Je, ni kweli Tanzania ni nchi ya wajinga?!

Sio nchi ya wajinga ila ni nchi ya watu wasiojijal na wepesi kusahau na kusamehe na weng hawajitambui ila sio wajinga ni jinsi ya maisha waliochagua kuishi ndo inakuchanganya
 
Hebu tupe hii list ya waliokufa

By the way, umeaandika pumba tupu
Japo ni kweli wabongo ni wajinga wengi tena sana, na sio viongozi, ni wananchi ndio wajinga wote
Hukusoma vita ya majimaji iliyoongozwa na shujaa Kinjekitile Ngwale?
Kina Mtemi Mirambo, Mtemi Isike, Mtemi Mkwawa, Mtemi ........ n.k

Unadhani walikufa wakipigania nini kwa unavyofikiria wewe?!

Nyinyi ni kati ya watu ambao ni wajinga wanaolitesa Taifa hili.

Tanzania haikupaswa kuwa hivi ilivyo kama ingekuwa na viongozi hodari na wenye akili zao kama JPM.

Tulipaswa kuwa superpower, si Afrika tu,, bali duniani.


Lakini kwa sababu ya ujinga na upuuzi wa baadhi (siyo wote) ya viongozi wetu na ambao hata hawakustahili kuwa viongozi, ila wamejikuta ni viongozi kwa sababu ya "connection", ndo maana tuko hapa tulipo!
 
ata we mwenyewe ni mjinga maana umeandika kitu cha kijinga
 
Sio nchi ya wajinga ila ni nchi ya watu wasiojijal na wepesi kusahau na kusamehe na weng hawajitambui ila sio wajinga ni jinsi ya maisha waliochagua kuishi ndo inakuchanganya
Basi tuiite nchi ya wapenda kiki na vihoja..
Maana lilikuja la wasudani, wakaona halitoshi, wakatuletea la mwanafunzi Ester Mwanyoko (malaya fulani hivi), sasa hivi sijui wanajipanga kutuletea kituko gani hili kutusahaulisha na hili la Bandari zetu za Tanganyika maskini!!
Sometimes huwa natamani hadi kulia ni kwa nini Mungu aliruhusu nikazaliwa hapa Tanganyika (Tanzania bara)?!
 
Chukua maua yako mkuu[emoji257][emoji257]
 
Inasikitisha sana..
Yaani ushindwe kum-control mtoto wako ambaye una mamlaka kwake (TPA), utawezaje kum-control jirani yako (DPW) ambaye kwa ujinga wako mwenyewe umemkaribisha kwako na kumpa mamlaka makubwa kuliko wewe mwenyewe??!
Acha tu unaweza kufa na presha na wala sio wewe umeharibu anaona sawa sasa kama sifa ila makosa aliyofanya yataleta madhara baadae
 
Tanzania ni nchi ya watu wastaarabu sana, ila wanaotwaa uongozi wanawageuza wapiga kura wao ni wajinga na mwisho wa siku kutumia vyombo vya dola kuwatisha na kuwadhulumu haki zao, in other words viongozi ndiyo wajinga, wanasahau kuwa uongozi wao ni wa kipindi kifupi
 
Sio busara kuwaita watu wajinga ila kiukweli watanzania wengi wana uelewa mdogo
Ifike mahali tuambizane ukweli japo ukweli mchungu, lakini hakuna namna sasa..
Hayo mengine ya sijui uelewa mdogo sijui nini ni siasa tu.
SISI NI WAJINGA HASA!
 

Attachments

  • Screenshot_20230624-152658_Google.jpg
    131.2 KB · Views: 4
Exactly, ila ambacho huwa wanakumbuka, ni kuuza raslimali zetu kwa kujinufaisha ili waendelee kuneemeka wao na familia zao, wakitoka madarakani.
Hivi nani aliletaga ujinga wa kiongozi kupata 10% kwa kila project au mkataba anaoingia kwa niaba ya wananchi wenzake?!!
 
makuwadi na madalali ya dpworld ni mapumbavu ambayo hayajui future yake yamejaa upumbavu mtupu huku yakipinga kuwa mkataba sio wa milele ila yakiambiwa kuonyesha ukomo wa mkataba hayawezi kifupi hayo makuwadi tuyakatae popote yalipo.
 
Ipo siku watadondokea kwenye 18 za wathubutu, kilichoanza Urusi leo nani alikitegemea?
 
Hata wewe kwa haya uliyoandika imejidhihirisha wazi ni mjinga. Badala ya kutetea nchi yako, kazi kupiga propaganda za kijinga za kuwatetea viongozi wajinga.
Huna akili kabisa
Kama sura yako haipo kwenye ile picha ya walioandamana jumatatu ile huna uhalali wa kumuita mwenzio mjinga .,.hakunaga shujaaa nyuma ya keyboard
 
I
Ila mjinga ni wewe na nduguzo!
 
Haya majinga we yaache tu yaendelee kupoteza muda na vijinyuzi vyao ili hali serikali inaendelea na hatua zinazofuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…