RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Sio nchi ya wajinga ila ni nchi ya watu wasiojijal na wepesi kusahau na kusamehe na weng hawajitambui ila sio wajinga ni jinsi ya maisha waliochagua kuishi ndo inakuchanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukusoma vita ya majimaji iliyoongozwa na shujaa Kinjekitile Ngwale?Hebu tupe hii list ya waliokufa
By the way, umeaandika pumba tupu
Japo ni kweli wabongo ni wajinga wengi tena sana, na sio viongozi, ni wananchi ndio wajinga wote
Basi tuiite nchi ya wapenda kiki na vihoja..Sio nchi ya wajinga ila ni nchi ya watu wasiojijal na wepesi kusahau na kusamehe na weng hawajitambui ila sio wajinga ni jinsi ya maisha waliochagua kuishi ndo inakuchanganya
Chukua maua yako mkuu[emoji257][emoji257]Hukusoma vita ya majimaji iliyoongozwa na shujaa Kinjekitile Ngwale?
Kina Mtemi Mirambo, Mtemi Isike, Mtemi Mkwawa, Mtemi ........ n.k
Unadhani walikufa wakipigania nini kwa unavyofikiria wewe?!
Nyinyi ni kati ya watu ambao ni wajinga wanaolitesa Taifa hili.
Tanzania haikupaswa kuwa hivi ilivyo kama ingekuwa na viongozi hodari na wenye akili zao kama JPM.
Tulipaswa kuwa superpower, si Afrika tu,, bali duniani.
Lakini kwa sababu ya ujinga na upuuzi wa baadhi (siyo wote) ya viongozi wetu na ambao hata hawakustahili kuwa viongozi, ila wamejikuta ni viongozi kwa sababu ya "connection", ndo maana tuko hapa tulipo!
Acha tu unaweza kufa na presha na wala sio wewe umeharibu anaona sawa sasa kama sifa ila makosa aliyofanya yataleta madhara baadaeInasikitisha sana..
Yaani ushindwe kum-control mtoto wako ambaye una mamlaka kwake (TPA), utawezaje kum-control jirani yako (DPW) ambaye kwa ujinga wako mwenyewe umemkaribisha kwako na kumpa mamlaka makubwa kuliko wewe mwenyewe??!
Sawa, kwa sababu ukiongozwa na mjinga, lazima na wewe uwe mjinga.ata we mwenyewe ni mjinga maana umeandika kitu cha kijinga
Tanzania ni nchi ya watu wastaarabu sana, ila wanaotwaa uongozi wanawageuza wapiga kura wao ni wajinga na mwisho wa siku kutumia vyombo vya dola kuwatisha na kuwadhulumu haki zao, in other words viongozi ndiyo wajinga, wanasahau kuwa uongozi wao ni wa kipindi kifupiTanzania kwa siku za hivi karibuni imedhihirisha kile ambacho Naibu waziri wa Afya Dk. Mollel aliwahi kusema; kwamba Tanzania wajinga ni wengi.
Kwa bahati mbaya sana hata viongozi wakubwa na wasaidizi wa Rais, nachelea kusema kwamba na wao wamejidhihirisha kwamba ni wajinga. Hii pamoja na mambo mengine, imekuja baada ya Mkataba wa Kimangungo-mangungo wa DP World.
Hivi kama kweli siyo ujinga na umbumbumbu, utaingia mkataba ambao hauna kikomo na wenye masharti ya kuondoa uhuru wa nchi na wananchi wake katika kutumia rasilimali walizojaaliwa na Mwenexi Mungu?!
Ifike mahali tuambizane ukweli japo ukweli mchungu, lakini hakuna namna sasa..Sio busara kuwaita watu wajinga ila kiukweli watanzania wengi wana uelewa mdogo
Exactly, ila ambacho huwa wanakumbuka, ni kuuza raslimali zetu kwa kujinufaisha ili waendelee kuneemeka wao na familia zao, wakitoka madarakani.Tanzania ni nchi ya watu wastaarabu sana, ila wanaotwaa uongozi wanawageuza wapiga kura wao ni wajinga na mwisho wa siku kutumia vyombo vya dola kuwatisha na kuwadhulumu haki zao, in other words viongozi ndiyo wajinga, wanasahau kuwa uongozi wao ni wa kipindi kifupi
makuwadi na madalali ya dpworld ni mapumbavu ambayo hayajui future yake yamejaa upumbavu mtupu huku yakipinga kuwa mkataba sio wa milele ila yakiambiwa kuonyesha ukomo wa mkataba hayawezi kifupi hayo makuwadi tuyakatae popote yalipo.Wajinga ni wale wanaochezeshwa Ngoma na "ma spin Doctors"wa mitandaoni kama wewe...
Kwanza ilianza ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani...Kamala Harris...
Watu walichezeshwa Ngoma humu Jf na mitandao yote kuwa Yule mama anakuja kusimamia watanzania wakubali mapenzi ya jinsia moja...
Hadi maandamano uchwara yakafanyika...bonge moja la kampeni Hadi Viongozi wa dini ambazo huko Ulaya ndo main supporter wa hizo ndoa hapa nchini wakajifanya wao ndo wako mbele kuongea kitu hata hao Wamarekani hakiko kwenye agenda zao walipokuja hapa......
Sasa limekuja la Bandari..."ma spin Doctors"kazi moja tu...
Haipiti dakika 20 threads tatu mpya zote Bandari na kutukana na kuponda serikali ....
Wajinga washasahau Ngoma waliyo chezeshwa wakati wa ziara ya Kamala Harris....wapo wanajazwa hofu na kuambiwa "waarabu wamepewa" bandari milele...🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli hii nchi ina wajinga Wengi sana
Ipo siku watadondokea kwenye 18 za wathubutu, kilichoanza Urusi leo nani alikitegemea?Exactly, ila ambacho huwa wanakumbuka, ni kuuza raslimali zetu kwa kujinufaisha ili waendelee kuneemeka wao na familia zao, wakitoka madarakani.
Hivi nani aliletaga ujinga wa kiongozi kupata 10% kwa kila project au mkataba anaoingia kwa niaba ya wananchi wenzake?!!
Kama sura yako haipo kwenye ile picha ya walioandamana jumatatu ile huna uhalali wa kumuita mwenzio mjinga .,.hakunaga shujaaa nyuma ya keyboardHata wewe kwa haya uliyoandika imejidhihirisha wazi ni mjinga. Badala ya kutetea nchi yako, kazi kupiga propaganda za kijinga za kuwatetea viongozi wajinga.
Huna akili kabisa
Ila mjinga ni wewe na nduguzo!Tanzania kwa siku za hivi karibuni imedhihirisha kile ambacho Naibu waziri wa Afya Dk. Mollel aliwahi kusema; kwamba Tanzania wajinga ni wengi.
Kwa bahati mbaya sana hata viongozi wakubwa na wasaidizi wa Rais, nachelea kusema kwamba na wao wamejidhihirisha kwamba ni wajinga. Hii pamoja na mambo mengine, imekuja baada ya Mkataba wa Kimangungo-mangungo wa DP World.
Hivi kama kweli siyo ujinga na umbumbumbu, utaingia mkataba ambao hauna kikomo na wenye masharti ya kuondoa uhuru wa nchi na wananchi wake katika kutumia rasilimali walizojaaliwa na Mwenexi Mungu?!
Hivi kama kweli hatuongozwi na wajinga, mtatuleteaje mkataba ambao tayari Rais alishasaini yapata mwaka mzima huko nyuma, eti tuujadili (kupitia wawakilishi wetu wabunge ambao pia wamedhirisha ni wajinga wa kutupwa!?)? Kama siyo ujinga huu, nini basi??
Viongozi wengi wa Tanzania ni waoga!
Wengi wako kwa ajili ya maslahi ya matumbo yao wenyewe na familia zao.
Na huwezi kuutenganisha uoga na ujinga. Wengi wanajidhalilisha kwa kutetea mambo ya kijinga ili tu waendelee kuwepo kwenye nafasi zao au wapewe promotion!
Hivi kweli hadi lini tutaendelea kuongozwa na wajinga wa aina hii?!
Mwisho, japo siyo kwa umuhimu; mjinga huwa hapendi kukosolewa, maana utashangaa baada ya ujumbe huu kusomwa na wanajamvi (ambao pia wajinga ni wengi), utashangaa uzi unatoweka kwenye mazingira ya kutatanisha na kumfuatilia mwandishi badala ya kuhangaika na kuondokana na ujinga!
Hatuwezi kuendelea kushuhudia mambo ya kijinga yakifanywa na viongozi wajinga yakiendelea katika nchi yetu.
Yaani kina Nyerere walifanya juhudi za kututoa utumwani, halafu wajinga wachache wanataka kuturidisha huko tena kwa bei chee kabisa; HAIWEZEKANI.
Amandraaaaaaaa..................
Aluta continua.
Haya majinga we yaache tu yaendelee kupoteza muda na vijinyuzi vyao ili hali serikali inaendelea na hatua zinazofuata.Wajinga ni wale wanaochezeshwa Ngoma na "ma spin Doctors"wa mitandaoni kama wewe...
Kwanza ilianza ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani...Kamala Harris...
Watu walichezeshwa Ngoma humu Jf na mitandao yote kuwa Yule mama anakuja kusimamia watanzania wakubali mapenzi ya jinsia moja...
Hadi maandamano uchwara yakafanyika...bonge moja la kampeni Hadi Viongozi wa dini ambazo huko Ulaya ndo main supporter wa hizo ndoa hapa nchini wakajifanya wao ndo wako mbele kuongea kitu hata hao Wamarekani hakiko kwenye agenda zao walipokuja hapa......
Sasa limekuja la Bandari..."ma spin Doctors"kazi moja tu...
Haipiti dakika 20 threads tatu mpya zote Bandari na kutukana na kuponda serikali ....
Wajinga washasahau Ngoma waliyo chezeshwa wakati wa ziara ya Kamala Harris....wapo wanajazwa hofu na kuambiwa "waarabu wamepewa" bandari milele...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli hii nchi ina wajinga Wengi sana
🤣🤣🤣🤣Ujinga ndio Nchi ya Watanzania