwanga mkali na kila uki-move away from the light mwangaza unapungua nguvu yake.kama mwangaza unasafiri maana yake nguvu yake pia inatakiwa isafiri na isipungue
smaku(magnet) vile vile nguvu zake zinapungua kila uki-move away from it, na hatujawahipo kuambiwa kuwa kuna speed of magnetic energy, kwa sababu nguvu za smaku hazionekani kwa macho yetu
View attachment 845167View attachment 845168
Asante sana we ni moja wa maginius humu[emoji3]
Nimeuliza mara nyingi ili swali kwa kudodosa
Lakini kuna mijitu ilikua inajibu kwa kukariri tu [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Electromagnetic ndo yenye Kasi zaidi duniani according to the world great genius#NIKOLA TESLA.Mwanga unasafiri kwa spidi ya mita milioni ishirini kwa sekunde,
Yaani ni sawa na kusema utamke mmooja hapo tayari mwanga unakuwa umesafiri kwa spidi ya mita milioni ishirini kwa sekunde,
Zikifika sekunde mbili ongeza tena umbali huo huo.......
Roho haionekani na haithibitiki kisayansi so kwenye sayansi hatuna kitu kinachoitwa roho,
Macho hsyasafiri bali hu sense mwanga
Fikra haijongei labda ungesema nerve impulse ningekuelewa ambayo spidi yake ni kidogo mno,
Sauti husafiri kwa spidi ya mita 340 ndani ya sekunde mmoja,
Mkuu unaelimu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
NabishaMkuu unapokuwa mwanza ukawaza dar, hakuna safari yeyote hapo ilotokea. Kilichotokea ni mawasiliano ya pande tofaut za ubongo kupitia neva. Na spidi ya taarifa zinazopita kwenye neva ni karibu sawa na spidi ya umeme kwasababu inasemekana hizo taarifa zinazopita kwenye neva nazo zipo katika mfumo wa umeme mdogo. Spidi ya umeme kusafiri ni ndogo sana ukilinganisha na mwanga. Mwanga ndio kitu pekee chenye spidi kali kupita vitu vyote ndani na nje ya dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app