Je, ni kweli Polepole na Dkt. Bashiru wamepata taarifa za kuhojiwa Kuhusu makosa ya uhujumu uchumi?

Ugomvi wa mawe kwenye nyumba ya vioo
 
Nani kakwambia kuwa haitii Shaka. Anayeweza kujua imetia shaka au la! Ni mahakama tu hivi viloja vyako huenda ni mahaba tu kwa polepole au we Ni sukuma gang
Uongo mtupu.

Bashiru na Polepole wamefanya kazi isiyo tia shaka kwa ccm na watanzania
 
Taarifa zilizopo zinadai kwamba baada ya Polepole kuanza kubishana na wenye nchi huku akimkosoa Mwenyekiti wake Kuhusu awamu ya sita tayari mkakati WA kuwahoji yeye na Bashiru Kuhusu fedha mbalimbali walizoidhinisha kutumika na hazionekani kufika Kwa walengwa. Mchakato huu unaelezwa kuwa mkakati wakunyamazisha watu wanaoibuka na kutaka kumkwamisha Mwenyekiti wakati watu hao hakuna SIKU wamewahi kumwoji JPM.

Swali, je watavumulia kuhojiwa nakwenda mahakama ya mafisadi au watakaa kimya na kwenda kuomba radhi kama Nape? Wakinyamazishwa watakuwa watii Kwa chama Cha mapinduzi? Ikumbukwe tayari dhambi ya ubaguzi ndani ya CCM imeanza kufanya kazi na Bashiru anaitwa mwana CUF huku kauli mbiu ya kurejesha chama Kwa wanachama ikipamba moto. Gwajima aliona gereza la mahabusu akanyamaza, tusubiri Polepole na bashiru
Polepole na Bashiru inatakiwa wakafie jela
 
Badala ya kuwahoji wale wahuni waliotengeneza mgao wa umeme bandia na kuingia mkataba na wahindi kuendesha tanesco na kununua 'Satellite monitoring' kwa gharama ya shilingi bilioni 70, mnaenda kuwahoji wazalendo Bashiru na HPP!
 
Kama hizo tetesi ni za kweli hiyo ni habari njema. Hawa watu walisumbua sana na ndo walikuwa mstari wa mbele kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
 
Ni kweli waliwasumbua sana mafisadi na wahuni ila kwa sisi wanyonge tuko pamoja nao iwe mvua au jua.
 
Uongo mtupu.

Bashiru na Polepole wamefanya kazi isiyo tia shaka kwa ccm na watanzania
Wote wezi watupu hao
Naona safari hii mafisadi na wahuni wamejipanga kwelikweli kunyamazisha kila mtu anayetoa sauti. Yajayo yanasikitisha!!
Bashiiiru na Polepole inatakiwa waminywe kisawasawa, iwe mfano kwa wapuuzi Wengine,
Lengo wamkwamishe Rais na wapindue mamlaka kenge hao
 
Sina hakika na taarifa hi, taarifa iliyopo na ilitolewa rasmi jana na Ndg H. Pole Pole mwenyewe Ni kuhusu kuitwa kwake na TCRA juu ya mashtaka yanayomkabili ya kurusha maudhui kwenye mitandao ya kijamii kwenye kipindi chake cha SHULE YA UONGOZI na alieleza na kesho ndo ataenda kujitetea haya mengine ninaweza kusema ni mwendelezo wa WAHUNI [emoji1787] kuwachonganisha hawa watu kwa serikali.

Ila nimesikia tena leo mzee Bulembo amempa onyo H. PolePole ati anyamaze, amwache mama afanye kazi na anaeleza CCM hakikuridhia uteuzi wake kama Mwenezi wa Chama kipindi cha Rais Magufuli or Godfather/ in Nape's voice ati chama kiliheshimu tu mamlaka ya uteuzi hahahhaahhaa wazee wenye chama chao nao wanataka awaachie chama chao ndg H.Polepole.

CCM ina mambo, iyena iyena, CCM ina wenyewe shekhe!![emoji1787]
 
Taarifa zilizopo zinadai kwamba baada ya Polepole kuanza kubishana na wenye nchi huku akimkosoa Mwenyekiti wake Kuhusu awamu ya sita tayari mkakati WA kuwahoji yeye na Bashiru Kuhusu fedha mbalimbali walizoidhinisha kutumika na hazionekani kufika Kwa walengwa. Mchakato huu unaelezwa kuwa mkakati wakunyamazisha watu wanaoibuka na kutaka kumkwamisha Mwenyekiti wakati watu hao hakuna SIKU wamewahi kumwoji JPM.

Swali, je watavumulia kuhojiwa nakwenda mahakama ya mafisadi au watakaa kimya na kwenda kuomba radhi kama Nape? Wakinyamazishwa watakuwa watii Kwa chama Cha mapinduzi? Ikumbukwe tayari dhambi ya ubaguzi ndani ya CCM imeanza kufanya kazi na Bashiru anaitwa mwana CUF huku kauli mbiu ya kurejesha chama Kwa wanachama ikipamba moto. Gwajima aliona gereza la mahabusu akanyamaza, tusubiri Polepole na bashiru
Polepole alifanya mradi wa kununua wapinzani. Leo kageuka mtetetezi. Mwizi mkubwa huyu.
 
Bora wale wa zamani hata kama walikuwa mafisadi lakini hatukuokota wapendwa wetu kwenye viroba kama ilivyokuwa enzi za Godfather..Tena wakiendelea kupiga domodomo nao waunganishwe kwenye kesi ya ugaidi
 
Back
Top Bottom