Je, ni Kweli Tayari Imeshapangwa Portugal achukue World Cup 2026?

Huu ujinga wa mwafrika kukubali kila stori za matango mtandaoni.

Kuna wajinga niliwatukana baada ya kudai kuna mganga wa kienyeji katabiri Argentina itatolewa na Cape Verde. Nikawauliza huu mchezo ni open play, yeye ana uwezo gani wa kuona kesho? Wakaleta ushabiki badala ya facts.

Timu bora ndio itachukua kombe sio hizi tabiri za wahuni. Kombe linaenda
1. France
2. Spain
3. England
4. Morocco
 
Mkuu wewe mwenyewe mbona umetabiri?
 
Una krismasi ngapi hapa mjini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…