Je, ni Kweli Tayari Imeshapangwa Portugal achukue World Cup 2026?

Je, ni Kweli Tayari Imeshapangwa Portugal achukue World Cup 2026?

Wakuu!

Siku hizi kila nikifungua mtandao nakutana na theory mpya kuhusu Portugal kupangwa kuwa mabingwa na kundi la siri.

Kuna wanaotaja ile scene ya The Simpsons katika “The Cartridge Family” (Season 9, Episode 6) ya mwaka 1997 Mexico vs Portugal wakicheza fainali ya World Cup.

Wengine wanaingiza vita ya Adidas na Nike, wakisema World Cup iliyopita ilikuwa ya Messi, sasa hii ni ya Ronaldo.

Kama kweli kuna watu wamekaa mahali wakapanga Portugal awe bingwa...

👉 Ni kina nani hao?

👉 Na wanafaidika na nini?

👉 Hizi timu nyingine 47 hazijui?

👉 Kama zinajua, mbona zinaendelea kujitutumua, kutumia mabilioni na kupambana uwanjani,wakiumia na mbaya zaidi wametumia miaka 4 ya maandalizi? 😂😂😂

👉 Na kama hawajui kwa nini tusiwasanue?😅

Nauliza tu wakuu...
Elewa kombe la Dunia SIO ASHUA ZA MBUZII


😁😄
 
Ushuzi mtupu.

Haya mambo ya kubashiri ni ujinga. Timu yenye uwezo ndio itabeba world cup na ni kati ya hizi
1. Netherland
2.France
3.Germany
4.Morocco
5.Spain

Bingwa anatoka hapo. Kama unabisha subiri uone.
 
Ni kweli kabisa portugal itashinda hili kombe!

Ubingwa wa 20 wa Liverpool ulipopatikana na mchezaji namba 20 wa Liverpool akafa kwa ajali ya gari diogo jota!

Ndivyo inavyokua kwenye ulimwengu wa kiroho !kila kitu kinapangwa huko!

Kuna mkeka wa Simba kuwa bingwa msimu huu nasubiri pia kuona!!

Mambo mengi ni fiction tu ya yale yanayotokea Rohini!!

Nani asiejua kwamba mauaji ya October 29 mwaka Jana ni kafara la kiroho la katiba mpya yenye;-

1.urais wa miaka 7 sio mitano!!?

2,serikali ya Tanganyika kuwepo!!?
3.cheo cha makam wa rais au waziri mkuu kuondolewa na akawepo mmoja kama mtendJI MKUU!!?
mengi ya rohoni yameshapangwa tunasubiri utekelezwaji wake tu!!
Hayo ya rohoni yanapangwa na watu au kina nani?
 
Ushuzi mtupu.

Haya mambo ya kubashiri ni ujinga. Timu yenye uwezo ndio itabeba world cup na ni kati ya hizi
1. Netherland
2.France
3.Germany
4.Morocco
5.Spain

Bingwa anatoka hapo. Kama unabisha subiri uone.
Umesema mambo ya kubashiri ni ujinga halafu wewe mwenyewe umebashiri😂😂😂
 
Ushuzi mtupu.

Haya mambo ya kubashiri ni ujinga. Timu yenye uwezo ndio itabeba world cup na ni kati ya hizi
1. Netherland
2.France
3.Germany
4.Morocco
5.Spain

Bingwa anatoka hapo. Kama unabisha subiri uone.
Umesema mambo ya kubashiri ni ujinga halafu wewe mwenyewe umebashiri😂😂
 
Serikali ya Samia yatenga Tzs trillion 1 kwa ajili ya safari za viongozi
Safari za kwenda wapi wakati wauaji hawaruhusiwi kukanyaga ardhi ya Ulaya au Marekani, kwingineko huko hata wenyewe hawana hamu ya kwenda.
 
Wewe umekosa cha kuandika ndio maana unaleta mambo ya futuhi. Bure kabisa.
 
Ushuzi mtupu.

Haya mambo ya kubashiri ni ujinga. Timu yenye uwezo ndio itabeba world cup na ni kati ya hizi
1. Netherland
2.France
3.Germany
4.Morocco
5.Spain

Bingwa anatoka hapo. Kama unabisha subiri uone.
 
Back
Top Bottom