Je, ni kweli udhamini GSM ni wa kimkakati?

Sie tunachojua mikia lazima mbandike nembo ya GSM kwenye vijora vyenu vya vunja bei
Utarudi hapa kwa aibu ,Simba havai nembo ya gsm na hakuna kitu atafanywa ,Ni Mambo mawil tu ama kalia apewe burn ya milele na FIFA au ligi yote ivurugike Sasa tuone mtapata wapi nguvu ya kubwata hapa jamvin ,maana hakuna yanga bila Simba au Simba bila yanga Hawa watu ili wawe walivyo lazima uwepo wao uwepo .

Tff Ni Malaya na Wana tamaa na Pesa lakin zinaenda kuwatokea puani ,Zama hizi sio za bla bla wasomi wamejaa kila Kona plus mitandao ndio Basi Tena kila kitu kipo wazi ,tuliendeshwa kindez Karne ya analogy Ila sio kwasasa ,uhuni mwisho kila kitu kitafuata kanuni na Sheria .

Kama ambavyo mligomea kuvaa nembo ya twiga mweupe na mkapenya bac mnaamin na hili mtapita.

Na lengo la gsm kuleta udhamin wa kihuni safar hii tunajua Ni kuzima aibu walizopata huko cas baina ya Morrison na kuwasahaurisha mandez wote wa uto Hilo Jambo ,na mlivyo vichwa panzi kweli mmejaa kwenye mbinu yao .
 
Mkuu ni bora ungemquote jamaa nilemquote kuliko kuniquote mm. Ulichokiandika ndicho nilichokimaanisha ila in a very simple way.
 
Mzee bakhresa anahusika vipi? Azam team ni ya yusuf na uhai ambayo inamiliki azam media ni ya yusuf
 
Kikubwa heshima na ndoa yenu na tff ivunjike maana karia na kidau waliwekwa pale na top m1 wa serikali ili tu kuwawezesha mikia wachukue ubingwa miaka 10 mfululizo,heshima imerudi na mikia mzunguko wa 5 tu wa ligi washapagawa,bado huko mbele ya safari mtapagawa hadi mkome,zile dharau sijui Yanga inakula matikiti sababu ya njaa kushney soon tunaanza kurudisha makombe yetu mtake msitake,tutaheshimiana hapa
 
Unamtofautisha vipi AZAM NA BAKHRESA?.
Nembo ya yanga na GSM VINAHUUSIANO GANI?
Je timu ya Simba Peke Yale ndo itavaa nembo ya GSM?
Msiwe na AKILI za UTOPOLO
 
Kwa wale wavivu wa kusoma, kwa ufupi sana(Summary)

"TFF HAWAJIELEWI"
kwani GSM ni kampuni ya yanga?
kweli watanzania hatuna AKILI.
Na tuna Safari ndefu ya kuelimika.
Nembo ya yanga inahuusiano upi na nembo ya GSM?
 
Udhamini wa GSM KWENYE ligi utawasaidia vipi yanga kuchukua ubingwa?
 
kwani GSM ni kampuni ya yanga?
kweli watanzania hatuna AKILI.
Na tuna Safari ndefu ya kuelimika.
Nembo ya yanga inahuusiano upi na nembo ya GSM?
Mkuu angalia usije kuwa wewe ndio Mtanzania usie na Akili na sio wengine, GSM ni kit supplier wa Yanga na mfadhiri mkuu kwa sasa ambae muda wowote ataenda kupata umiliki wa hisa za umiliki wa club

Team zingine ikiwemo Simba ina mikataba na kit supplier wa makampuni mengine, let's say Vunjabei anadhamini Simba na polisi kama sikosei, Leo hii akakae kwenye jersey moja na kit supplier wa team ingine we huoni kama kuna mgongano wa kimaslahi? Umewahi kuwaona Adidas na Nike kwenye jersey 1?

Kingine katiba ya TFF imeelezea vizuri kabisa juu ya mdhamini Mkuu wa ligi anatakiwa kukaa wapi kwenye jersey za team zote zinazoshiriki ligi kuu bara, na hakuna sehemu inamtaka mdhamini mwenza akae kwenye jersey, hii ya safari hii imetokea wapi?

GSM sio wadhamini wenza wa kwanza kupatikana katika ligi ya Tanzania na hao hawajawahi kukaa kwenye jersey zaidi ya kwenye mabango na kutambulika tu kama wadhamini wenza imekuaje kwa GSM ikae kwenye jersey na katiba inatumika ile ile ya miaka yote?

Kinachoonekana kuna harufu ya rushwa imetumika ili kukiuka baadhi ya kanuni zao wao wenyewe na ndomana wakati watu wanaanza kuhoji uhalali wa udhamini huu TFF ilitoa tamko kuwa watu hawaruhusiwi kuhoji Kwani huo mkataba ni kati ya TFF na GSM

Ni kama vile GSM wamefanya kuikomoa Simba na kufurahisha mashabiki wao kwamba Simba amevaa nembo yetu na sioni kama kulikuwa na dhamira ya kweli ya kudhamini ligi na kama ingekuepo basi kanuni zingefatwa

Hakuna mahusiano ya moja kwa moja yaliyopo kati ya GSM kudhamini ligi na kuchukua ubingwa wa ligi kuu ila tatizo taratibu zinavunjwa ili tu GSM akae kwenye jersey ili iweje? Lengo hasa ni nini? Ukinijibu hayo maswali niliyouliza ndio nitaweza kujiweka namie kama ni miongoni mwa watanzania ambao hatuna Akili, ila ukishindwa basi utakuwa wewe ndio Mtanzania usie kuwa na Akili
 
Yanga Wana hisa asilimia ngapi pale GSM?
ukijibu hili nitakuona.
AKILI UNAZO
 
GSM ni kampuni ya kibiashara sio club ya MPIRA.
Yupo kimaslahi na kibiashara.
Amedhamini udhamini mwenza wa LIGI.
sio udhamini mwenza wa TIMU YA SIMBA
kwani hyo nembo ya GSM watavaa Simba Peke yao?
ushabiki wenu wa Simba na yanga una wahusu nini GSM?
Nisinunue bidhaa ya GSM kisa GSM anawadhamini yanga?
"MUWE MNATUMIA AKILI"
msiwe Kama utopolo.
 
Yanga Wana hisa asilimia ngapi pale GSM?
ukijibu hili nitakuona.
AKILI UNAZO
mkuu twende taratibu na ujibu kwa hoja kama ambavyo me nimekuuliza kwa hoja, haya Unaonaje kwanza ukijibu maswali yangu ili namie nikuone kama AKILI UNAZO then namie ukifikia wakati wa kujibu maswali yako nitajibu ili uone kama AKILI NINAZO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…