Je, ni kweli Tanzania ni nchi ya wajinga?!

Kuna mmoja aliwahi kusema yeye hashauriki, hii nchi hii
Bora yule, maana alikataa mikataba ya Kijinga kijinga aliyoikuta na alisema ukweli ambao hatukuwahi kuujua.

Kama kuna kiongozi ambaye alikuwa transparent, basi ni huyo mnayemnanga kila kukicha licha ya kwamba hatunaye tena!
 
Kwani uongo? Nchi ya watu wasioweza kuhoji na kujisimamia wenyewe unashindwaje Kuwaita wajinga
 
Mimi naamini watanzania sio wajinga bali ni watu wanaojali sana kufanikiwa kibinafsi !! Kwahiyo kila mtu kwa nafasi yake anaangalia wapi ataipata fursa ya kujipatia fweza kama yeye binafsi !!

Hapo sasa definition ya watu wa aina hiyo sijui utawaitaje !
 
Bora yule, maana alikataa mikataba ya Kijinga kijinga aliyoikuta na alisema ukweli ambao hatukuwahi kuujua.

Kama kuna kiongozi ambaye alikuwa transparent, basi ni huyo mnayemnanga kila kukicha licha ya kwamba hatunaye tena!
Sawa mkuu, so ile 1.5 tr alisema ilipotelea wapi vile?
 
Sawa mkuu, so ile 1.5 tr alisema ilipotelea wapi vile?
Hivi kweli kwa miradi iliyoanzishwa na huyo kiongozi unadhani kama tungekuwa si wajinga, unaweza kuhoji 1 5tr ilienda wapi?
Fuatilia kwa uchache miradi ifuatayo:
1. JNHPP
2.SGR
3. JPM Bridge
4. Bombardiers
5. Madaraja
6. Hospitali kuanzia vituo vya afya hadi MNH n.k

Kama siyo mjinga, lazima uone aya kuhoji hela kiasi kidogo hicho kwamba iliendaga wapi.
 
WAJINGA
 
Sio busara kuwaita watu wajinga ila kiukweli watanzania wengi wana uelewa mdogo
Wengi huwa Wanasemaga hawawezi kuvipigania vitu ambavyo wao wanaamini haviwanufaishi individualy bali huwa vinawanufaisha baadhi ya watu waliopo pale panapogombewa !!
Hivyo ndivyo wengi wanavyoamini ,

Sasa sijui watu wa namna hiyo utawaitaje !! ?
 
Mkuu umesema huyo jamaa wako alikuwa transparent sana, mimi nikuuliza swali dogo tu hiyo 1.5tr ilienda wapi ila sijauliza miradi kwani kila kiongozi anakuja na miradi yake. Kama unajua sema ilienda kwenye mradi flani. Nchi ukweli ilipitia kwenye tanuru la moto
 
Cha kufanya ni 2025 kuwaondia wajinga Sana na tuwape wajinga kiasi,kwakua nchi mzima sisi ni wajinga
 
Cha kufanya ni 2025 kuwaondia wajinga Sana na tuwape wajinga kiasi,kwakua nchi mzima sisi ni wajinga
Kabisa Mkuu, labda kiasi fulani cha ujinga kitatutoka raia na sisi tuwe wajinga kiasi
 
WAJINGA SANA
 
Ni kweli, lakini matokeo yake kama sisi wenyewe hatuto-appreciate, basi wajukuu wetu watafanya hivyoo.
Iko siku huyo huyo mnayemnanga kila siku atatangazwa kuwa SHUJAA WA TAIFA WA MUDA WOTE..
 
We ndo mjinga.
Na kama ushaona hii ni nchi ya wajinga na wewe ni Mtz basi huwezi kujitoa kwenye ujinga huo unless uhame nchi
 
Sawa tu, waendelee..
Ikiwezekana hata ardhi badala ya kuwa chini ya Rais, wawakabidhi tu wawekezaji kwa muda usio na kikomo ili akili zitukae sawa.
Wewe ndo akili bado haijalukaa sawa
 
Ni kweli, lakini matokeo yake kama sisi wenyewe hatuto-appreciate, basi wajukuu wetu watafanya hivyoo.
Iko siku huyo huyo mnayemnanga kila siku atatangazwa kuwa SHUJAA WA TAIFA WA MUDA WOTE..
You mean yule mshenzi wa Chato aliyetuwekea lile kusanyiko pale Dom!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…