Je, ni Kweli Tayari Imeshapangwa Portugal achukue World Cup 2026?

Wakuu!

Siku hizi kila nikifungua mtandao nakutana na theory mpya kuhusu Portugal kupangwa kuwa mabingwa na kundi la siri.

Kuna wanaotaja ile scene ya The Simpsons katika “The Cartridge Family” (Season 9, Episode 6) ya mwaka 1997 Mexico vs Portugal wakicheza fainali ya World Cup.

Wengine wanaingiza vita ya Adidas na Nike, wakisema World Cup iliyopita ilikuwa ya Messi, sasa hii ni ya Ronaldo.

Kama kweli kuna watu wamekaa mahali wakapanga Portugal awe bingwa...

👉 Ni kina nani hao?

👉 Na wanafaidika na nini?

👉 Hizi timu nyingine 47 hazijui?

👉 Kama zinajua, mbona zinaendelea kujitutumua, kutumia mabilioni na kupambana uwanjani,wakiumia na mbaya zaidi wametumia miaka 4 ya maandalizi? 😂😂😂

👉 Na kama hawajui kwa nini tusiwasanue?😅

Nauliza tu wakuu...
Sasa niwashauri zile timu zitakazocheza na Portugal wahakikishe wanapiga mashuti ya mbali ili refa asiseme offside. Pia, viungo wajitahidi wakabie katikati wasiruhusu fowadi wa Portugal kuingia kwenye boksi na ikitokea wameingia kwenye boksi wahakikishe hawachezi faulo ya aina yoyote hata kama ni nyepesi mana refa atatenga penati mana mtoa taarifa kasema kuna tetesi imepangwa Portugal achukue kombe!
 
Labda wawatumie marefu tu vinginevyo watadhalilishwa tu hakuna soka portugal
 
Itapendeza maana wamelitafuta sana
Uingereza huyu alietoka 0-0 na Ghana ambayo ht Afcon walishindwa kufuzu, Wana Ligi Bora sana Duniani lakini national team haiwanufaishi moja Kwa moja lbd wageni ht wao pembeni wanasemaga hivyo, labda tuone mwaka huu japo mmh!!!
 
Mwaka 2022 Argentina walipochukua world Cup , it was not by chance ila kulikuwa na Efforts kubwa katika hiyo timu .

Sifikirii kama FIFA n.k wanaweza wakaamua kuingiza siasa katika Mpira kiasi cha kutengeneza Mshindi wa world ambaye hastahili au hana uwezo..
 
Hayo ya rohoni yanapangwa na watu au kina nani?
Mizimu,secret society,watawa wa dini kubwa wakisingizia watakatifu au wazee wamesema hivi au vile!!

Neno wazee maana yake nini!!?

Yaani waliotangulia kufa kimwili lakini walikua viongozi unaambiwa Huwa hawafi na wanatupangia ya huku kwetu duniani!!

Kifupi ni kwamba miili mipya inazaliwa ulimwenguni ya watu lakini roho za mababu zinazotenda na kuambatana nao ni zile zile!!

Elewa neno wazee ndio hao wa dareeslam na ndio wawakilishi wa wale waliotangulia,neno wazee wa dar eslaam ni nahau inayowakilisha wachawi wa matambiko ya nchi yetu!!

Hivyo
 
Sasa niwashauri zile timu zitakazocheza na Portugal wahakikishe wanapiga mashuti ya mbali ili refa asiseme offside. Pia, viungo wajitahidi wakabie katikati wasiruhusu fowadi wa Portugal kuingia kwenye boksi na ikitokea wameingia kwenye boksi wahakikishe hawachezi faulo ya aina yoyote hata kama ni nyepesi mana refa atatenga penati mana mtoa taarifa kasema kuna tetesi imepangwa Portugal achukue kombe!
Wao hawana hizi taarifa tunazo sisi tu😂
 
Mizimu,secret society,watawa wa dini kubwa wakisingizia watakatifu au wazee wamesema hivi au vile!!

Neno wazee maana yake nini!!?

Yaani waliotangulia kufa kimwili lakini walikua viongozi unaambiwa Huwa hawafi na wanatupangia ya huku kwetu duniani!!

Kifupi ni kwamba miili mipya inazaliwa ulimwenguni ya watu lakini roho za mababu zinazotenda na kuambatana nao ni zile zile!!

Elewa neno wazee ndio hao wa dareeslam na ndio wawakilishi wa wale waliotangulia,neno wazee wa dar eslaam ni nahau inayowakilisha wachawi wa matambiko ya nchi yetu!!

Hivyo
Ila mizimu😂
Yaani inapanga hadi bingwa wa World.
 
Wakuu!

Siku hizi kila nikifungua mtandao nakutana na theory mpya kuhusu Portugal kupangwa kuwa mabingwa na kundi la siri.

Kuna wanaotaja ile scene ya The Simpsons katika “The Cartridge Family” (Season 9, Episode 6) ya mwaka 1997 Mexico vs Portugal wakicheza fainali ya World Cup.

Wengine wanaingiza vita ya Adidas na Nike, wakisema World Cup iliyopita ilikuwa ya Messi, sasa hii ni ya Ronaldo.

Kama kweli kuna watu wamekaa mahali wakapanga Portugal awe bingwa...

👉 Ni kina nani hao?

👉 Na wanafaidika na nini?

👉 Hizi timu nyingine 47 hazijui?

👉 Kama zinajua, mbona zinaendelea kujitutumua, kutumia mabilioni na kupambana uwanjani,wakiumia na mbaya zaidi wametumia miaka 4 ya maandalizi? 😂😂😂

👉 Na kama hawajui kwa nini tusiwasanue?😅

Nauliza tu wakuu...
Wabongo wengi mnapenda sana Conspiracy Theories.
 
Acha tu wapangwe, ila ila ilaa wakiangukia kwa akina messi jeshi lake au hakimi na jeshi lake basi wamekwisha.
 
Kama imepangwa hata wakikutana na hao watapita tu hujaona bao la Colombia lilivyokataliwa?
 
Utakuta mleta mada shemej yake anamuamini kabsa na kumpa wanae awapeleke stend wakasubirie school bus
Unaweza kukuta mleta mada anaaminiwa kabisa na shemeji yake kupewa hela akanunue mafuta ya kula ya kupima kwa mangi na wanamuamini kabisa kua hawezi kudondosha hizo hela njiani.
 
Shemeji amesafiri ameniachia kazi ya kuangalia vifaranga vya kuku kuhakikisha vinapata chakula na maji na havipati magonjwa.
 
Back
Top Bottom