This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
sheria inasema huwezi kudhamini ligi km una maslahi ktk timu yyte iliyoko ktk ligi hiyo.Kwani GSM anamiliki timu gani hapa TZ?
Mambo yote yanayolalamikiwa na Simba yapo kikanuni, MF. nembo nk.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sheria inasema huwezi kudhamini ligi km una maslahi ktk timu yyte iliyoko ktk ligi hiyo.Kwani GSM anamiliki timu gani hapa TZ?
hiyo sheria ni kifungu gani na cha ngapi naomba niionesheria inasema huwezi kudhamini ligi km una maslahi ktk timu yyte iliyoko ktk ligi hiyo.
Mambo yote yanayolalamikiwa na Simba yapo kikanuni, MF. nembo nk.
ukielekezwa unafuatilia kujua Ni kifungu gani. Naweza kukwambia kufungu namba fulani ukaanza kubisha.Ingia mtandaoni tafuta .hiyo sheria ni kifungu gani na cha ngapi naomba niione
Mkuu nimeikuta tu sehemu nikaona nikusogezee labda itasaidia chochotehiyo sheria ni kifungu gani na cha ngapi naomba niione
Ndio, kwani unadhani ni 500m tu atapata?Kwa akili ya kawaida tu unaweza toa 2B ili uchukue ubingwa wa 500M?
imefikia wapi hiiNdio, kwani unadhani ni 500m tu atapata?
Kuna faida nyingi tu atapata
[emoji23]Sie tunachojua mikia lazima mbandike nembo ya GSM kwenye vijora vyenu vya vunja bei