Je, ni Kweli Tayari Imeshapangwa Portugal achukue World Cup 2026?

Wakuu!

Siku hizi kila nikifungua mtandao nakutana na theory mpya kuhusu Portugal kupangwa kuwa mabingwa na kundi la siri.

Kuna wanaotaja ile scene ya The Simpsons katika “The Cartridge Family” (Season 9, Episode 6) ya mwaka 1997 Mexico vs Portugal wakicheza fainali ya World Cup.

Wengine wanaingiza vita ya Adidas na Nike, wakisema World Cup iliyopita ilikuwa ya Messi, sasa hii ni ya Ronaldo.

Kama kweli kuna watu wamekaa mahali wakapanga Portugal awe bingwa...

👉 Ni kina nani hao?

👉 Na wanafaidika na nini?

👉 Hizi timu nyingine 47 hazijui?

👉 Kama zinajua, mbona zinaendelea kujitutumua, kutumia mabilioni na kupambana uwanjani,wakiumia na mbaya zaidi wametumia miaka 4 ya maandalizi? 😂😂😂

👉 Na kama hawajui kwa nini tusiwasanue?😅

Nauliza tu wakuu...
Portugal wenyewe kwani wanasemaje??
 
Hii dunia ina mambo mengi sana mkuu! Ngoja tuone
 
Acha wasiwasi, Port akichukua amechukua sababu amechukua anashiriki ili achukue.
 
Mbungi inapigwa uwanjani na macho ya majasus toka uk,german,france,usa na mataifa mengine yapo yanamulika kila atua ya mechi ivyo kupanga matokeo ya bingwa wadunia kabla ata atua ya 32 bora bado ni ngumu pia ukisema mambo ya adidas na nike bado ni ngumu maana timu za taifa zina macho mengi kuliko vilabu
 
Nazidi kufuatilia.
 
Back
Top Bottom