Je, ni kweli Tanzania ni nchi ya wajinga?!

Hata wewe kwa haya uliyoandika imejidhihirisha wazi ni mjinga. Badala ya kutetea nchi yako, kazi kupiga propaganda za kijinga za kuwatetea viongozi wajinga.
Huna akili kabisa
Wajinga endeleeni na kalele zenu zisizokuwa na maana yoyote wakati serikali ikiendelea na hatua zinazofuata.
 
Wajinga endeleeni na kalele zenu zisizokuwa na maana yoyote wakati serikali ikiendelea na hatua zinazofuata.
Sawa tu, waendelee..
Ikiwezekana hata ardhi badala ya kuwa chini ya Rais, wawakabidhi tu wawekezaji kwa muda usio na kikomo ili akili zitukae sawa.
 
Jinga namba 1 hili hapa!.
 
Kama sura yako haipo kwenye ile picha ya walioandamana jumatatu ile huna uhalali wa kumuita mwenzio mjinga .,.hakunaga shujaaa nyuma ya keyboard
Mimi nilkuwepo kabisa pale.
Ndo nilishikilia lile bango la bendera yetu tukufu ya Tanganyika.
😁😁
 
Kifaranga analazimisha kutaga![emoji23][emoji23][emoji23]
Watu waliovaa magunia katika nchi hii, unadhani walivishwa magunia na nani?.

Wewe ni:
 
Ipo siku watadondokea kwenye 18 za wathubutu, kilichoanza Urusi leo nani alikitegemea?
Ogopa watu wanaoonekana ni wajinga wajinga, maana siku wakiamua, huwa wanakuwa moto wa kuotea mbali.
Ombi kwa viongozi wetu; waache mambo ya kijinga kijinga katika nchi yetu. Wakumbuke nchi inawatunza na kuwafanya waishi "comfortably". Hivyo wanapaswa kulipa fadhila kwa nchi yetu badala ya kuendelea kutuchokoza na kutuchokonoa kila kunapokucha.
 
Tuangalie hapa tutapata majibu.
Your browser is not able to display this video.
 
Hapana . Ni ya werevu na majiniazi. Kwa mfano Msukuma.
 
Kuna mmoja aliwahi kusema yeye hashauriki, hii nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…