Je, ni Kweli Tayari Imeshapangwa Portugal achukue World Cup 2026?

Je, ni Kweli Tayari Imeshapangwa Portugal achukue World Cup 2026?

Usididhike sana na habari za "inasemekana", ukiridhika nazo unaweza kulishwa hata mavi.
Dah eti kulishwa mavi😂

Kiukweli mkuu mimi siwezi kuamini moja kwa moja that's why nimekuja hapa huenda nikapata wanaojua zaidi wanifunulie ukweli.
 
Dah eti kulishwa mavi😂

Kiukweli mkuu mimi siwezi kuamini moja kwa moja that's why nimekuja hapa huenda nikapata wanaojua zaidi wanifunulie ukweli.

Ukishaona habari ya utabiri ina "The Simpsons" tu, ujue hapi ushachezewa shere.

I don't even waste my time.
 
Ukishaona habari ya utabiri ina "The Simpsons" tu, ujue hapi ushachezewa shere.

I don't even waste my time.
Mimi sijawahi kuangalia hivyo vikatuni kwa hiyo ni kwamba wana edit kisha wanadanganya kuwa vilitabiri?
 
Mimi sijawahi kuangalia hivyo vikatuni kwa hiyo ni kwamba wana edit kisha wanadanganya kuwa vilitabiri?
Hakuna show ya The Simpsons inayosema Portugal atashinda World Cup 2026 au mwaka wowote.

Ni ujinga wa kuedit mambo na kufanya meme mitandaoni tu.

Na unaweza kuhakiki hii habari kwa Google search moja tu.
 
Nimekupata.
 
IMG_20260620_215147_415.jpg
 
Hao Portugal wenyewe wangepata access ya kuuona huu uzi wangekushangaa mtoa mada kwa huu utabiri wako.

Timu ambayo inajikongoja na kusuasua kwenye kupata matokeo na mshambuliaji wake mzee Ronaldo ndiyo ichukue kombe la dunia!!!
 
Hiyo inasemwa ni kama wameamua tu Portugal kuwa bingwa kwa hali yoyote na sio utabiri wa kuangalia performance.
 
Wakuu!

Siku hizi kila nikifungua mtandao nakutana na theory mpya kuhusu Portugal kupangwa kuwa mabingwa na kundi la siri.

Kuna wanaotaja ile scene ya The Simpsons katika “The Cartridge Family” (Season 9, Episode 6) ya mwaka 1997 Mexico vs Portugal wakicheza fainali ya World Cup.

Wengine wanaingiza vita ya Adidas na Nike, wakisema World Cup iliyopita ilikuwa ya Messi, sasa hii ni ya Ronaldo.

Kama kweli kuna watu wamekaa mahali wakapanga Portugal awe bingwa...

👉 Ni kina nani hao?

👉 Na wanafaidika na nini?

👉 Hizi timu nyingine 47 hazijui?

👉 Kama zinajua, mbona zinaendelea kujitutumua, kutumia mabilioni na kupambana uwanjani,wakiumia na mbaya zaidi wametumia miaka 4 ya maandalizi? 😂😂😂

👉 Na kama hawajui kwa nini tusiwasanue?😅

Nauliza tu wakuu...
Hayo ni mawazo yako mgando. Hao The Simpsons mnawaonea tu. Ni maigizo yao ninyi mnaingiza mawazo yenu. Kabla ya Uchaguzi Mkuu uliopita wa Marekani mlisema The Simpsons wameishatabiri Rais mwanamke Marekani. Mkatuletea mchezo wao ambao Rais ni mwanamke na kavaa shanga shingoni kama Kamara Harris!

Nikuulize leo, Rais wa Marekani ni mwanamke?
 
Back
Top Bottom