mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hao lao MOJA.EPL ipo chini ya FA kama independent structure na same applies to TPLB na TFF.
Au Kuna kiongozi wa TPLB amelalamika?
Ila hauwezi kuacha bilioni 1 kisa kanuni.
Kitu ambacho kinarekebishika
Kuna timu ndogo hazina hela ya kujiendesha zitawasaidia