Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
KumbeSanta Lucia zipo...watu walicheza na upepo zilivyoadimika wakaziba gap chap...wakisingizia jina kubadilika
Tambi hizo formula wanayotumia kutengenezea wanajua wenyewe maana kuna wa hapa hapa walijaribu oya acha kabisaEti akina dini ya mwarabu wanaogopa jina la sant.Yaani Mtakatifu😀😀😀
Hayo hayana issue sema sitaki kuharibu biashara za watu ngoja nipite kimya kimyaMtakula Mo Arena
We kula tambi tuTambi za Santa Lucia zimeadimika sana kitaa, nikajikuta nauliza kwa wadau wa dukani wakaniambia ni kama zimebadilishwa jina na sasa zinaitwa Olivoila.
Yaani ni kama Tigo ilivyobadili jina na kuitwa Yas basi ndio hivyo hivyo kwa Santa Lucia.
Je, kuna ukweli kwenye hili?
View attachment 3180999
Santa Lucia zipo...watu walicheza na upepo zilivyoadimika wakaziba gap chap...wakisingizia jina kubadilika
Watu wanacheza na upepo zile ni FMCG ukiaminika tu umeula kama vile whitedentMpaka MO kaanzisha tambi zake, alivoona lucia kasepeshwa mjini
Watu wanacheza na upepo zile ni FMCG ukiaminika tu umeula kama vile whitedent
Kuadimika kwa bidhaa kwa mtu anaelipa Kodi kubwa ni hasara kubwa kwa taifaJamani mnajaza Saver za JF sasa😂
Hata viberiti kasuku ni kama Hana mpinzani mo ana viberiti vyake unawasha vitano kinawaka kimojaPamoja na blueband na Kiwi. Hawa wameaminika mno hata aingie nani kwenye soko watu watatafuta zilezile za zamani. Mbaya zaidi ni brands za Kenya sio Tanzania
Zile Tambi za yule mhindi wa ubaya ubwela haki sijui wanatumia Nini...mmhhh🙆Tambi hizo formula wanayotumia kutengenezea wanajua wenyewe maana kuna wa hapa hapa walijaribu oya acha kabisa
Hahaha tambi zimegoma kua tambi zimekua tambuuZile Tambi za yule mhindi wa ubaya ubwela haki sijui wanatumia Nini...mmhhh🙆