Sawa mkuu tusubiri.Usihofu Mkuu inawezekana ikawa kweli,tunza huu Uzi
Tuko pamoja
Sasa najiuliza kwa nini watupangie.Kila kitu kinapangwa na watu kama tunavyokubaliana Mungu ndio muumba na anaendesha maisha yetu ya kila siku basi na sisi binadamu wapo binadamu wenye uwezo wanaotupangia mambo yetu.
NB Tarehe 7 usiandamane.
Mashabiki wa andunje bana 😆 mnapenda kuzua taharukiEti wanataka kumpa Ronaldo kombe la bure.😂
Daah itoshe kusema weww ni mkorofi 😄😄😄Jaribu kutumia akilo mkuu acha kupost upumbavu.
Jaribu kutumia akilo mkuu acha kupost upumbavu.
Sio mashabiki wa Messi ni hivyo vikatuni migo😂😂Mashabiki wa andunje bana 😆 mnapenda kuzua taharuki
Wewe umeangalia performance za timu au kutokana na huu utabiri?Kuna comment niliweka kwenye post mahali kuwa Portugal atafika mbali na Argentina ataishia njiani.
Ngoja tuone.
Sasa hapa tutofautishe na ile situation ya Yanga maana ile ilitokea ghafla pale pale lakini hii ya kupanga kabla inafikirisha.Kwa namna soka la kisasa lilivyo hilo sio jambo la kushangaza kabisa siku hizi mechi za mpira wa miguu zimekosa uhalisia kutokana na kamari na kibiashara zaidi hata baadhi ya mechi kubwa na matukio makubwa ya kisoka yako scripted rejelea mechi ya yanga vs mamelod sundowns na ile fainali ya Chelsea vs psg club world cup kwa sasa kamari inaharibu mechi nyingi sio halisi tena
It is coming home this timeWakuu!
Siku hizi kila nikifungua mtandao nakutana na theory mpya kuhusu Portugal kupangwa kuwa mabingwa na kundi la siri.
Kuna wanaotaja ile scene ya The Simpsons katika “The Cartridge Family” (Season 9, Episode 6) ya mwaka 1997 Mexico vs Portugal wakicheza fainali ya World Cup.
Wengine wanaingiza vita ya Adidas na Nike, wakisema World Cup iliyopita ilikuwa ya Messi, sasa hii ni ya Ronaldo.
Kama kweli kuna watu wamekaa mahali wakapanga Portugal awe bingwa...
👉 Ni kina nani hao?
👉 Na wanafaidika na nini?
👉 Hizi timu nyingine 47 hazijui?
👉 Kama zinajua, mbona zinaendelea kujitutumua, kutumia mabilioni na kupambana uwanjani,wakiumia na mbaya zaidi wametumia miaka 4 ya maandalizi? 😂😂😂
👉 Na kama hawajui kwa nini tusiwasanue?😅
Nauliza tu wakuu...
Nitafurahi sana wakichukua England.It is coming home this time
Baada ya Messi kupiga 3 wakaanza kumkashifu Cristiano;Wewe umeangalia performance za timu au kutokana na huu utabiri?
Kwa sababu tu ya kumkashifu Ronaldo ndio waishie njiani?Baada ya Messi kupiga 3 wakaanza kumkashifu Cristiano;
My prediction was mesi ataishia njiani Cristiano atafika mbali.
Dunia ina maajabu😂Kwa hiyo team yenyewe waliopanga wana kazi kubwa kufanikisha hilo labda wazishirikishe na timu zingine zijue ili ziachie!!😁