Je, ni Kweli Tayari Imeshapangwa Portugal achukue World Cup 2026?

Je, ni Kweli Tayari Imeshapangwa Portugal achukue World Cup 2026?

Huu uzi hauwezi kufungwa kirahisi hivi. Utuambie kwanza ni nani aliyekudanganya ya kwamba Portugal wangechukua ubingwa.
Mkuu si niliainisha vyanzo za huo uvumi!
Halafu kumbuka hata mimi nilikuwa nauliza tu.

Hata hivyo yaliyopita si ndwele tugange yajayo.
 
Back
Top Bottom